Shule za Tanzania Mweee

390332_1936541392062_1233782204_n.jpg



Tuacheni Maskhara hali ni mbaya sana



296991_1936533471864_251347012_n.jpg
 
wiki 2 zilizopita nilikwenda kisarawe kijiji ccha sofu hali ndio mbaya zaid huko


Mkuu, piga picha ulete hapa, hii ndio njia pekee ya kufungua macho Watanzania. Please do that for us.

Thanks
 
Maisha bora kwa kila MTanzania ndo hayoo, tumejaribu tumeshindwa na hatutaki kujipanga upya!
 
Back
Top Bottom