GOD is good amekuweka salama mkuu Lissu ili mpambano uendelee dhidi ya hawa wanaoitafuna nchi yetu huku wananchi wakiendelea kusota na maisha duni. Kama kulikuwa na akina "nyamkera","makata" etc wametumwa kukumaliza wameshindwa kwa JINA LA YESU. Get well soon.
Kwa mungu kila kitu kinawezekana, lakini kwa mwanadamu si hivyo, umpe afya njema ee mola mwenzetu huyu, aweze kusimama wima na kutetea watu wako e mungu mkuu,
tazama e bwana, kama watu wako uliowapaka mafuta akina mwakyembe, lisu na wengine hutawapa nguvu na kuwatia mpyo, adui zetu watajidai na kujipiga kifuani wakisema tazama watu hawa tumewashinda , licha ya kuwa wanalitaja jina la bwana mungu wao
uwe upande wetu na uliokoe taifa lako ee mungu mkuu mno
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.