Shibuda kugombea uenyekiti CHADEMA

Anaruhusiwa tu kugombea haina shaka kabisa na sioni huo mtafaruku unatoka wapi? na kama Zitto anamuunga mkono bado ni utashi wake hazuiliwi na mtu yoyote "acheni ngano na magugu zimee pamoja siku ya mavuno ngano safi itawekwa ghalani na magugu yatachomwa moto!!"
 
nimezipata kutoka ndani ya chadema, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya chadema baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bw shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya zitto kabwe

Mnyantuzu kwa kawaida ni mjanja na tapeli..................... Anataka kuvuta pesa ya CCM huyu........... Mark my words!!

Kama kweli wako na Zito then wanataka kuua chama............ ila sidhani kama watafanikiwa kwa hilo.
 
Safi sana kwani Chadema si chama cha demkrasia kwani tatizo liko wapi atapata tu kura 5 zinazomstahili
 
nimezipata kutoka ndani ya chadema, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya chadema baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bw shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya zitto kabwe
Ni haki yake ya kidemo!
 
Chagga Jazz band hawawezi kubali, Baba mkwe wa bend si alisha sema Hawezi kumuachia chama mtu FROM NO WHERE

Kwenye blue hapo kuna shaka,
Karne hii tuliyonayo, huwezi kuandika kitu watu wakaamini bila kuweka ushahidi wa picha, audio, video, document, etc.
Mfano:-
Pinda (aka Mzee wa Liwalo na Liwe) alitamka kuwa '...Serikali itachukua hatua, Liwalo na liwe...'. Katika hili ushahidi wa video toka bungeni upo !!
Sasa wewe, weka ushahidi hapa !!
Pole sana, maana siku hizi humdanganyi mtu, watu wanataka ushahidi !!
 
Hapa ndio tutajuwa hiki chama cha kikanda au kitaifa!

Chama ni cha kitaifa. Angalia idadi ya wabunge wake na mahali wanapotoka.
Chadema ina wabunge toka pande zote za nchi. Chadema ingekuwa na wabunge wengi zaidi isingekuwa wizi wa kura wa CCM.
Natamani sana kuona mwenyekiti wa CCM akitokea Mbeya, Iringa, Rukwa au Katavi. Hapo ndio tutajua kuwa CCM ni chama cha kitaifa !!!
 
nimezipata kutoka ndani ya chadema, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya chadema baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bw shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya zitto kabwe

Ni haki yake ya kikatiba ndani ya Chadema, au wewe una tatizo au shaka na huyo jamaa ??
 
kugombea ni haki ya kila mwanachama kama utaona kuwa utaiweza nafasi unayongombea na wapiga kura ndiyo waamuzi wakuu ktk uchaguzi wa huru na haki,kwa hiyo kwa mh Shibuda kuomba kugombea nafasi yeyote ni haki yake kikatiba na pia ni changamoto kwa chama makini
 
Thread zingine ni mtego ili kupima pressure za baadhi ya wana jf. Wapiga si wapo? tehee tehee teheee!
 
Hapa ndio tutajuwa hiki chama cha kikanda au kitaifa!
udini, ukanda mambo kama hayo mbona umeyakomalia kwa sana? Badala ya kututambulisha kama waTZ! Ukisha tutambua hivyo hutakuwa na wasiwasi kwa nini waislamu/wakristo/ wazaramo ima eneo fulan, wengi wanaipenda cdm, ccm, tlp, cuf....! Hiyo si ndio haki yao ya kidemokrasi? Wewe ni nani unaetaka kuinyanyapaa HAKI ya mtu ya kupenda/kutokupenda na kuchagua/kutochagua kwa sababu au bila hata ya sababu? aah!
 
Last edited by a moderator:
2015 rais wa Tanzania ni Shibuda. Ikulu inahamia Maswa,bunge Shinyanga. Ni zamu ya wasukuma.

Na sie wa lalago tunataka gorofa kama la benki kuu.

Na nyie imarisheni UDP ambacho ni maarufu Bariadi, Old Maswa, Somanda ya Ntunzu, Bupandagila huenda mkajenga ghorofa (sio gorofa kama ulivyoandika) kama la bank kuu
 
Back
Top Bottom