Sherehe kubwa ya Dk Slaa; Nilidhani CHADEMA ni watu wenye utu...

Join Date : 19th July 2012
Posts : 68
Rep Power : 314
Likes Received6
Likes Given0

Yaani wewe umeingia jana tu na kuja na habari za ajabu ajabu tu..lol
Kweli nimeamini yale yaliyosemwa kuwa mnalipwa hapo ofisi za Lumumba....
Kazi kwenu..ila watanzania wa le sio wale wa mwaka 2000.....
 
Ukiwaona bungeni wakitetea maslahi ya wanachi utaamini ni watu. Angalia wakisahau tu utawaua ukweli wao
leo Mh tundu Lissu alitaka kujienyesha anawapenda watz kwa kutaka kuleta Hoja ya Meli ya ZANZIBAR.kumbe akitaka Kumtia ubayani mama yetu.

Ikiwa Tanzania inamaombelezi kupata msiba. Dk slaa anafurahika na Kunywa. kula na vigelegele juuu.
huku wabunge wake wakijifanya wanalia Kilio cha Kudangaya, Kumbe Jioni wanakimbilia DANSI kukata kucheza, kuimba na Kupiga bia.

watz tushukuru na tuamke kwamba Mungu ametuonyesha Mapema jinsi wanasiasa hasa Chadema wasivyojali watu

KESHO MAGAZETI MENGI YATATOA TAHAHARIRI NA PICHA ZA DK SLAA AKIPIGA MZIKI HUKU TAIFA LIKIWA KWENYE MAOMBOLEZI

Kesho tarehe 21/07/2012 Makamu mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Moshi Vijijini Bw. Reginald Joseph Mmari anatarajia kufunga noa na Binti wa kimarangu Jackline Michael Shayo katika kanisa la Utukufu wa Msalaba Umbwe (Kibosho). Baadaye tafrija itafanyika kwenye ukumbi wa YMCA moshi mjini kuanzia saa 12 jioni hadi saa 6 usiku...

Ama kweli! ... Nyani hajioni!......
 
Kijana acha hoja dhaifu hii ni kweli kabisa wao wametoka Bungeni kesho SILAA anaoa kwa sherehe wakati Taifa liko kwenye maombolezo je huyu mtu anauchungu kweli na Watanzania? Be a great thinker na Bwana atakuonesha njia
Acha kujiita mchungaji wewe mvaa suruali fupi na gobazi
 
yani sijajua bado baadhi ya watu wanafikiria kwa kutumia nini lakini mtoa mada nahisi hayuko katika hali timamu kiafya.
 
Ukiwaona bungeni wakitetea maslahi ya wanachi utaamini ni watu. Angalia wakisahau tu utawaua ukweli wao
leo Mh tundu Lissu alitaka kujienyesha anawapenda watz kwa kutaka kuleta Hoja ya Meli ya ZANZIBAR.kumbe akitaka Kumtia ubayani mama yetu.

Ikiwa Tanzania inamaombelezi kupata msiba. Dk slaa anafurahika na Kunywa. kula na vigelegele juuu.
huku wabunge wake wakijifanya wanalia Kilio cha Kudangaya, Kumbe Jioni wanakimbilia DANSI kukata kucheza, kuimba na Kupiga bia.

watz tushukuru na tuamke kwamba Mungu ametuonyesha Mapema jinsi wanasiasa hasa Chadema wasivyojali watu

KESHO MAGAZETI MENGI YATATOA TAHAHARIRI NA PICHA ZA DK SLAA AKIPIGA MZIKI HUKU TAIFA LIKIWA KWENYE MAOMBOLEZI

hivi wewe mtoa mada naomba nikuulize, sherehe ni ya cdm au ni ya dk. Slaa. Maana sijawahi sikia chama chochote cha kisiasa kikioa ila mwanamke/mwanaume kaoa au kuolewa
 
