Sherehe kubwa ya Dk Slaa; Nilidhani CHADEMA ni watu wenye utu...

Hoja yako haina mashiko isitoshe nyie ndo walewaleee.......... mnaofurahia kuona migogoro, umewahi kuoa wewe? Inavyoonyesha na wewe ulikuwepo kati ya wale kina........... waliokwenda kuweka pingamizi, poleni sana.
 
Waliokutuma wamekudanganya wewe. Rudi kawaambie wajipange tena. Laana zitawamaliza
 
akajipange vipi??? si ungesema kwa imani na itikadi yenu ni kuwa DR ni untouchable na hivyo hoja yoyote dhidi yake hamwezi kuiruhusu? kuna nini kwa slaa yeye tu aamue kuendelea na kuoa leo angali akijua tupo ktk maombolezo makubwa?
 
Uzembe wa utendaji wa serikali dhaifu ya ccm ndiyo umesabaisha maafa, ufuatiliaji dhaifu na wewe dhaifu ulitakiwa ukaangue kilio na dhaifu wenzio wanaokaa ofisini bila kukagua meli muda inapo ondoka. Unajidai una uchungu gani hasira zako peleka kwa nyinyiem
 
Nadhani Mheshimiwa umeshindwa kupambanua kiongozi thabiti na madhubuti ni yupi..uongozi si kuhudhuria kila msiba ati ili uonekane "mtu wa watu".Tufike mahali watanzania tutofautishe uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijamii...tumehudhuria misiba na kutoa ubani mara alfu bado nchi inateketea... if you have anything against Dr.Slaa.. you better pick a strong point because this is very trivial....
 
We Mpesapesa kuwa makini sana, kuna siku utashindwa "kujisadia" kisa hujataja CHADEMA
 
Last edited by a moderator:
Ukiwaona bungeni wakitetea maslahi ya wanachi utaamini ni watu. Angalia wakisahau tu utawaua ukweli wao
leo Mh tundu Lissu alitaka kujienyesha anawapenda watz kwa kutaka kuleta Hoja ya Meli ya ZANZIBAR.kumbe akitaka Kumtia ubayani mama yetu.


Ikiwa Tanzania inamaombelezi kupata msiba. Dk slaa anafurahika na Kunywa. kula na vigelegele juuu.
huku wabunge wake wakijifanya wanalia Kilio cha Kudangaya, Kumbe Jioni wanakimbilia DANSI kukata kucheza, kuimba na Kupiga bia.

watz tushukuru na tuamke kwamba Mungu ametuonyesha Mapema jinsi wanasiasa hasa Chadema wasivyojali watu


KESHO MAGAZETI MENGI YATATOA TAHAHARIRI NA PICHA ZA DK SLAA AKIPIGA MZIKI HUKU TAIFA LIKIWA KWENYE MAOMBOLEZI


z3.jpg
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimsikiliza mmoja wa walionusurika katika ajali ya meli jana Bw Kitwana Makama Haji ambaye kalazwa katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja leo July 19, 2012

DSC_1137.JPG
Baadhi ya Maiti zilizookolewa kutoka katika Meli iliozama na kukosa watu wake zikipelekwa kuzikwa na Serikali katika Eneo la Kama lililotayarishwa makusudi kwa ajili hio.


MY TAKE.
HAPA KAMA DK SLAA ANGALIKUWA NDIO RAIS TUSHALIWA KICHWA WAZT. KIKWETE JUU YA UDHAIFU WAKE TUNAOLAZIMISHWA TUMAINI NA CHADEMA. LKN WA DK SLAA KUBURUDIKA LEO NI WAZI SIO UDHAIFU WA KIUTENDAJI BALI NI UDHAIFU WA ROHO



Rubish!
We mpesapesa tangu uingie hapa jana unakuja na post za kidini na uchonganishi tu..... kwa post zako wenye akili tumeshang'amua wewe ni msemaji wa uamsho humu..... somehow mnaona CDM ni threat na unaleta zilezile siasa za maji taka..... either, akili zako ndogo kupambanua mambo na hivyo unatumiwa kuleta chuki au, udini wako unakuongoza kuchukia CDM au wewe ni magamba unapiga vita za maji taka dhidi ya CDM.... jipange
 
