Shibuda: Wanaopinga posho ni madomokaya na wahuni

Wakati ule anawatukana Wabubge wenzake eti bado ni vijana Bungeni hawajui mambo ya kibunge, ambapo pia alikataa kutoka nje ya Bunge, CDM walimsamehe. Lakini katika hili, nafikiri CDM wamfukuze tu. Tuone kama hatarudi tena CCM. Ni afadhali kumkosa Shibuda kuliko kuwa naye. Hana msaada kwetu, siyo mzalendo, hana utu, hathamini wananchi wake, anafanyia tumbo lake tu na familia yake.

Terms za karata ni garasha kwenye kiboi anachambuliwa nakuwekwa pembeni
 
Hivi juzi wabunge wa cdm walivyotoka nje nae alitoka kweli?
 
Kati ya watu CDM imechemsha ndo huyu,hivi hata haon huruma ya wananchi wa jimbo lake walivyo na maisha magumu?Shibuda akapimwe akili na apelekwe Mirembe

Anazo sana yule, mgamba walimtosa purposely wakijua ataokotwa na CDM, sasa wao wanaenjoy kuona wanapata taarifa za CDM kupitia kwa huyu mshenzi!
 
hivi Shibuda si aliwahi kuutaka urais? Just imagine angekuwa ndio rais wetu....bogus la kufa mtu!
 
tunu au zigo?

let us put it this way..this shibuda guy is no fool,he know what he is doing,the man also is a very good actor may be someone should dig about his past.his behaviour kind of interest me.this guy is realy very interesting.he is got some balls this one.
Remember he was the only guy who try to challenge jk when he wanted to also run but withdraw later.this guy full usanii.
When sisiem dumped him his next stop ..CDM,..Hah...!!
This guy is a plant.
 
Ndio madomokayaa tuuu Shibuda umenena.....ndio maan a unapata ubunge uwe chadema au CCM maana unasema ukweliii
 
Mimi si mtaalam wa Afya, namaanisha dakitari, lakini nijuavyo kuwa kidole tumbo hakina faida saaana mwilini, lakini kipo tu.
Na hii ndio kwa Shibuda hana umuhimu sana na CDM, lakini yupo!
 
Ndg. zangu Shibuda ana mtindio.Kwa hiyo cdm wavmilie hayo matapshi ya wenye magamba.
 
CDM wamekuwa wakwanza kila mara kutaka magamba wawe wepesi kufanya maamuzi magumu ilhali wao wenyewe wanaogopana,si mara ya kwanza Shibuda kupishana na viongozi wake,alishawahi kuita sitting allowance UJIRA WA MWIHA!akipigia chepuo kuwa ni stahili halali kwa wabunge!CDM kuweni mfano kwa kuchukua maamuzi magumu,kubalini mpoteze jimbo moja kwa kumfukuza katika chama Shibuda ili sisi ambao hatujashawishika na siasa za bongo tubadilishe mawazo angalau mwaka 2015 tukasimame katika vituo vya kupigia kura kwa mara ya kwanza!Dr Slaa mbona mnakuwa mabubu katika hili?
 
Mimi si mtaalam wa Afya, namaanisha dakitari, lakini nijuavyo kuwa kidole tumbo hakina faida saaana mwilini, lakini kipo tu.
Na hii ndio kwa Shibuda hana umuhimu sana na CDM, lakini yupo!

Nimeipenda hii, kumbe shibuda="KIDOLE-TUMBO"

Ndio maana anaipenda tumbo yake zaidi, wakati kidole chenyewe kilikokaa hakikuni wala kushika chochote
 
kuwa na huyu bwana ni sawa na kufuga mbwa mwenye kichaa hana faida na anaharibu jamii kwa kuambukiza sumu . tafadhari hatufaiiiii . atoke atoke aende kwa wenzie ccm.
 
Back
Top Bottom