Ni mazingira gani yalisababisha mgogoro huo? hiyo shule inamilikiwa na taasisi ya dini ya kiislamu? Hakuna mskiti wa kuswalia kijiji iliyopo shule? Je kila dhehebu likidai nyumba ya ibada ijengwe hapo shuleni patatosha?? Hebu nisaidie majibu mkuu
Hiyo shule imejengwa na wamisionari na serikali ikaitaifisha. kwa bahati mbaya imezungukwa na maeneo yenye investments za hao watu wa dini, sijui hilo eneo la kujenga msikiti watalipata wapi, labda wajenge ndani ya eneo la shule. na wakijenga ndani ya shule na wakristo nao wanaweza kuanza kudai kanisa lijengwe. Hivi kweli kutokuwepo msikiti au kanisa karibu na shule kunawazuia kuabudu?ushindani mwingine........labda niulize je kanisa limejengwa baada ya shule kuwa chini ya serikali au lilikuwepo toka likiwa chini ya RC kama ndivyo kwanini leo kunatakiwa kujengwa msikiti
Ni mazingira gani yalisababisha mgogoro huo? hiyo shule inamilikiwa na taasisi ya dini ya kiislamu? Hakuna mskiti wa kuswalia kijiji iliyopo shule? Je kila dhehebu likidai nyumba ya ibada ijengwe hapo shuleni patatosha?? Hebu nisaidie majibu mkuu
kwa nini wasiwape sasa? ardhi si ni mali za serikali?
ushindani mwingine........labda niulize je kanisa limejengwa baada ya shule kuwa chini ya serikali au lilikuwepo toka likiwa chini ya RC kama ndivyo kwanini leo kunatakiwa kujengwa msikiti
Hivi hawa watoto laiti wangejua jinsi gani tunavyopata shida ya kutafuta pesa kwa ajili yao halafu wanakwenda shule kuleta ujinga badala ya kusoma wanakera sana. Wanajua fika hiyo ilikuwa ni shule ya mission na ilijengwa na wakatoliki wanachotaka ni elimu ama msikiti????
Kama wanakwenda kusoma wakae wasome na kama wanafuata miskiti na makanisa basi warudishwe wakashindi miskitini na makanisani waaache wale wanaohitaji kusoma.
Wazazi tunajinyima sababu yao wapate elimu kwa manufaa yao wanaleta upuzi walimu fanyeni kazi yenu charaza wote bakora inaumma sana kwakweli kama kunaninaye mkwaza anisamehee ila sipedi migomo ya kijinga :embarassed2:
Je ni ule udini Jk alianza kuupandikiza mwaka jana unaanza?