Nadhani mtoa mada angewashauri vingozi wake hata bendera ya Taifa ipepee nusu mlingoti.
 
ina maana wewe umeona tu harusi ya dr slaa ,hapakuwa na harusi zingine?tofautisha mambo ya kitaifa na mambo ya kifamilia .wewe unayesema hivyo hata sijui umetoa mchango gani ktk msiba huo wa kitaifa
 
WAHI KAWAZIKE WAFU WENZIO HUKO ZENJ[/QUOTE]

kauli yako sio nzuri,waliokufa ni ndugu ZETU JAMAA ZETU,BINAFSI mfanyakazi wa jirani yangu alipanda hile MELI kauli yako NI CHAFU NA INAKERA.
 
ukiwaona bungeni wakitetea maslahi ya wanachi utaamini ni watu. Angalia wakisahau tu utawaua ukweli wao
leo mh tundu lissu alitaka kujienyesha anawapenda watz kwa kutaka kuleta hoja ya meli ya zanzibar.kumbe akitaka kumtia ubayani mama yetu.


Ikiwa tanzania inamaombelezi kupata msiba. Dk slaa anafurahika na kunywa. Kula na vigelegele juuu.
Huku wabunge wake wakijifanya wanalia kilio cha kudangaya, kumbe jioni wanakimbilia dansi kukata kucheza, kuimba na kupiga bia.

Watz tushukuru na tuamke kwamba mungu ametuonyesha mapema jinsi wanasiasa hasa chadema wasivyojali watu


kesho magazeti mengi yatatoa tahahariri na picha za dk slaa akipiga mziki huku taifa likiwa kwenye maombolezi


z3.jpg
rais jakaya kikwete na mama salma kikwete wakimsikiliza mmoja wa walionusurika katika ajali ya meli jana bw kitwana makama haji ambaye kalazwa katika hospitali kuu ya mnazi mmoja leo july 19, 2012

dsc_1137.jpg
baadhi ya maiti zilizookolewa kutoka katika meli iliozama na kukosa watu wake zikipelekwa kuzikwa na serikali katika eneo la kama lililotayarishwa makusudi kwa ajili hio.


My take.
Hapa kama dk slaa angalikuwa ndio rais tushaliwa kichwa wazt. Kikwete juu ya udhaifu wake tunaolazimishwa tumaini na chadema. Lkn wa dk slaa kuburudika leo ni wazi sio udhaifu wa kiutendaji bali ni udhaifu wa roho

Potelea mbali nipigwe ban kukuita mpumbavu huna elimu hata kidogo tofautisha masuala binfsi na masuala ya chama na serikali yake kama ulikuwepo wakati wa msiba wa kwanza kitaifa kama unaujua, na sikuambii watu walifanya harusi kama kawaida isipokuwa shughuli za kiserikali zilisimamishwa. Usitake kutuchanganya hapa na ushabiki wako wa kijinga na huyo unayemshabikia kuhudhuria misiba ndiyo chanzo cha hiyo misiba hasa ya magari, meli,Wagonjwa hospitali kukosa huduma na ndege, subiri bado utaona ATCL itakavyowatafuna watz kwa kuruhusu sheria ya kununua mitumba ilihali mpate ten percent, miezi sita haijapita lilianguka kigoma na juzi KIA limesambaratika kioo wewe subiri mtapeperusha bendera nusu mlingoti mwaka mzima mpaka mpenda kuzika wenzake atakapo maliza contract yake.
 
Sijui hata ni reply kitu gani...napata kigugumizi cha mikono nahisi naepushwa na ban.


Nimepitia posti za huyu mtoa mada na kisha nimeangalia amejiunga lini JF nimegundua yupo hapa kwa ajili ya tumbo...

Pia nimegundua anatumia ID nyingi kujsapoti anachokiandika.

