Shibuda: Wanaopinga posho ni madomokaya na wahuni

Huyu jamaa wanaCDM walimtenga kitambo na wala hashirikishwi kwenye maswala ya msingi ya chama coz ameshagundulika ni ndumilakuwili.
Busara imetumika kumuacha aendelee kuropoka ila mwisho wa siku umma utaamua kutokana na matendo na maneno yake yeye binafsi kama mbunge.
 
She-Budha ni yupi huyu mbona mimi simfahamu?

Ni huyu?
hd58VZkiPsi0wAAAABJRU5ErkJggg==


Au huyu?

i9FXu2H8hM9dgAAAABJRU5ErkJggg==
 
Kiongozi kama huyu inaonesha dhahiri kwamba ni mchumia tumbo, kama vp inabidi chadema iangalie namna na kum-drop haraka iwezekanavyo ili kuepeuka madhara ya uropokaji wake.
Kwa kawaida binadamu huwa na options zifuatazo:
1) Kukaa kimya
2) Kuongea, na suala hapa si tu kuongea...issue ni je unaongeaje na unaongea nini?

Shibuda ni shimo la taka, na ndo maana sisiemu walimchoka wakaamua kuamfukuza. Ni mtu asiye na msimamo hata chembe.
 
Mzee unadhani akili za viongozi wa Chadema zimezeeka kama zako? Kwa sasa Shibuda anapewa psychological torture ...ndo maana unamsikia kila siku anabwabwaja maneno kama muendawazimu fulani!
uwezo wao uliishia kwa wale madiwani wa Arusha. Wajaribu kwa Shibuda waone moto.
 
For real tangu aingie CDM, Shibuda amekua kama zigo tu,.huyu jamaa inabidi afukuzwe CDM tu hana tija yoyote katika chama wala hana huruma kwa wananchi wa Tanzani na wapiga kura wa jimboni kwake.
 
I second this.
Mlishasikia akichangia kitu gani cha maana bungeni?
Yule lazima utetezi wa haki za binadamu unaopigiwa kifua na Cameroon, Clinton na Obama utakuwa unamhusu sana yule.

Inawezekana kwani kakulia Zanzibar mnyamwezi yule
 
Katika hali ya kushangaza mbunge wa maswa John Shibuda-chadema amewalaani vikali watu wote wanaopinga nyongeza ya posho ya wabunge na kuwafananisha wote hao wanaopinga na madomokaya na wahuni.

Shibuda ameendelea kusema kwamba nyongeza hiyo ni kidogo sana na watanzania waendelee kuiomba serikali iwajali wabunge wake.Shibuda amesema wanaopinga ni wanafiki wakubwa,wasaliti na waropokaji.

Source: Shibuda aliongea na waandishi jana na kunukuliwa na baadhi ya magazeti leo kama Tanzania daima na majira

Wala sio swala la kushangaa,SHIBUDA KANENA UKWELI...huo ndio ukweli wanatafuta tu cheap popularity,kwahili naungana na SHIBUDA kwakuwa wanaoropoka wote juu ya hiyo posho wanaropoka tu kwenze media na bila kuwambia wananchi hatua za kuchukua au wenyewe kuongoza mapambano ya posho hizi zisilipwe..wanapiga kelele tu magazetini..waonekane wanaonea hruma wananchi wakati wao wanachukua posho na maslahi mengine ya wabunge ambayo ni makubwa sana,hilo lenyewe linahitaji kupigwa sio posho tuuu....SHIBUDA wambie wanafiki wa media hao
 
Dah, lazima niseme kuwa hapa waliokota garasha hatufai kabisa huyu kama ni kweli kayasema haya!

Kaka huwa nasoma michango yaku huwa imetulia ila kwahili haujafikiria zaidi kaka,hapa Shibuda yupo sawa...kaka ebu nitajie hao wabunge wa chadema na CCM wanaopinga hizo posho wamechukua hatua gani thabiti ya kuzuia ufujaji mkubwa huu wa kodi za wananchi?nitajie usiseme tu wwamesema kwenye media..hiyo ndio shibuda anaongelea wanatafuta tuu umaarufu kwenye media waanchoi wajue kuwa wanawatettea..no..mtu aliye serious ...uanzisha mapambano ya dhatii...kumbuka Dr. Slaa alikua anasema bungeni na kwenye media..lkn hakuwa anaishia hapo alifanya mikutano...kueleza hoja zake anazopinga watu walimuelewa ndio mana ahadi leo anapendwa vile na kila mtu anaamini kweli yule ni mtetea haki..!sasa Slaa alikua mmoja...wao wanaopinga shv kwenye media wapo zaidi ya watano inakuwaje wanaishia kubwabwaja tu bila kuchukua hatua kubwa ikiwemo kuhamasisha wananchi kukataa na hata kufungua kesi kupinga au kushinikiza mpango huo ufutwee...hao wanaganga njja kwa migongo ya media tuuuuu hawana uchungu wowote na waanichi.
 
Huyu mtu haishiwi vituko, Kuna haja gani kuendelea kumbeba wakati anakichafua chama? hivi haoni magamba wanavyofanya hata kama hoja huitaki basi mnasutana kwenye vikao vyenu!! Si kuita wana habari na kuropoka kama anavyofanya huyu jamaa ambae jina linalomfaa yeye ndie tumwite Domokaya.

Wito kwa viongozi wa CDM fikirieni hili jambo na muondoe hii takataka ili tubaki na watu wenye ubongo mzuri huyu Mhuni arudi kwa wenzie(Magamba watampokea kwa sababu anawasifu sana)
 
si kila mtu ana access na unachoona, ni vyema ukapanga hoja na kuleta habari kamili kama wanavyofanya wakubwa zako akina superman, BAK, Ruta nk.

Unakurupuka kama umeumwa na siafu na habari nusu.......... cant you even give a little background umeona nini kilichotokea ili wengine nao waelewe unasema nini??
 
si kila mtu ana access na unachoona, ni vyema ukapanga hoja na kuleta habari kamili kama wanavyofanya wakubwa zako akina superman, BAK, Ruta nk.

Unakurupuka kama umeumwa na siafu na habari nusu.......... cant you even give a little background umeona nini kilichotokea ili wengine nao waelewe unasema nini??

mkuu kuna thread yangu humu inayoelezea alichosema Shibuda
 
NI UKOMAVU WA KISIASA kumvumilia mtu huyu!! mwacheni afanye anachotaka ila CHADEMA waanze kumuandaa kamanda mwingine kwa ajili ya jimbo hilo! Wakati wa uchaguzi ujao hatapokelewa na CCM atakwenda kwa mke wao CUF na hataweza kushinda! Lakini akitimuliwa sasa atapokelewa na Masisiem kama shujaa halafu anaweza akashinda na kurudi bungeni kupiga porojo hizo hizo!!
Hivi Domo la Shibuda halionekani kama domo kubwa zaidi ya umbile lake linalofaa kuitwa kuwa domokaya?
 
Wanaweza kubisha, lakini Shibuda ni indicator nzuri sana ya udhaifu wa CHADEMA

Kama wanashindwa kumdiscipline huyu, wataweza akina Rostam na Iqbal au mafisadi kweli??

Sad.............
 
dah chadema chadema chadema.....shibuda anasubiri nini....muondoeni jaman
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom