Shosti mwanaume mtamu yuleeeee! Najilaumu kwa nini nilimdengulia muda mrefu!

but ni bora kuujua ukweli hata kama unaumiza kuliko kukaa gizani ,na kufurahi kumbe unachofurahia sio

Mimi nafikiri, life is more interesting this way! Ujanja ni kulive the moment; na kusimama haraka pale unapoanguka.
Kauli inayonipa Faraja siku zote ni kuwa whatever happened "it could have been worse"!

Mfn: umechukuliwa mwanaume na best friend wako; surely it hurts. Imagine anakucheat na kukuletea ngoma na bado anakuacha! Sasa si bora kaumiza Moyo wako na amekuacha bug free? Any situation "it could have been worse"

Kauli ya pili ni "he is not worthy my love"!

Ukitumia hizo statements na ukaziamini; utaheal na life will go on!
 
Umdhaniye ndiye siye,inatokea sana kwenye maisha, kabla ya kuwa nae unadengua ukishamkubali
unakuta kuna hazina balaa
 
We hizo busara sio bure, hapo lazima kuna mkono wa AshaDii!
 
Umezubaa, ningekuwa mimi ningewambia; Hamjaujaribu mkuyati wangu, ni mtamu kuliko wa john.
 
Mimi nafikiri, life is more interesting this way! Ujanja ni kulive the moment; na kusimama haraka pale unapoanguka.
Kauli inayonipa Faraja siku zote ni kuwa whatever happened "it could have been worse"!

Mfn: umechukuliwa mwanaume na best friend wako; surely it hurts. Imagine anakucheat na kukuletea ngoma na bado anakuacha! Sasa si bora kaumiza Moyo wako na amekuacha bug free? Any situation "it could have been worse"

Kauli ya pili ni "he is not worthy my love"!

Ukitumia hizo statements na ukaziamini; utaheal na life will go on!
ni kweli kaunga whatever happened "it could have been worse"!- ila lazima utaumia kwa kipindi flani
ila maisha sio mwanaume tu
duniani kuna mambo mengi tu ya kutupa furaha my dear

our life cannot always be full of love but it can always be full of happiness !
do u agree?
 
Umdhaniye ndiye siye,inatokea sana kwenye maisha, kabla ya kuwa nae unadengua ukishamkubali
unakuta kuna hazina balaa

Hahahaaa! Ila usisahau kadiri unavyodengua na hamasa yake kwako hupungua na unapokuja kukubali ni kama mwenzio anaondoa tu gundu, then anakupotezea ili hali wewe ndo unaona sasa umefika. Halafu kinachofuatiaga hapo ni chuki kwa kwenda mbele dhidi ya vidume vingine vyote vitakavyoleta maombi!
 
tunawasaidia tu ila hawana shukrani
unampa utamu yeye anakupa maumivu tena ya kiroho
craaaaaaaaaaaaap

At the same scene na wewe unakuwa unapata mautamu ila kuna wanawake wengine wana tabia anakukoleza halafu anakuacha ukafie mbele! same applies to men!
 
Umegundua eeh!
She did help me a lot, nafikiri hajui maana sijamwambia rasmi! Nilivyokuwa mbona Smile ni cha mtoto!
ahahaa mimi nikoje
mimi nina busara balaa
sema basi tu
kishaweka neno mwanaume mahali hatutaelewana
 
ni kweli kaunga whatever happened "it could have been worse"!- ila lazima utaumia kwa kipindi flani
ila maisha sio mwanaume tu
duniani kuna mambo mengi tu ya kutupa furaha my dear
our life cannot always be full of love but it can always be full of happiness !
do u agree?

Yes dearest; hapo kwenye full of happiness nakubaliana nawe 100%. But huwezi kuwa bitter at the same time happy! Unless you let it go, huwezi kuwa free na happy! Ukitumia muda mwingi kuhate mwisho wa siku inakuumiza wewe na si ajabu unayemchukia hata hajui kama unamchukia!

Tunaishi na wanaume, maofisini majumbani mitaani, ni kaka zetu, wajomba, coleagues etc. Wametutenda wawili au watatu lkn si wote!
 
Hahahaaa! Ila usisahau kadiri unavyodengua na hamasa yake kwako hupungua na unapokuja kukubali ni kama mwenzio anaondoa tu gundu, then anakupotezea ili hali wewe ndo unaona sasa umefika. Halafu kinachofuatiaga hapo ni chuki kwa kwenda mbele dhidi ya vidume vingine vyote vitakavyoleta maombi!
Ndio maana inatakiwa na msichana akidengua awe anajiamini siku akimkubalia mwanaume,unapiga mzigo wa nguvu hakuna kuremba, ili hata na yeye akisepa huko aendako akae akisifia tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom