ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,650
Ilikuwa ni usiku wa siku ya 'arobaini' ya msiba wa mtu alofariki kitambo.
Nikiwa ndani nimelala kunako mida ya saa nne usiku, kwa nje kulikuwa
kuna wadada kama wanne au zaidi-baada ya kuimba kwa muda-walikuwa wakiendelea kupiga
stori zao za girly.
Kama kawaida mmoja akamchomekea mwenzake kwa kusema: "Yaani, akamtaja jina, pamoja kujidai kote eti
humpendi John, mwishowe kakunasa.......na siku hizi unavyomganda utadhani
sio John yule uliyekuwa ukidai eti hana hadhi ya kuwa nae.
Mhusika alipoambiwa hivyo kwanza akacheka, halafu akajibu "Shosti mwanaume
mtamu yuleeeee!Yaani najilaumu kwanini nilimdengulia sana!". Mdada wa tatu akadakia:
'Mwenzangu usituringishie tusije tukakupindua bure, wengine huo utamu tunausikia kwa bomba".
Wakaendelea kutuchambua wanaume kwenye mambo mengi, ila mie nilivutiwa tu na hiyo 'remarks' za
huyo aliyenogewa na utamu wa mpenzi wake.
Jioni njema wajemeni!