Kuna tofauti Kati ya Kukulia Kwenye Siasa na Kukuzwa na Siasa, huyu Dr Nchimbi amekuzwa na Siasa. CHADEMA hawatabembelezwa tena!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,121
Wako Wanasiasa wengi ambao wamekuwa Siasani Lakini Siasa hazijawakuza hivyo wanakuwa watu wasio na misimamo

Na Hili liko kwa watoto wengi wa viongozi ambao hubebwa tu na mbeleko na Majina ya baba zao na Wao kukuta wanakuwa viongozi wasio na dira wala maono

Emmanuel ni mtu aliyekulia katika Siasa Lakini Siasa ndio imemkuza, ni mtu anayejua Siasa mwenye msimamo usioyumba

Nakumbuka Wakati wa kuasisi kundi la Friends of Lowasa walikuwa wanasema " Sifa na Vigezo Kuzingatiwa" kwa sababu walihitajika watu smart siyo mtu yoyote tu kwa sababu walikuwa na Maono ya mbali

Kwa Emmanuel tutegemee siasa zilizochangamka kutoka CCM kama walivyofanya Kolimba na Kinana

Hakutakuwa na Siasa za kukaa ofisini tena ni Siasa za field, Site na Mitaani kama ilivyofanya ile UVCCM yake na mdogo wake Mallisa na Kaka yao Shigella

CHADEMA isitegemee kubembelezana tena na Zitto Kabwe asitegemee kumuuzia taarifa Emma kwani ana vyanzo vyake lukuki

Juu ni Wakati wa Wastaafu kulea Wajukuu 😂

cc: Mzee Mgaya - Lukumburu
 
Zero initiative

Giza kila kona....

Hakuna nafùu bora juzi

Sukari haina rivasi

Maharage hayana rivasi

Unga hauna rivasi

Nauli hazina rivasi

Pumzikeni tuu nawengine WALIENDESHE....

Kilasiku TUTAFIKA KESHO...
 
Wako Wanasiasa wengi ambao wamekuwa Siasani Lakini Siasa hazijawakuza hivyo wanakuwa watu wasio na misimamo

Na Hili liko kwa watoto wengi wa viongozi ambao hubebwa tu na mbeleko na Majina ya baba zao na Wao kukuta wanakuwa viongozi wasio na dira wala maono

Emmanuel ni mtu aliyekulia katika Siasa Lakini Siasa ndio imemkuza, ni mtu anayejua Siasa mwenye msimamo usioyumba

Nakumbuka Wakati wa kuasisi kundi la Friends of Lowasa walikuwa wanasema " Sifa na Vigezo Kuzingatiwa" kwa sababu walihitajika watu smart siyo mtu yoyote tu kwa sababu walikuwa na Maono ya mbali

Kwa Emmanuel tutegemee siasa zilizochangamka kutoka CCM kama walivyofanya Kolimba na Kinana

Hakutakuwa na Siasa za kukaa ofisini tena ni Siasa za field, Site na Mitaani kama ilivyofanya ile UVCCM yake na mdogo wake Mallisa na Kaka yao Shigella

CHADEMA isitegemee kubembelezana tena na Zitto Kabwe asitegemee kumuuzia taarifa Emma kwani ana vyanzo vyake lukuki

Juu ni Wakati wa Wastaafu kulea Wajukuu 😂

cc: Mzee Mgaya - Lukumburu
Shallow analysis. Sana sana ni kutumia polisi kuua wapinzania, short of that hana lolote ndani ya nguvu ya kuitikisa chadema....
 
Chadema wanahitaji kushughulikiwa kibabe kwa speed ya Ambulance 😂

Maridhiano hawayawezagi!
 
