Shosti mwanaume mtamu yuleeeee! Najilaumu kwa nini nilimdengulia muda mrefu!

Naomba wadada humu mnijuze.............Hivi utamu wa mwanaume uko wapi..? Saizi kubwa ya Kilambio.....au kupiga mabao mengi ya kufa mtu....................? Hebu fungukeni mtupe hiyo siri.................LOL
 
ahahaa mimi nikoje
mimi nina busara balaa
sema basi tu
kishaweka neno mwanaume mahali hatutaelewana

Nami nilikuwa 'sitaki sikia chochote kuhusu wanaume, nilimuattack kila mtu! Nilichukukia every love song na nilimchukia kila mwanamke anaput up with men's nonsense! That was me back then!
 
Yes dearest; hapo kwenye full of happiness nakubaliana nawe 100%. But huwezi kuwa bitter at the same time happy! Unless you let it go, huwezi kuwa free na happy! Ukitumia muda mwingi kuhate mwisho wa siku inakuumiza wewe na si ajabu unayemchukia hata hajui kama unamchukia!

Tunaishi na wanaume, maofisini majumbani mitaani, ni kaka zetu, wajomba, coleagues etc. Wametutenda wawili au watatu lkn si wote!
sichukii wanaume bwana ,kuna sehemu tu siwapendei
 
Naomba wadada humu mnijuze.............Hivi utamu wa mwanaume uko wapi..? Saizi kubwa ya Kilambio.....au kupiga mabao mengi ya kufa mtu....................? Hebu fungukeni mtupe hiyo siri.................LOL
wewe mzee wewe
utamu wa mwanaume ni busara,akili,ukweli, then mengine yanafata
 
Tatizo la kuchezwa manyago hotelini na kina shost ndo inaleta hii maneno.
 
Naomba wadada humu mnijuze.............Hivi utamu wa mwanaume uko wapi..? Saizi kubwa ya Kilambio.....au kupiga mabao mengi ya kufa mtu....................? Hebu fungukeni mtupe hiyo siri.................LOL

Ni yule aliyepita jado la msituni badala ya hospitali...
 
Naomba wadada humu mnijuze.............Hivi utamu wa mwanaume uko wapi..? Saizi kubwa ya Kilambio.....au kupiga mabao mengi ya kufa mtu....................? Hebu fungukeni mtupe hiyo siri.................LOL

mwanaume mtamu ni yule mtoaji kwenye maswala ya uchumi,lol
 
domo kubwa yatampata makubwa,mwanaume mtamu unamtangaza ananuka nanihii ili wakuachie mwenyewe!

Hahahahahah lol! Shosti.....Wajanja watakushtukia weye!!!!....Yule Shosti anasema yule njemba ananuka nanihii mbona kila siku kamganda tu!? Mbona hamuachi? hapo ndio janja yako itafikia ukingoni :):)

Last edited by a moderator:
Duuh...siku gani utakuja na story za gheto kuhusu wanawake, naona masikio yako yananasa za kike tu.
A%20S%20tongue.gif

Weye Madamex.........wacha hayo jisalimishe kwetu na roho yako itapona........
 
Hahahahahah lol! Shosti.....Wajanja watakushtukia weye!!!!....Yule Shosti anasema yule njemba ananuka nanihii mbona kila siku kamganda tu!? Mbona hamuachi? hapo ndio janja yako itafikia ukingoni :):)

hahahahahaa unadhani wakati namtangaza ananuka naishia hapo,namie natoa sababu kwa nini niko naye japo anuka!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom