Shosti mwanaume mtamu yuleeeee! Najilaumu kwa nini nilimdengulia muda mrefu!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,972
1,649
Ilikuwa ni usiku wa siku ya 'arobaini' ya msiba wa mtu alofariki kitambo.
Nikiwa ndani nimelala kunako mida ya saa nne usiku, kwa nje kulikuwa
kuna wadada kama wanne au zaidi-baada ya kuimba kwa muda-walikuwa wakiendelea kupiga
stori zao za girly.

Kama kawaida mmoja akamchomekea mwenzake kwa kusema: "Yaani, akamtaja jina, pamoja kujidai kote eti
humpendi John, mwishowe kakunasa.......na siku hizi unavyomganda utadhani
sio John yule uliyekuwa ukidai eti hana hadhi ya kuwa nae.

Mhusika alipoambiwa hivyo kwanza akacheka, halafu akajibu "Shosti mwanaume
mtamu yuleeeee!Yaani najilaumu kwanini nilimdengulia sana!
". Mdada wa tatu akadakia:
'Mwenzangu usituringishie tusije tukakupindua bure, wengine huo utamu tunausikia kwa bomba".
Wakaendelea kutuchambua wanaume kwenye mambo mengi, ila mie nilivutiwa tu na hiyo 'remarks' za
huyo aliyenogewa na utamu wa mpenzi wake.

Jioni njema wajemeni!
 
Shigongo ananunua story.
Itaitwa misiba yahatarisha ndoa
OTIS
 
domo kubwa yatampata makubwa,mwanaume mtamu unamtangaza ananuka nanihii ili wakuachie mwenyewe!

Ha ha ha! Umepinda wewe, wakikustukia si bado watamnyakua tu? Labda useme bahili! LOL
 
Duuh...siku gani utakuja na story za gheto kuhusu wanawake, naona masikio yako yananasa za kike tu.:A S tongue:

Ushaniharibia siku tayari! Mhhhhh za gheto zinatisha wala usitake kuzisikia maaana ntaambiwa mdhalilishaji
 
Ilikuwa ni usiku wa siku ya 'arobaini' ya msiba wa mtu alofariki kitambo.
Nikiwa ndani nimelala kunako mida ya saa nne usiku, kwa nje kulikuwa
kuna wadada kama wanne au zaidi-baada ya kuimba kwa muda-walikuwa wakiendelea kupiga
stori zao za girly.

Kama kawaida mmoja akamchomekea mwenzake kwa kusema: "Yaani, akamtaja jina, pamoja kujidai kote eti
humpendi John, mwishowe kakunasa.......na siku hizi unavyomganda utadhani
sio John yule uliyekuwa ukidai eti hana hadhi ya kuwa nae.

Mhusika alipoambiwa hivyo kwanza akacheka, halafu akajibu "Shosti mwanaume
mtamu yuleeeee!Yaani najilaumu kwanini nilimdengulia sana!
". Mdada wa tatu akadakia:
'Mwenzangu usituringishie tusije tukakupindua bure, wengine huo utamu tunausikia kwa bomba".
Wakaendelea kutuchambua wanaume kwenye mambo mengi, ila mie nilivutiwa tu na hiyo 'remarks' za
huyo aliyenogewa na utamu wa mpenzi wake.

Jioni njema wajemeni!

mie napita tu umbeya huo haunihusu
 
I know; lkn come to think of it! Imagine unajua kila anachowaza huoni kwamba it can be very boring?
but ni bora kuujua ukweli hata kama unaumiza kuliko kukaa gizani ,na kufurahi kumbe unachofurahia sio
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom