Viongozi wetu ni picha halisi ya jamii yetu

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,027
12,338
Ndio inaweza onekana kauli ya kushangaza lakini ndio ukweli halisia kwa asilimia nyingi tu.

"Viongozi wetu ndio picha halisi ya jamii yetu"

Kwa asilimia kubwa viongozi wetu wanawakilisha tamaduni,malezi,tabia na fikra za watu wa jamii yetu kwa kiwango kikubwa.

Vile wafikiriavyo viongozi wetu, vile watendavyo viongozi wetu ndilo kundi kubwa la jamii yetu hufanya hivyo ni kundi dogo sana ndani ya jamii yetu lililo tofauti na tabia za wanajamii wengi ambao pia viongozi wetu wamo.

Namna walivyo viongozi wa jamii au mataifa ya wazungu ndivyo ilivyo jamii ya kizungu kufikiri,kutenda,malezi, tamaduni na mienendo.

Namna walivyo viongozi wa jamii/mataifa ya waarabu ndivyo hivyo jamii ya waarabu inavyo enenda kwa kiasi kikubwa.

Namna walivyo viongozi wa jamii au mataifa ya Asia China, Korea, Japan ndivyo walivyo watu wa jamii hiyo katika kuwaza na kutenda.

Namna walivyo viongozi wa CCM Tanzania ndivyo walivyo viongozi wa Chadema,ACT, CUF n.k na ndivyo walivyo Watanzania wengi kutenda, kunena, kufikiri, tabia, malezi, tamaduni na mfumo mzima wa kimaisha.

Vita dhidi ya hali yetu tuliyo nayo haiwezi kuwa nyepesi kwa sababu jamii yetu kubwa ipo kama walivyo wale wanao tuongoza sasa. Wenye fikra mpya,malezi tofauti, tamaduni tofauti na mfumo mzima wa maisha tofauti na jamii ni wachache sana.
 
Jamii yetu inaumwa, unakuta mtu mzima anakunywa maji kopo anatupa barabarani, anakunywa soda kopo barabarani, anakula ndizi ganda barabarani! Sis tunaumwa! Labda na viongozi wetu wako hivyohivyo.
 
ss mkuu c hawajaweka sehemu ya kutupa taka ktk majiji makubwa hvyo uwezi tembea na kopo tupu Toka sehemu Moja kwenda nyinginee .
 
Ndio inaweza onekana kauli ya kushangaza lakini ndio ukweli halisia kwa asilimia nyingi tu.

"Viongozi wetu ndio picha halisi ya jamii yetu"

Kwa asilimia kubwa viongozi wetu wanawakilisha tamaduni,malezi,tabia na fikra za watu wa jamii yetu kwa kiwango kikubwa.

Vile wafikiriavyo viongozi wetu, vile watendavyo viongozi wetu ndilo kundi kubwa la jamii yetu hufanya hivyo ni kundi dogo sana ndani ya jamii yetu lililo tofauti na tabia za wanajamii wengi ambao pia viongozi wetu wamo.

Namna walivyo viongozi wa jamii au mataifa ya wazungu ndivyo ilivyo jamii ya kizungu kufikiri,kutenda,malezi, tamaduni na mienendo.

Namna walivyo viongozi wa jamii/mataifa ya waarabu ndivyo hivyo jamii ya waarabu inavyo enenda kwa kiasi kikubwa.

Namna walivyo viongozi wa jamii au mataifa ya Asia China, Korea, Japan ndivyo walivyo watu wa jamii hiyo katika kuwaza na kutenda.

Namna walivyo viongozi wa CCM Tanzania ndivyo walivyo viongozi wa Chadema,ACT, CUF n.k na ndivyo walivyo Watanzania wengi kutenda, kunena, kufikiri, tabia, malezi, tamaduni na mfumo mzima wa kimaisha.

Vita dhidi hali yetu tuliyo nayo haiwezi kuwa nyepesi kwa sababu jamii yetu kubwa ipo kama walivyo wale wanao tuongoza sasa. Wenye fikra mpya,malezi tofauti, tamaduni tofauti na mfumo mzima wa maisha tofauti na jamii ni wachache sana.
Huo ndio ukweli, japo mchungu, ndio maana ajae leo huwezi ona tofauti yake na yule wa jana.
 
Kiwando cha Elimu iliyo bora,huwa nguzo muhimu katika kujenga jamii yenye civilization ya kiwango cha juu.Lakini umbovu wa Elimu huleta jamii ya ajabu sana.

Waafrika tumekosa utashi wa kuchambua mambo muhimu na mambo ya kijinga.Tumeyapa mambo ya kijinga umuhimu na kuacha mambo ya msingi nyuma.

Shame on us.
 
👍👏🙏💐🎁🎖️🏆
 
Ndio inaweza onekana kauli ya kushangaza lakini ndio ukweli halisia kwa asilimia nyingi tu.

"Viongozi wetu ndio picha halisi ya jamii yetu"

Kwa asilimia kubwa viongozi wetu wanawakilisha tamaduni,malezi,tabia na fikra za watu wa jamii yetu kwa kiwango kikubwa.

Vile wafikiriavyo viongozi wetu, vile watendavyo viongozi wetu ndilo kundi kubwa la jamii yetu hufanya hivyo ni kundi dogo sana ndani ya jamii yetu lililo tofauti na tabia za wanajamii wengi ambao pia viongozi wetu wamo.

Namna walivyo viongozi wa jamii au mataifa ya wazungu ndivyo ilivyo jamii ya kizungu kufikiri,kutenda,malezi, tamaduni na mienendo.

Namna walivyo viongozi wa jamii/mataifa ya waarabu ndivyo hivyo jamii ya waarabu inavyo enenda kwa kiasi kikubwa.

Namna walivyo viongozi wa jamii au mataifa ya Asia China, Korea, Japan ndivyo walivyo watu wa jamii hiyo katika kuwaza na kutenda.

Namna walivyo viongozi wa CCM Tanzania ndivyo walivyo viongozi wa Chadema,ACT, CUF n.k na ndivyo walivyo Watanzania wengi kutenda, kunena, kufikiri, tabia, malezi, tamaduni na mfumo mzima wa kimaisha.

Vita dhidi ya hali yetu tuliyo nayo haiwezi kuwa nyepesi kwa sababu jamii yetu kubwa ipo kama walivyo wale wanao tuongoza sasa. Wenye fikra mpya,malezi tofauti, tamaduni tofauti na mfumo mzima wa maisha tofauti na jamii ni wachache sana.
Mkuu uko sahihi kabisa. Kwenye kijiwe changu cha kahawa nimekuwa nikiliongea hili lakini hawanielewi. Unakuwaje na Kiongozi mwadilifu kwenye jamii isiyo na uadilifu?
 
Jamii yetu inaumwa, unakuta mtu mzima anakunywa maji kopo anatupa barabarani, anakunywa soda kopo barabarani, anakula ndizi ganda barabarani! Sis tunaumwa! Labda na viongozi wetu wako hivyohivyo.
Hatari
 
Kiwando cha Elimu iliyo bora,huwa nguzo muhimu katika kujenga jamii yenye civilization ya kiwango cha juu.Lakini umbovu wa Elimu huleta jamii ya ajabu sana.

Waafrika tumekosa utashi wa kuchambua mambo muhimu na mambo ya kijinga.Tumeyapa mambo ya kijinga umuhimu na kuacha mambo ya msingi nyuma.

Shame on us.
Kuna mahali tunakosea ila hatutaki kubadilika
 
Ehno2NgWsAA8X9J.jpeg
 
Back
Top Bottom