Shujaa Tundu Lissu apata ajali, ni mzima

Pole sana Lissu, tunakutakia heri ili upone haraka.

Hakikisha tu unapima kabisa maana huwezi kujua ndani umeumia kiasi gani.

Pole sana.
 
Pole sana Tundu Lissu, get well soon tuendeleze mapambano.
 
Pole sana Mkuu LISU na ajali iliyokupata, twakuombea upone haraka ili kuendeleza mapambano!
 
GOD is good amekuweka salama mkuu Lissu ili mpambano uendelee dhidi ya hawa wanaoitafuna nchi yetu huku wananchi wakiendelea kusota na maisha duni. Kama kulikuwa na akina "nyamkera","makata" etc wametumwa kukumaliza wameshindwa kwa JINA LA YESU. Get well soon.
 
Kwa mungu kila kitu kinawezekana, lakini kwa mwanadamu si hivyo, umpe afya njema ee mola mwenzetu huyu, aweze kusimama wima na kutetea watu wako e mungu mkuu,
tazama e bwana, kama watu wako uliowapaka mafuta akina mwakyembe, lisu na wengine hutawapa nguvu na kuwatia mpyo, adui zetu watajidai na kujipiga kifuani wakisema tazama watu hawa tumewashinda , licha ya kuwa wanalitaja jina la bwana mungu wao

uwe upande wetu na uliokoe taifa lako ee mungu mkuu mno
 
Pole saana Mr. Lisu. Mungu atakupa nafuu na kukuepusha na mabalaa. Amin.
 
My heart, and prayers go for your quick recovery. Mchango wako katika kujua kesho ya taifa hili unatambulika na bado unahitajika sana. Get well soon!!
 
Pole sana Shujaa wetu katika kujaribu kupunguza wizi wa mchana kweupe wa madini yetu ... Natumaini AJALI HIYO sio mikono ya watu...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom