Sherehe za miaka 47 ya Muungano

Keykey

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
3,250
740
Sherehe imeanza, TBC1 wanatangaza 'LIVE' viongozi ndio wanaingia uwanjani.
 
Sasa hivi ameinia Mzee Rukhsa,
mapema aliingia Maalim Seif na kupokelewa kwa salute.
 
Tutaona kama kweli watamsusia JK maana ni uuupuuzi kufanya hivyo!kama wanna lao waseme wazi maana hakuna ubabe wa kuwaburuza tena
 
ccm itanunua mamluki kibao, we umesahau kwenye kampeni mabasi yalivokuwa yanasafiri tanga kwenda arusha kupeleka mamluki ili mikutano ionekane imejaa
 
Tutaona kama kweli watamsusia JK maana ni uuupuuzi kufanya hivyo!kama wanna lao waseme wazi maana hakuna ubabe wa kuwaburuza tena

Ndugu S4E, hayo yanawezekana Bungeni watu wanafanya vikao vya siri na kulishana viapo! usiyategemee hapa uwanjani
 
Uwanjani kukoje? Yaani wananchi wamejitokeza kwa wingi au waliopo ni kama mafungu ya manyasi ktk uwanja wa kwata?
 
Back
Top Bottom