Shigella. Atangaza vita na CHADEMA.

cdm weng ni vijana sasa wapigane na wazee duu si watapotea wengi. naache utan vijana tuna hasira wajaribuu!
 
MOD kuna thread 9 au 10 hii mojawapo zimeanzishwa,
Vichwa vya habari tofauti ndani maelezo ni yale yale,
Ziunganishwe.
 
MOD kuna thread 9 au 10 hii mojawapo zimeanzishwa,
Vichwa vya habari tofauti ndani maelezo ni yale yale,
Ziunganishwe.
 
Ccm wafanye mpango wa kukarabati magereza, yawe katika hali nzuri, kwani tunapoelekea huku, baada ya 2015 watu watafungwa mno...
 
Vijana chadema 2ko kamili gado hata kuiteketeza magogoni shigela anza 2kuonyeshe vijana walivyoikomboa afrika kusini kutoka mkononi wa majangili ss ha2ajiri magunster PpoooooooooZZzzyz
 
So its WAR? Wao against Tanzania?

Waue wenyewe halafu walete mboyoyo...
 
​who is shigella ni kutoka nchi gani anayetangaza vita na chadema?mbona tuna polisi na sasa chadema wakitangaza vita na ccm mtapona jamani acheni utani wa siasa

Shigella are bacteria that can infect the digestive tract and cause a wide range of symptoms, from diarrhoea, cramping, vomiting, and nausea, to more serious complications and illnesses. Infections, called shigellosis, sometimes go away on their own; in others, antibiotics can shorten the course of the illness
 
Hivi katibu mkuu uvccm sio lazima awe kijana? Huyu jamaa mi naona sio kijana...labda kwa definition za ccm ni sawa hata kikwete aliitwa kijana at the age of 50. ITV nao wanakera sana na ndiyo sababu wanahabari huwa hawakosi kusimama kizimbani the hegue pamoja na wanasiasa....kwa nini mtu anaair allegations nzito namna hiyo bila kufuatilia tukio na kulibalance??CCM inacheka na Mwigulu lakini approach zake kwenye siasa zinaonyesa si mvumilivu...fuatilieni visa vyake igunga na kambi ya vijana aliowaweka huko jimboni kwake...akaendeleza yaleyale kule arumeru...siku si nyingi the hegue itapata wateja to
 
Mimi pia nimemsikia na nimesikitika sana!!Chadema na hawa CCM ni nani anahatarisha usalama?
Ngoja tuone kama ataitwa polisi kwenda kuhojiwa!!!!
 
Kwani yule ni katibu wa vijana au waz make umri si chini ya miaka46,. Au ndo vijana wa ccm
 
Shigela hana akili kabisa,mkutano wa chadema halafu wanachadema wabebe mawe wajipige?
 
ktk taarifa ya habari ya chanel teni nimemuona katibu mkuu wa uvccm martin shigella akitangaza kwamba vijana wao wa ulinzi kuwa tayari na mapambano dhidi ya chadema. Kauli hiyo ameitoa kutokana na mauaji ya jana ya mwanachama wao iliyotokea huko singida ktk mkutano wa hadra wa cdm. Amesema huyo aliyeuwawa ni kiongozi wao wa chama ,
je kama ni kiongozi alifata nini kwenye mkutano wa chadema?

mwambie sisi ccm wenye akili zetu atudanganiki......atangulie yeye na nape kwanza kujibu kupambana sio wanaongea wakiwa majukwaani kisha wanashuka kwenda kwenye v8 alafu sie tutolewe macho wattawasikiliza wasionaupeo wa kufikiri wenzao..nyooo eti mashambulizi we unakula bata
 
Vita ni mapambano si maneno.

Waoneshe vitendo halafu wapime matokeo
 
Hivi hii nchi tuna Ma-Amiri Jeshi Wangapi? Na huyu Shigella Shiggae ni mmoja wao?
 
Huyu bwana sina hakika kama anajua tukio lilitokea katika mazingira gani, kama angefahamu mazingira ya tukio nadhani angesema polisi na usalama wa Taifa waliopewa taarifa mapema wakapuuza wachukuliwe hatua za kisheria. Juzi wanawalazimisha Chadema watoe taarifa polisi kuhusiana na njama za mauaji lakini sasa Mungu amethibitisha kuwa kauli ya waziri na Polisi ni usanii mtupu na Watanzania wamethibitisha hilo kabla kauli ya waziri haijasahaulika.
 
Back
Top Bottom