Shule yaridhia mwalimu aache kazi kwa kudaiwa shoga

Michezo hiyo atakua amejifunzia Boarding tena Seminary...!!

Ukatoliki wa sasa ni wa Mashaka sana...!
Usipende kuzungumza tabia za mpumbavu mmoja ukafanya kwamba ni tabia iliyozoeleka na jamii yote husika,hata wewe unaweza kuwa na tabia zako mbovu but mtu makini hawezi kuja kuhukumu hapa kwamba tabia hiyo ndiyo tabia ya familia yenu yote.hao wajinga kote wapo usijifariji hata hapo ulipo wapo.
 
Sawa Mkuu...ila kumbuka MFICHA UGONJWA ni kifo kitakuumbua...!!

Mbona KESI na KASHFA za Kulawitiwa kwa watoto, zimekuwa kitu cha kawaida katika KANISA..!! na hasa Roman Catholic...?

Ama ni taarifa na habari za UZUSHI...!!?
 
Sio taarifa za uzushi ni vitu ambavyo vipo duniani kote kaka ila kwa7bu Kanisa Catholic liko wazi ndo maana unaona ndo wanaosemwa sana,tumekuwa tukisikia hata hapa Tanzania kuna wajinga wanawalawiti wanafunzi,wengine wanawalawiti watoto zao wengine wanawalawiti walevi humo mabarabarani so hawa tuseme nao wana nembo ya Ukatoliki?mara ngapi tunasikia walimu Madrassa wamenajisi watoto!huu ujinga upo kwa jamii zote na sio jamii moja tu zote wapumbavu hawa wapo.
 
Mimi nayaelewa yote hayo Mkuu, naomba turudi kwenye SOURCE (chanzo) cha Mada hii...

Wamesema ni Mwalimu kafukuzwa/kafutwa kazi kwa kashfa ya/za Ushoga..

Jiulize Mwalimu huyu alikuwa anafundisha shule gani..!? Jibu ni shule ya Kanisa (Seminary)

Tujiulize swali lingine, mwalimu huyu kabla, alisomea shule gani (sekondari)
Jibu ni Saint Anthony...

Je tukisema mtu huyu (Mwalimu) uchafu huu amejifunza akiwa katika shule ya dini Katholiki, huoni kama Mazingira yanamuhukumu.?

Any way...tufunge mjadala...
 
Hivi huyu jamaa yuko wapi Sasa hivi? Nilikutana naye mara ya mwisho 2017 pale mahakama ya kazi ya usuruhushi Akiba ,alikuwa kakonda Sana hadi nilumsahau.
 
Back
Top Bottom