Shibuda kugombea uenyekiti CHADEMA

Duh,

Visa. Mtu aliyetakiwa kugombea uanachama leo anasemwa kugombea uenyekiti.
 
Nimezipata kutoka ndani ya CHADEMA, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya CHADEMA baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bwana Shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya Zitto Kabwe

Usatadh yakhe! Naona hii umeichomoka kwenye kijiwe cha kawahawa.
 
aha!
yani nimegonga
gari lingine mbele yangu
nilikuwa nasoma habari
hii wakati naendeshaaaa
yaniiiiiiiiiiiiii

yan habari nyingine
zina tabu sana
shibuda huyo mzanzibar/msukuma
kuwa m/kiti wangu wa cdm
nachoma vyeti vywangu vyoteeeeeee

V
SENGEREMA
 
Nimezipata kutoka ndani ya CHADEMA, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya CHADEMA baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bwana Shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya Zitto Kabwe

Kugombea atagombea akitaka, tatizo atashinda? kumbuka kuna baadhi ya vyama 2010 vilisimamisha wagombea wa urais huku vikikosa mahudhurio ya hata watu 50 kwenye mikutano yao, lakini walikuwa wanatamka ushindi
 
Urais wa Mwana-CCM, John Shibuda, tunautazamia kupitia CHADEMA kama ambavyo alivyojitangazia mwenyewe na Mh Zitto huko huko mafichoni endapo madai tulioyasoma humu ni ukweli na ukweli mtu.

Mkuu pole na ajali, kila kitu kiko salama lakini?

aha!
yani nimegonga
gari lingine mbele yangu
nilikuwa nasoma habari
hii wakati naendeshaaaa
yaniiiiiiiiiiiiii

yan habari nyingine
zina tabu sana
shibuda huyo mzanzibar/msukuma
kuwa m/kiti wangu wa cdm
nachoma vyeti vywangu vyoteeeeeee

V
SENGEREMA
 
Chama cha DEMOKRASIA na Maendeleo DEMOKRASIA kama ni chama cha DEMOKRASIA basi watamuunga mkono lakini kama sio cha DEMOKRASIA atakuwa anakosa adabu na inabidi awajibishwe!
 
kwani hana haki ya kugombea????........mambo mengine yanawatia presha wakati wala si ya msingi sana..............kwani kugombea ndiyo kupata??? Mnababaika kama ameisha kuwa mwenyekiti.........mwanachama yeyote anaweza kugombea nafasi yoyote ndani ya chama
 
aha!
yani nimegonga
gari lingine mbele yangu
nilikuwa nasoma habari
hii wakati naendeshaaaa
yaniiiiiiiiiiiiii

yan habari nyingine
zina tabu sana
shibuda huyo mzanzibar/msukuma
kuwa m/kiti wangu wa cdm
nachoma vyeti vywangu vyoteeeeeee

V
SENGEREMA
hapa kakosa kura moja tu.......YAKO!
 
Yani ni bora ionekane CHADEMA hakuna Demokrasia kuliko kumpa huyu jamaa uenyekiti wa chama.
 
Nimezipata kutoka ndani ya CHADEMA, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya CHADEMA baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bwana Shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya Zitto Kabwe

hehe ..naye anataka rudisha sultan?
 
KUNA MASANAMU NDANI YA CHADEMA HATA HAYAJUI KWANINI NI MANACHAMA YA CHADEMA, TANGU YAMEJIUNGA HAYANA VISSION WALA MISSION, WAO NI KUKESHA WAKIWAZA WAMUUNGE NANI MKONO AU WAMPINGE NANI, NI UPUUZI SANA HUU, NASEMA WATU KAMA HAWA HAWAJUI MAANA YA UANACHAMA WALA HAWAJUI HAKI ZA WANACHAMA, KWA HIYO WEWE NDIYE UMEPEWA DHAMANA YA KUMTANGAZIA NIA NA KUWACHUJA WAGOMBEA, ACHA KUHARIBU MOVEMENTS ZINAZOENDELEA KWA SASA AKILI YAKO NI SAWA NA YA MJINGA MWINGINE ALIYEKURUPUKA NA KWENDA KWAO KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE TU ILI AHAMISHE WATU KWENYE MADA HALISI YA M4C, WAPUUZI WENZAKO WATAANZA KUJADILI HILI ILA WEREVU TUNAKUTAZAMA TU...
[h=6]Watu wapuuzi huwaza upuuzi mara zote,wapuuzi hawa huwatafuta wapuuzi wenzao kwa gaharama yoyote ili wajadili upuuzi wao, usifungwe katika genge la kujadili upuuzi.[/h]
 
huyu bwana katumwa kuuwa upinzani
watch out Chadema wakati huu msipokee tena makapi
kwa wanaokosa kura za maoni wala msiwakaribu
waandae vijana wanaofaa kuwa wabunge.
Huyu bwana ni janga la kitaifa.
 