Wako Wanasiasa wengi ambao wamekuwa Siasani Lakini Siasa hazijawakuza hivyo wanakuwa watu wasio na misimamo

Na Hili liko kwa watoto wengi wa viongozi ambao hubebwa tu na mbeleko na Majina ya baba zao na Wao kukuta wanakuwa viongozi wasio na dira wala maono

Emmanuel ni mtu aliyekulia katika Siasa Lakini Siasa ndio imemkuza, ni mtu anayejua Siasa mwenye msimamo usioyumba

Nakumbuka Wakati wa kuasisi kundi la Friends of Lowasa walikuwa wanasema " Sifa na Vigezo Kuzingatiwa" kwa sababu walihitajika watu smart siyo mtu yoyote tu kwa sababu walikuwa na Maono ya mbali

Kwa Emmanuel tutegemee siasa zilizochangamka kutoka CCM kama walivyofanya Kolimba na Kinana

Hakutakuwa na Siasa za kukaa ofisini tena ni Siasa za field, Site na Mitaani kama ilivyofanya ile UVCCM yake na mdogo wake Mallisa na Kaka yao Shigella

CHADEMA isitegemee kubembelezana tena na Zitto Kabwe asitegemee kumuuzia taarifa Emma kwani ana vyanzo vyake lukuki

Juu ni Wakati wa Wastaafu kulea Wajukuu 😂

cc: Mzee Mgaya - Lukumburu
ccm wapo madarakani hadi leo kwa kutumia vyombo vya dola.
Ndio maana hawataki kabisa kusikia swala la katiba mpya.
Hakuna kitu hapa duniani ambacho hakina mwisho, na ccm mwisho wake utakuwa mbaya sana.
 
Ni posho zake zimetoka lakini ukweli anaujua sn
 
Wako Wanasiasa wengi ambao wamekuwa Siasani Lakini Siasa hazijawakuza hivyo wanakuwa watu wasio na misimamo

Na Hili liko kwa watoto wengi wa viongozi ambao hubebwa tu na mbeleko na Majina ya baba zao na Wao kukuta wanakuwa viongozi wasio na dira wala maono

Emmanuel ni mtu aliyekulia katika Siasa Lakini Siasa ndio imemkuza, ni mtu anayejua Siasa mwenye msimamo usioyumba

Nakumbuka Wakati wa kuasisi kundi la Friends of Lowasa walikuwa wanasema " Sifa na Vigezo Kuzingatiwa" kwa sababu walihitajika watu smart siyo mtu yoyote tu kwa sababu walikuwa na Maono ya mbali

Kwa Emmanuel tutegemee siasa zilizochangamka kutoka CCM kama walivyofanya Kolimba na Kinana

Hakutakuwa na Siasa za kukaa ofisini tena ni Siasa za field, Site na Mitaani kama ilivyofanya ile UVCCM yake na mdogo wake Mallisa na Kaka yao Shigella

CHADEMA isitegemee kubembelezana tena na Zitto Kabwe asitegemee kumuuzia taarifa Emma kwani ana vyanzo vyake lukuki

Juu ni Wakati wa Wastaafu kulea Wajukuu

cc: Mzee Mgaya - Lukumburu
Hizo siasa za field ndio zitapunguza bei ya sukari! Zitapunguza nauli! Ndio zitaondoa rushwa na ukosefu wa madawati shuleni! Hizo siasa za field zitapunguza ugumu wa maisha na mfumuko wa bei kwa wananch?!

Ccm hawana mbinu zozote za kuitoa nchi hii kwenye lindi la umaskini wanafanya siasa za kijamaa na wanafurahia kuendesha nchi ambayo haina mifumo mizuri ya kiutawala kwa kumiliki mihimili yote ya nchi na kuitumia kwa manufaa yao.

Kilichopo ni kwamba hakuna uwajibikaji wa viongozi kwa wananchi bali wananchi ndio wanalazimishwa kuwajibika kwa viongozi wao! Kizazi kinachokuja kikifanikiwa kubadilisha mfumo!!ccm itakuwa kama mavi na itakuwa kosa la jinai kutamka ilo jina hadharani,itakuwa ni aibu na jinai kama vile kupiga saluti ya NAZI hadharani.
 
Back
Top Bottom