Shigella. Atangaza vita na CHADEMA.

Hahaha mtamaliza maneno kujitetea kwa uoga, dhambi ya kuuwa inawatafuna kwa kasi.
 
nimeshangaa anavyo wahimiza makamanda wake wa green guard eti wakae tayari kupambana na chadema hadi kieleweke. eti kisa chadema wameua katibu wa ccm iramba so ccm eti wajiandae kujibu mapigo.

INGEKUWA HERI KIKOMBE HIKI KITUEPUKE, mwigulu ni laana! laana! laana!, atakufa kinywa wazi,

nilihudhuria mkutano wa chadema wilayani nanyumbu, katika umati mkubwa alihudhuria pamoja na wanaccm wengine mwenyekiti wa ccm ambaye awali alikuwa chadema na kurudi ccm, hakuna aliyemfanyia fujo, palikuwa na amani ya kutosha. wakati kamanda mbowe akihutubia aliwachekesha wasikilizaji alipomtoa hofu na kumtaka kusikiza hotuba kwa amani kabisa wala asinyongee kwani hiyo ndiyo siasa! Kwa ushahidi huu ambao nimerekodi hiyo clip nashuhudia duniani mpaka mbinguni kuwa chadema wako clean. TATIZO NI MWANHARAMU MWIGULU
 
Ni kawaida ccm kuwa na mipango ya kuvuruga mikutano ya CHADEMA na kilichotokea ni namna Mungu alivyoamua kuwaaibisha.Hata ukiwa mpumbavu vipi,huwezi kukubaliana na hili.Eti CHADEMA wakusanye mawe kwenye mkutano wao harafu vurugu zitokee afe mwanaccm:alitokea wapi na kwa lengo lipi? Mbona CHADEMA wamefanya mikutano mingi wala hawajawahi kuua mtu,ila nakumbuka Mb.Peter Msigwa alinusurika kuuliwa na Diwani wa ccm aliyeshirikiana na vijana wake mjini Iringa na sijajua kesi imefikia wapi! N.B Shigella,Nape na Mwigulu rudini kundini.Mnapenda mafanikio binafsi na umaarufu usio na tija huku mkijitenga na vijana wenzenu.Hivyo vihela mnavyopewa na Mafisadi ndo vinawapa jeuri hadi mnaingilia chaguzi za chama na kuwapendekeza viongozi watakaofata matakwa yenu.Hata mwalimu aliwahi kusema-ccm siyo baba wala mama yangu so acha kife tu.Mwigulu umecheza infiltration trick kijinga kabisa!
 
Vijana tupo tayari kwa mapambano, hasa mapambano dhidi ya huyu mkoloni mweusi ccm. Vijana msiogope ktk ukombozi huu, muwe tayari kufadhidi ya hawa wezi wa Taifa hili. Vijanaaaa mbeleeee nyuma mwiko.
 
huyo kachanganyikiwa, atakufa kwa BP muda si mrefu,maana atajikuta yuko peke yake kwenye kundi la wazee.
 
She-girl, she-gel, shegella?, Huyu mpuuzi. Achukue zake, za kikwete, Nape na Mchemba hawatakaa wazuie moto wa CDM,M4C Inasongambele
 
Sawa ngoja tione nani atalalamika kama CDM kupambana na CCM ha ha ha ha ha ha ha ,ngoja tuone nadhani hamuwajuhi vizuri Green guard kama mnaua watu makusudi kwa uroho na tamaa yenu ya madaraka!
 
Ktk taarifa ya habari ya chanel teni nimemuona katibu mkuu wa uvccm Martin shigella akitangaza kwamba vijana wao wa ulinzi kuwa tayari na mapambano dhidi ya chadema. Kauli hiyo ameitoa kutokana na mauaji ya jana ya mwanachama wao iliyotokea huko singida ktk mkutano wa hadra wa cdm. Amesema huyo aliyeuwawa ni kiongozi wao wa chama ,
je kama ni kiongozi alifata nini kwenye mkutano wa chadema?

poleni ndugu wa marehemu!
alikuwa mwanachama tawi gani? kadi yake namba ngapi?
amejiunga lini CCM!
alitoa taarifa kwa viongozi wenzake kwamba anaenda kuudhuria mkutano wa chama pinzani?
alikuwa na mpango wa kurudisha kadi ajiunge chadema?
 
