Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TANGANYIKA TANGANYIKA TANGANYIKA ndio wanaotuburuza.
Iko siku iko siku iko siku
TBC! pia wamekata ila naona wamerudi hewani...halafu uwanja wa Amani ni mbaya...Kumetokea nini tena mbona chl 10 wamesitisha matangazo ya sherehe za muungano?
amesema kiuchumi Tanganyika wako juu hivyo wanapaswa wawasaidi upande wa pili ili walingane kiuchu anasema vijana wa Tanganyika wako vizuri kiuchumi wakati vija wa zenji wako hoi...........Tanganyika inawaburuza inawabeba?maana nimesikia mtangazaji TBC anasema,mnaomba iwasaidie kiuchumi nyie bado wadogo,hapo inakuwaje?
Uwanjani kukoje? Yaani wananchi wamejitokeza kwa wingi au waliopo ni kama mafungu ya manyasi ktk uwanja wa kwata?
Hizo bendera 2 zilizoshikiliwa na kikosi cha bendera ni zipi? Mie sizijui. Nielewesheni.
Nadhani anaua soo na kuuza surahii nimeipenda. Kwani kaalikwa nae au ndio anaua soo
Eti TV ya taifa haina inacho kiweza zaidi ya kucopi na kupesti....yamesha kata sijui Kikwete kadondoka kama kawaida yake
Eti TV ya taifa haina inacho kiweza zaidi ya kucopi na kupesti....yamesha kata sijui Kikwete kadondoka kama kawaida yake
watu ni wengi lakini kuna mapengo....