Mikoa ipi hiyo haijaamka kielimu?Hizi shule zipo zaidi ile mikoa ambayo bado kuamka kielimu!
..Namtumbo ni jimbo la Raisi Mkapa.
..alishawahi kuwa Mbunge huko kabla hajawa Raisi.
Mikoa ipi hiyo haijaamka kielimu?
Du hivi hawa mbunge wao nani au hawana hata muwakilishi wao bungeni? Leo mkuu wa kaya anazungumzia Stimulus package....kwanini hawafikirii kuwastimulate kwanza raia wao wanapata mateso haya kwenye nchi yao ya ahadi?
..Namtumbo ni jimbo la Raisi Mkapa.
..alishawahi kuwa Mbunge huko kabla hajawa Raisi.