Shigella are bacteria that can infect the digestive tract and cause a wide range of symptoms, from diarrhoea, cramping, vomiting, and nausea, to more serious complications and illnesses. Infections, called shigellosis, sometimes go away on their own; in others, antibiotics can shorten the course of the illness

nauona mgomo mwingine wa madaktari,kula like mkuu
 
Vijana tupo tayari kwa mapambano, hasa mapambano dhidi ya huyu mkoloni mweusi ccm. Vijana msiogope ktk ukombozi huu, muwe tayari kufadhidi ya hawa wezi wa Taifa hili. Vijanaaaa mbeleeee nyuma mwiko.

Wewe ni kijana kilaza ndiyo maana unatumika bila kujitambua vijana wenye akili timamu hawawezi tumika kama utumikavyo wewe,tunajua chadema mko tayari kwa vurugu ndiyo maana mnaanzisha fujo kila kukicha sasa kaeni mkijua usimuone kobe kainama ukazani fara nyie anzisheni sisi tutamaliza kabisa kama hamuamini mtaona!
 
Ktk taarifa ya habari ya chanel teni nimemuona katibu mkuu wa uvccm Martin shigella akitangaza kwamba vijana wao wa ulinzi kuwa tayari na mapambano dhidi ya chadema. Kauli hiyo ameitoa kutokana na mauaji ya jana ya mwanachama wao iliyotokea huko singida ktk mkutano wa hadra wa cdm. Amesema huyo aliyeuwawa ni kiongozi wao wa chama ,
je kama ni kiongozi alifata nini kwenye mkutano wa chadema?

tafadhali shigela kauli hizo zichungeni sanaa. hata rwanda walianza hivi hivi. fatou bensouda anafata nyayo za moreno ocampo kule the hague. hatashindwa kuja kuwakamata watu km kina shigela once vita ikitokea tz. nawashauri cdm kila tukio rasmi la chama liwe recorded picha mnato na na picha mtembeo. this is very2 important ktk kipindi hiki kigumu cha "the mabwepande legend"
 
Huu ni ukorofi wa wazi kbisa bt wacha waanze kuzoea mazingira ya kuwa wapinzani kbla neno halijatimia
 
....

Anawayawaya tu!!

Ndicho walichokuwa wanakitaka....!!

Hawana vijana!! wa mapambano!! poa tu!!

Hakuna amani inapatikana kwa ncha ya panga!

..

Hakika hawana vijana wa mapambano hata punje!
Kama wanataka vujo na wajaribu kuanzisha na wajue kilichomnyima kanga ndege manyoa ya shingo
 
Hivi hii nchi tuna Ma-Amiri Jeshi Wangapi? Na huyu Shigella Shiggae ni mmoja wao?

kwani hujamsikia mrema akisema kila mtu ana ndevu baba mama watoto hata house girl na house boy wote sharurubu...unamuuliza house boy ummekatia ngombe majani anakwambia nenda wewe leo zamu yako
 
​wote tuko tayari kwa mapambano anzeni muone
Wewe ni kijana kilaza ndiyo maana unatumika bila kujitambua vijana wenye akili timamu hawawezi tumika kama utumikavyo wewe,tunajua chadema mko tayari kwa vurugu ndiyo maana mnaanzisha fujo kila kukicha sasa kaeni mkijua usimuone kobe kainama ukazani fara nyie anzisheni sisi tutamaliza kabisa kama hamuamini mtaona!
 
Ktk taarifa ya habari ya chanel teni nimemuona katibu mkuu wa uvccm Martin shigella akitangaza kwamba vijana wao wa ulinzi kuwa tayari na mapambano dhidi ya chadema. Kauli hiyo ameitoa kutokana na mauaji ya jana ya mwanachama wao iliyotokea huko singida ktk mkutano wa hadra wa cdm. Amesema huyo aliyeuwawa ni kiongozi wao wa chama ,
je kama ni kiongozi alifata nini kwenye mkutano wa chadema?

Huyu anahimiza watu wake wafanye fujo na kuvunja sheria, halafu polisi isiomuonye? Kama mwanachama wao kauwawa, yeye kama kiongozi anatakaiwa kusimamia kuhakikisha kuwa sheria inafuata mkondo wake sawasawa, badala ya kuwatangazia kuwa watu wake wafanye fujo.
 
Hii nchi bana timezidi kuogopana hivi kwa nini tusipigane kweli
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom