Halisi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2007
- 2,802
- 613
Yule shujaa na mpambanaji wa haki, Mwanasheria wa Mahakama Kuu, Tundu Lissu, amepata ajali akiwa njiani kuelekea Singida na Manyoni.
Kwa mujibu wa Saed Kubenea aliyezungumza na Lissu, gari yake Lissu limeharibika vibaya lakini yeye hakuumia, mbali ya maumivu madogo. Hata hivyo upo uwezekano wa kuwa amepata maumivu ya ndani. Tutaendelea kuwahabarisha na yeyote mwenye taarifa zaidi aziweke humu