Walimu wa kike shule za msingi hawafundishi ipasavyo

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
476
1,244
Elimu yetu bado ni janga, kwa sababu kwa uchunguzi walimu wengi wa kike shule za msingi Tanzania hasa shule za serikali ni pasua kichwa

Kati ya watu wanaodidimiza elimu yetu ni walimu wa kike wa shule za msingi Tanzania
Walimu wa kike wanamambo mengi mnoo ambayo ni nje kabisa na ufundishaji

Shule ambayo ina walimu wa kike wengi uajibikaji ni zero , laiti walimu wa kike wa shule za msingi Tanzania wangefundisha kama walimu wa kiume hii nchi ingekuwa mbali saana

Shule za msingi mijini zimejazana walimu wa kike halafu utegemee ufaulu wa asilimia 90,never ever

Walimu wa kike wa shule za sekondari hawana shida, shida ni msingi tu

Serikali iangalie ile hili
 
Mbona wengine enzi tunasoma msingi walimu wa kike walikua nondo sana kuliko ma sir
 
Elimu yetu bado ni janga, kwa sababu kwa uchunguzi walimu wengi wa kike shule za msingi Tanzania hasa shule za serikali ni pasua kichwa

Kati ya watu wanaodidimiza elimu yetu ni walimu wa kike wa shule za msingi Tanzania
Walimu wa kike wanamambo mengi mnoo ambayo ni nje kabisa na ufundishaji

Shule ambayo ina walimu wa kike wengi uajibikaji ni zero , laiti walimu wa kike wa shule za msingi Tanzania wangefundisha kama walimu wa kiume hii nchi ingekuwa mbali saana

Shule za msingi mijini zimejazana walimu wa kike halafu utegemee ufaulu wa asilimia 90,never ever

Walimu wa kike wa shule za sekondari hawana shida, shida ni msingi tu

Serikali iangalie ile hili
Nakazia ni kweli kabisa, Darasani hawaingii, wakiingia hawakai na wakikaa hawafanyi cha maana wengi hawana capacity ya kufundisha masomo yao, wengi wao hawana passion ya hio kazi, sio kwa Ubaguzi ni ukweli uko wazi, wakiwa nyumbani au shuleni hawafanyi maandalizi, scheme of work na lesson plans wananunua ni aibu sana
 
Unategemea Mwl Salma Rashidi na Mwl Janeth Pombe walipokuwa Mbuyuni s/m wakomae na maandalio?
Mkuu umenikumbusha Mbuyuni S/M,Shule pekee iliyotoa first ladies, Ile shule ilikua ni kama dumping place kwa super ladies wa royal families, ILA ilikua top class kwa ufaulu kwenye wilaya ya kinondoni!!,ule mbuyu sijui upo?,na ile kampuni ikachimba pale ikachukua mawe na hawakuhangaika kabisa kupa rehab mazingira yale,Geita, Kahama tufurahi kwa sasa ila in 40yrs to came ndio nchi itaona madhara yake
 
Nakazia ni kweli kabisa, Darasani hawaingii, wakiingia hawakai na wakikaa hawafanyi cha maana wengi hawana capacity ya kufundisha masomo yao, wengi wao hawana passion ya hio kazi, sio kwa Ubaguzi ni ukweli uko wazi, wakiwa nyumbani au shuleni hawafanyi maandalizi, scheme of work na lesson plans wananunua ni aibu sana
Hawa ndo wanasababisha kushuka kwa elimu
 
Mwanamke anaweza kutoka chuo kikuu kama best student ila ukimleta kazini ni masikitiko matupu.Sijawahi kusikia best teacher hata level ya secondary school mwanamke kwa masomo ya sayansi,hata mapindi ya mtaani siyo rahisi kumpata competent woman.Wao wanasubiria kuajiliwa na kuzuga zuga tu.hata vyuoni wengi wana ma GPA makubwa tu ila hawako competent.
 
Tatizo linaanzia vyuoni Mkuu,
Mi na ushuhuda Dada kamaliza chuo SAUT (MWANZA) Ana GPA YA 4.2 ila kila siku alikua CASK Na WagHill sa nikajiuliza alipata wapi mda wakuingia chuo na kufanya mitihani hio coz kuingia chuo tu ilikua mziki sa hio 4.2 kaitoa wapi?
 
Sio hawafundishi ipasavyo Bali hawana uwezo kabisa ni aibu kwa Taifa hizi Qualifications za aina hii kufundisha watoto wetu Alafu useme utapata wanafunzi bora. It's Nonesense
Sijui hii mitaala mipya watafundishaje Wakati ya zamani hawakuweza
Bila kuanzisha Qualifications mpya za waalimu wa msingi Shida Iko pale pale
Ulaya Cream qualifications ndio wanakuwa Waalimu
Tanzania Wagonjwa wa akili / Walioshindwa ndio wanakuwa Waalimu
 
Back
Top Bottom