Shibuda kugombea uenyekiti CHADEMA

Mnyantuzu kwa kawaida ni mjanja na tapeli..................... Anataka kuvuta pesa ya CCM huyu........... Mark my words!!

Kama kweli wako na Zito then wanataka kuua chama............J ila sidhani kama watafanikiwa kwa hilo.
Kwani shibuda hatakiwi kugombea uenyeketi? Kwani na uenyeketi ni wa watu flan tu from moshi.
Msituretee hayo mambo hapa. Shibuda ana rights za kutosha
 
nimezipata kutoka ndani ya chadema, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya chadema baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bw shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya zitto kabwe

CDM kama mtampitisha Shibuda kugombea jua wananchi watapoteza imani sana na CDM na ndiyo downfall yenu. Cha pili naomba sana SSM wanamtumia sana Zitto ili awe na kambi yake CDM ili kukuffisha Chama. Ni wakati umefika mfanya maamuzi magumu sana maana mpasuko utaweza kukua na kuanza kuwatesa kama inavyoteseka SSM. Be careful, Zitto is of no GOOD to you.
 
Mnyantuzu kwa kawaida ni mjanja na tapeli..................... Anataka kuvuta pesa ya CCM huyu........... Mark my words!!

Kama kweli wako na Zito then wanataka kuua chama............J ila sidhani kama watafanikiwa kwa hilo.
Kwani shibuda hatakiwi kugombea uenyeketi? Kwani na uenyeketi ni wa watu flan tu from moshi.
Msituretee hayo mambo hapa. Shibuda ana rights za kutosha kugombania nafasi yeyote ile ndani ya chama. Si ni mwanachama hai
 
Kwani shibuda hatakiwi kugombea uenyeketi? Kwani na uenyeketi ni wa watu flan tu from moshi.
Msituretee hayo mambo hapa. Shibuda ana rights za kutosha

Pandikizi na mamluki hawezi kuwa kiongozi. Ameshatambuliwa anahesabu siku ziishe 2015 aishie ki-gentleman!!
 
Shibuda ana haki ya kugombea hata uraisi,ni haki yake na muacheni agombee anachotaka,ila anajua fika kuwa kwa jinsi alivyoishajidhihirisha katika jamii ya watanzania labda apate kura yake na ya mkewe basi.
 
Hawa jamaa Hakuna kitu kabisa.
Maneno ya sitta utayakataa vipi sasa?
Safu ya uongozi deki hawa jamaa wajipange kwanza wanatakaje nchi hawa?
 
Sidhani kama CDM walikuwa hawajui agenda ya Shibuda. Na hili alilokuja nalo sio jipya. Anataka atimize alichotumwa
 
JF wakati mwingine kama hatuna ma mods... mtu anaanzisha Uzi/ thread eti nimepata toka ndani ya chadema? ok kama we ni Mods hujiulizi je Chadema sasa kuna uchaguzi? CCM kuna nini? hoja haina mashiko kabisa ni kuidhalilisha JF. ANYWAY liwalo NA liwe
 
Hiki kirusi kina taka kula mafile aisee haina budi cdm tuki dhibiti na antivirus kali!
 
nimezipata kutoka ndani ya chadema, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya chadema baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bw shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya zitto kabwe
Sasa hapa chadema ndo mtatuonesha hii demokrasia ya kweli sasa au mtudhihirishie kwamba hili chama la wakilimanjaro.
Na wakimnyima au kumkatalia ndipo tuwaulize why zitto by then? Why shibuda? Who fits this position? Where should he comes from? Who has the ability and power to deny others?
 
Kwa hili la Shibuda kugombea uenyekit wana CDM tuliopo JF tuoneshe kupevuka kisiasa kidogo, tumuunge mkono Shibuda agombee kwa sharti moja tu la kukubali matokeo na sio kuhama chama baada ya matokeo kutangazwa kama alivyofanya prof. Safari alipogombea uenyekiti CUF. Kugombea ni haki ya kila mwanachama. Tuache ukiritimba usio na msingi. Na tusifanye CDM kuwa chama cha kichief. At CDM all membefs are equal
 
Acheni kuvuruga chama chetu. Mimi najua wewe ni gamba na umetumwa na Nape.
Nimezipata kutoka ndani ya CHADEMA, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya CHADEMA baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bwana Shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya Zitto Kabwe
 
Back
Top Bottom