Kaka hicho cha majuzi ni ADC. Mkakati unaendelea kati yake yeye Shibuda, CCM na Chama cha Wafugaji Kanda ya Ziwa ambapo Kitaanzishwa Chama kingine cha siasa Kwa lengo la kugawanya kura na umaarufu wa CHADEMA ktk kanda ya ziwa. SHIBUDA atachukua uongozi ktk chama hicho.

Sera kubwa atakazo advocate ni ukabila, udini na ukanda ndani ya CHADEMA. Its just a matter of time, hicho chama kinakuja. Kama ilivyo kwa ADC, Mastermind na mfadhili mkuu wa chama hicho ni CCM na TISS.

Hapa kasulu tunalijua hilo.

Kuna chama kipya kimeanzishwa majuzi haina mwenyekiti.
Akagombee huko
 
Mungu anakipenda sana CHADEMA, Mungu anatupenda sana tena sana WaTanzania. Pepo baya la mipandikizi linavyovurugwa mikakati yao wala sina hamu!!!!!!!!!

Mkuu Penguine, mwaga yote hapa.

Kaka hicho cha majuzi ni ADC. Mkakati unaendelea kati yake yeye Shibuda, CCM na Chama cha Wafugaji Kanda ya Ziwa ambapo Kitaanzishwa Chama kingine cha siasa Kwa lengo la kugawanya kura na umaarufu wa CHADEMA ktk kanda ya ziwa. SHIBUDA atachukua uongozi ktk chama hicho.

Sera kubwa atakazo advocate ni ukabila, udini na ukanda ndani ya CHADEMA. Its just a matter of time, hicho chama kinakuja. Kama ilivyo kwa ADC, Mastermind na mfadhili mkuu wa chama hicho ni CCM na TISS.

Hapa kasulu tunalijua hilo.
 
Nimezipata kutoka ndani ya CHADEMA, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya CHADEMA baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bwana Shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya Zitto Kabwe

Hatuna muda wa kujadili mambo ya Shibuda, napita.
 
Uwezo wa kukiongoza chama anao ukilinganisha na mbumbumbu wa sasa.
 
ivi kwani shibuda hanaga haki ya kugombea uwenyekiti chadema.. kwanini kila linapoguswa swala la uongozi chadema akitajwa shibuda povu lina watoka...sababu hasa ni nini. au ni kwa vile hatokei moshi..au ni kwa vile sio mchaga. au ni kwamba hana haki ya kugombea.
ni bora kumwacha agombee kama akipita basi ni kwamba wanachama wamemkubali na kama amekosa sio mbaya atatii mamlaka. na sio tu mtu kutangaza nia mnaanza kupiga kelele.
 
Kwenye blue hapo kuna shaka,
Karne hii tuliyonayo, huwezi kuandika kitu watu wakaamini bila kuweka ushahidi wa picha, audio, video, document, etc.
Mfano:-
Pinda (aka Mzee wa Liwalo na Liwe) alitamka kuwa '...Serikali itachukua hatua, Liwalo na liwe...'. Katika hili ushahidi wa video toka bungeni upo !!
Sasa wewe, weka ushahidi hapa !!
Pole sana, maana siku hizi humdanganyi mtu, watu wanataka ushahidi !!

we utakuwa wakili wa kujitegemea wa hii Bandi, Nenda ka google Circumstantial evidence halafu Mods watakuruhusu kufanya New edition ya Comment yako!
 
ivi kwani shibuda hanaga haki ya kugombea uwenyekiti chadema.. kwanini kila linapoguswa swala la uongozi chadema akitajwa shibuda povu lina watoka...sababu hasa ni nini. au ni kwa vile hatokei moshi..au ni kwa vile sio mchaga. au ni kwamba hana haki ya kugombea.
ni bora kumwacha agombee kama akipita basi ni kwamba wanachama wamemkubali na kama amekosa sio mbaya atatii mamlaka. na sio tu mtu kutangaza nia mnaanza kupiga kelele.
Chadema nafasi zote nyeti katika chama ni lazima zisimamiwe na wachaga au wale waliojitoa kulinda maslahi yao.

Back
Top Bottom