Shule za Tanzania Mweee

293120_203548913105262_1726975882_n.jpg

Kama bajeti ya elimu ikipita safari hii lazima tuandamane, liwalo na liwe!
 
Hatuna Viongozi wa nchi hivyo huyu Waziri wa elimu haoni hivyo matatizo ya wananchi? hivyo hawa Wabunge kazi yao kubwa ni kudai ongezeko la posho? hawaoni matatizo ya walimu na wanafunzi?Hii nchi inakwenda wapi jamani?Hao Viongozi wetu wanaongoza Wanyama nini?Hawaongozi binadamu jamani ehhh......................... Mbuzi Mzee
 
Back
Top Bottom