Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Kwani kikombe kinatibu magonjwa ya kuanguka anguka....Pili Babu hatibu mtu anae amini majiniKwani kikombe cha Babu wa Lol hakijasaidia ki2?
Kwani kikombe kinatibu magonjwa ya kuanguka anguka....Pili Babu hatibu mtu anae amini majiniKwani kikombe cha Babu wa Lol hakijasaidia ki2?
viwanja vya aina hii huchukua watu 8000 mpaka 10000, hata hivyo uwanja ulikuwa na wanafunzi wengi....Mkuu, umejaa kweli au ndiyo ule utaalamu wa Tanzania Boaring Channel 1 wa kuchagua sehemu yenye watu wengi na kuipiga picha kama shughuli ni ya CCM AU SERIKALI? Lakini CDM et al wanatafuta yenye watu wachache.
Hivi uwanja wa Amani unachukua watu wangapi vile?
JK anaingia uwanjani.
Yuko kwenye gari la wazi pamoja na CDF mwamunyange, wanazunguka uwanja na kushangiliwa kwelikweli!
Hii ingekuwa na maana kama Tanganyika tungekuwa na rais wetu na zanzibar...mfano Kikwete ndiyo rais wa Tanganyika na shein rais wa Zanzibar....Ningekuwa ni mimi ni mmojawapo wa washauri wa Kikwete basi ningelimshauri wakati anaingia uwanjani na gari la wazi pembeni mwake awepo Rais wa Zanzibar- Shein. Na kama ni lazima basi Mwamunyange angekaa seat ya nyuma ya hawa viongozi wa nchi mbili zilizoungana. A missed opportunity if you ask me.
Hii ingekuwa na maana kama Tanganyika tungekuwa na rais wetu na zanzibar...mfano Kikwete ndiyo rais wa Tanganyika na shein rais wa Zanzibar....
Siyo Yahya; ni babu!Naona sheikh Yahaya kasaidia sana siku hizi haanguki hovyo....
Imekuwaje mbona Station zote za TV zimekata ghafla matangazo live ya sherehe za muungano toka Zanzibar? Kunani kimetokea?
HiiTBC ni ya Zanzibar? Pengine ndio hao waburuzaji.Tanganyika inawaburuza inawabeba?maana nimesikia mtangazaji TBC anasema,mnaomba iwasaidie kiuchumi nyie bado wadogo,hapo inakuwaje?
amesema kiuchumi Tanganyika wako juu hivyo wanapaswa wawasaidi upande wa pili ili walingane kiuchu anasema vijana wa Tanganyika wako vizuri kiuchumi wakati vija wa zenji wako hoi...........
Hii ingekuwa na maana kama Tanganyika tungekuwa na rais wetu na zanzibar...mfano Kikwete ndiyo rais wa Tanganyika na shein rais wa Zanzibar....
Hivyo ulivyosema ni kweli hasa! Kikwete ni Rais wa Tanganyika na ndio maana akashindwa kuhutubia kule Zanzibar!