=======================================================

Your msg is nonsensical.
Arusi ya Mh. Slaa imetangazwa more than 3 weeks now, ajali ilikuwa haijatokea. By the way, kumbi mbali mbali Dar na kwingineko zitaendelea na sherahe za maharusi n.k, kwani siyo hoja ya msingi kuahirisha mambo ambayo tayari yameshalipiwa GHARAMA za kukodi n.k. ..... Hata hivyo, napoteza muda kumjibu mtu wa low understanding like you.
hapa tayari kama mtihani MMEPATA 0. huu mtaji mkubwa wa CCM wiki hii yote
 
hivi wewe mtoa mada naomba nikuulize, sherehe ni ya cdm au ni ya dk. Slaa. Maana sijawahi sikia chama chochote cha kisiasa kikioa ila mwanamke/mwanaume kaoa au kuolewa

kwa hivy Mh LISSU hata piga bia. kucheza mziki?au akitaka kutonyesha nini bungeni?
 
Ukiwaona bungeni wakitetea maslahi ya wanachi utaamini ni watu. Angalia wakisahau tu utawaua ukweli wao
leo Mh tundu Lissu alitaka kujienyesha anawapenda watz kwa kutaka kuleta Hoja ya Meli ya ZANZIBAR.kumbe akitaka Kumtia ubayani mama yetu.

Ikiwa Tanzania inamaombelezi kupata msiba. Dk slaa anafurahika na Kunywa. kula na vigelegele juuu.
huku wabunge wake wakijifanya wanalia Kilio cha Kudangaya, Kumbe Jioni wanakimbilia DANSI kukata kucheza, kuimba na Kupiga bia.

WAHI KAWAZIKE WAFU WENZIO HUKO ZENJ
 
Naogopa burn ingawa mkuu unachefua kwa hoja dhaifu 3Dr Jk alivyokuwa anakata mitaa ya majuu kipindi chote cha mgomo wa Doctor watu walikuwa hawafi sio?jua ndoa huwa zimepangiwa tarehe maalumu hujui uliza acha majungu wewe.

Bora mi nisiongee mkuu micro. Umemaliza yangu yote ya mdomoni. ''Mtoa hoja ni DHAIFU sana kama ameshindwa kufikiri na kujing'amulia binafsi hadi kuleta kioja hapa. Dah kajipange bhana''
 
​you must be sick
Ukiwaona bungeni wakitetea maslahi ya wanachi utaamini ni watu. Angalia wakisahau tu utawaua ukweli wao
leo Mh tundu Lissu alitaka kujienyesha anawapenda watz kwa kutaka kuleta Hoja ya Meli ya ZANZIBAR.kumbe akitaka Kumtia ubayani mama yetu.

Ikiwa Tanzania inamaombelezi kupata msiba. Dk slaa anafurahika na Kunywa. kula na vigelegele juuu.
huku wabunge wake wakijifanya wanalia Kilio cha Kudangaya, Kumbe Jioni wanakimbilia DANSI kukata kucheza, kuimba na Kupiga bia.

watz tushukuru na tuamke kwamba Mungu ametuonyesha Mapema jinsi wanasiasa hasa Chadema wasivyojali watu

KESHO MAGAZETI MENGI YATATOA TAHAHARIRI NA PICHA ZA DK SLAA AKIPIGA MZIKI HUKU TAIFA LIKIWA KWENYE MAOMBOLEZI
 
Safi sana mkuki umewachoma moyoni sasa wanatoka povu la midomo tu badala kujibu hoja wanaporomosha matusi ama kweli ukirusha jiwe gizani atakae piga zogo ndio lililompata
 
mbona hata msiba na maziko ni sherehe (burial and funeral ceremony) kwani hilo hulijui?
 
huyu famaa ni ccm damu ,angalisema watotona kina mama wazee wanakufa kwa kukosa dawa wakati viongozi wa ccm wana ma tiloni bank ningalikuelewa ,kuna hoja gani kuzungumzia issue parsonal tena ni ndoa imepangwa kwa hiyo ndoa ihairishwe >>ama ni wivu wewe ulipigwa ndoa mkeka
 
Back
Top Bottom