Tundu Lissu: Anayekuibia hajali unasali wapi, mimi na hayati Mkapa ni wakatoliki lakini alipotuibia nilimsema kuwa ni mwizi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,022
142,063
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu amesema Mkapa na Shujaa Magufuli ni Wakatoliki wenzake lakini walipoliibia Taifa aliwasema.

Lissu amesema alimsema Kikwete ulipotokea Wizi wa Escrow siyo kwa sababu ya Uislam wake.

Lissu amesisitiza hawa Watu wanapokuibia hawajali Wewe unasali wapi, they don't care!

Source: Mkutanoni Kagera

Pia soma: Tundu Lissu: Hakuna Rais kwenye nchi hii amewahi kutufanyia kitu mbaya kama Rais Samia
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Mkapa na Shujaa Magufuli ni Wakatoliki wenzake lakini walipoliibia Taifa aliwasema

Lisu amesema alimsema Kikwete ulipotokea Wizi wa Escrow siyo kwa sababu ya Uislam wake

Lisu amesisitiza hawa Watu wanapokuibia hawajali Wewe unasali wapi, they don't care!

Source: Mkutanoni Kagera
Ameongea ukweli mtupi,tupu kabisa

FaizaFoxy njoo huku
 
Wanasiasa wanaofanikiwa ni wale wanaojua nini cha kuongea na nini wasiongee....
Lissu anachoweza fanya ni kusaidia wengine kisiasa Kwa kubeba agenda zao na kuwa radical tu...
Ikifika wakati wa Nani aongoze ..watu hawataki watu Radical kabisa
Njaa zimekujaa ndio maan huez kubali hata lile lenye ukwel!! Hebu kula msosi👇👇 njaa itakuua
 

Attachments

  • IMG_20220928_154551.jpg
    IMG_20220928_154551.jpg
    54.3 KB · Views: 4
Back
Top Bottom