Ktk taarifa ya habari ya chanel teni nimemuona katibu mkuu wa uvccm Martin shigella akitangaza kwamba vijana wao wa ulinzi kuwa tayari na mapambano dhidi ya chadema. Kauli hiyo ameitoa kutokana na mauaji ya jana ya mwanachama wao iliyotokea huko singida ktk mkutano wa hadra wa cdm. Amesema huyo aliyeuwawa ni kiongozi wao wa chama ,
je kama ni kiongozi alifata nini kwenye mkutano wa chadema?
je kama ni kiongozi alifata nini kwenye mkutano wa chadema?