Tuliwaona watu kama hawa wakija na kupotea kama harufu ya ushuzi
 
Ukiwaona bungeni wakitetea maslahi ya wanachi utaamini ni watu. Angalia wakisahau tu utawaua ukweli wao
leo Mh tundu Lissu alitaka kujienyesha anawapenda watz kwa kutaka kuleta Hoja ya Meli ya ZANZIBAR.kumbe akitaka Kumtia ubayani mama yetu.


Ikiwa Tanzania inamaombelezi kupata msiba. Dk slaa anafurahika na Kunywa. kula na vigelegele juuu.
huku wabunge wake wakijifanya wanalia Kilio cha Kudangaya, Kumbe Jioni wanakimbilia DANSI kukata kucheza, kuimba na Kupiga bia.

watz tushukuru na tuamke kwamba Mungu ametuonyesha Mapema jinsi wanasiasa hasa Chadema wasivyojali watu


KESHO MAGAZETI MENGI YATATOA TAHAHARIRI NA PICHA ZA DK SLAA AKIPIGA MZIKI HUKU TAIFA LIKIWA KWENYE MAOMBOLEZI


z3.jpg
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimsikiliza mmoja wa walionusurika katika ajali ya meli jana Bw Kitwana Makama Haji ambaye kalazwa katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja leo July 19, 2012

DSC_1137.JPG
Baadhi ya Maiti zilizookolewa kutoka katika Meli iliozama na kukosa watu wake zikipelekwa kuzikwa na Serikali katika Eneo la Kama lililotayarishwa makusudi kwa ajili hio.


MY TAKE.
HAPA KAMA DK SLAA ANGALIKUWA NDIO RAIS TUSHALIWA KICHWA WAZT. KIKWETE JUU YA UDHAIFU WAKE TUNAOLAZIMISHWA TUMAINI NA CHADEMA. LKN WA DK SLAA KUBURUDIKA LEO NI WAZI SIO UDHAIFU WA KIUTENDAJI BALI NI UDHAIFU WA ROHO


Join Date : 19th July 2012
Posts : 68
Rep Power : 314
Likes Received 6
Likes Given 0

Umejiunga JF Juzi...
Tuliza makalio chini usome wanachoandika wenzio.
Au la kachukue kopo ukachambe
 
Kaka ulitala nini wewe?? Hata ajali hii meli imenuliwa na akina dhaifu, wakati marekani wenyewe waligoma,,ye si anapenda kutuchikulia vitu feki na ndiyo yotef
 
Haiwezekani watu tunaomboleza jamaa anaoaaaa Daaaaaaamnnnnnnnn!!huu ni ubinafsi wa hali ya juu

Kwa hiyo hao wanaoombeleza hata mambo ya faragha hawafanyi sio?. Acheni siasa kwenye majanga. Kwani Dr Slaa akiahirisha ndoa ndiyo uzembe uliofanywa na maafisa wanaosimamia usalama wa usafiri baharini watakuwa makini?. Hii tabia ya serikali kuwa inakimbilia kwenye majanga kutoa pole na kujionesha wanajali inaniuzi sana. Kama kweli serikali ipo makini ihakikishe ajali kama hizi ambazo ni man made zinaepukwa. Mi nilidhani baada MV Spice tutasahau kwa kuda kama ilivyokuwa MV Bukoba 1996.

Watu wanakimbilia kwenye majanga kujionesha wanajali wakati wameshindwa kusimamia usalama wa raia. Iweje meli yenye capacity ya 250 ibebe 400?, hakuna polisi?, hakuna wakaguzi?. Mi nilitarajia mpaka sasa kungekuwa ni resignation au 'firings' si chini ta nne. Acheni kusumiza lawama kusiko. Private life ya mtu mkiifanya fair game basi mjue madudu ya private life ya JK na cronies wake yakianza ku-surface hapa msikimbie.
 
Chadema imefunga harusi?ingekuwa ni wewe halafu ni siku ya birthday yako utafanyaje?
 
Back
Top Bottom