Sherehe kubwa ya Dk Slaa; Nilidhani CHADEMA ni watu wenye utu...

Vipi na Mabomu huko znz hayakusubiri msiba uishe, na Jk mbona aliendelea kutalii mpaka Arusha na Rais mwanamke, na Bibi makinda je alie kataa kuairisha Bunge? na alie wapuuza ma doctor na watu wanakufa? Mi naamini UAMSHO ni ccm mpya
 
hela ya propaganda inawatesa...tz ya saiv co ya miaka ya 60....lete hoja zenye utash kama uwez peleka vioja vyako fb..uku ni kwa watu makini....sijui mods wanaruhusu vp unafk kama huu humu ndan,unaishushia hadh jf... mm co mshabk wa siasa uchwara...hasa kama hz...
 
Home of great thinker'hapo ndio siamini kama kuna great thinker hapa jamvini'michango yao ipo kiushabiki tu,Dr,Slaa ni Katibu mkuu wa chama huwezi kufananisha na wengine ambao wanafunga ndoa kesho,kwa hiyo hata mambo yake yalitakiwa yawe tofauti,kama Slaa angeahirisha hyo harusi ungeona wanaotetea harusi ya kesho wangekuja na style mpya ya kumsifia sana kama ni mtu wa watu na anajali watu'wote wafata mkumbo,CCM mahututi,CDM maiti kabis,CUF ndio Marehem wa siku nyingi'nchi hii haiwezi kuja kubadilishwa na wanasiasa'ila kwa uvivu wetu wakufanya kazi wanasiasa wametufanya mtaji mkubwa wa kukamilishia maisha yao'think twice
 
Wabongo tumegeuka watu wa ajabu na hovyo. Badala ya kuwaandama waliozembea hadi nchi ikawekwa rehani wa wasasi wa ngawira wanaoua watu kwa uchu wao unamuandama mtu asiyehusika! Ulitaka afanye nini yarabi?
 
hii itakost sana mkuu wangu

Umetumwa? Harusi unajua ilipangwa toka lini?
Harusi haiwez airishwa kama disco vumbi.
Mambo yaliyofanyika mpaka kuwepo kwa harusi husika ni mengi. Umeleta picha za msiba za jk ili aonekane mwema?

Jana zanzibar watu wamefunga ndoa ili wapate wake wa kuwapikia futari we unaleta porojo?

Uliza uambiwe,sio watokokwa povu kama umekunywa omo.
 
Home of great thinker'hapo ndio siamini kama kuna great thinker hapa jamvini'michango yao ipo kiushabiki tu,Dr,Slaa ni Katibu mkuu wa chama huwezi kufananisha na wengine ambao wanafunga ndoa kesho,kwa hiyo hata mambo yake yalitakiwa yawe tofauti,kama Slaa angeahirisha hyo harusi ungeona wanaotetea harusi ya kesho wangekuja na style mpya ya kumsifia sana kama ni mtu wa watu na anajali watu'wote wafata mkumbo,CCM mahututi,CDM maiti kabis,CUF ndio Marehem wa siku nyingi'nchi hii haiwezi kuja kubadilishwa na wanasiasa'ila kwa uvivu wetu wakufanya kazi wanasiasa wametufanya mtaji mkubwa wa kukamilishia maisha yao'think twice

Kufunga ndoa kuna shida gani ndugu yangu?
Mbona mnamsakama sana DR? Mbona nanii anaoa kimyakimya hamsemi?
 
Anaoa Dr.Slaa au CHADEMA kama chama? Inakuaje unapima na unaikosoa CDM kwa sherehe ya mwanachama wake? Dr. Slaa anafanya sherehe ya ndoa kama yeye binafsi na si kwa nafasi yake ya ukatibu wa chama. Hapo inakuwa ngumu na aniingii akilini kusema CDM ni dhaifu na hali hakuna sera or itikadi ya chama inayotamka na inayosupoti hoja tajwa katika thread yako. "Tujifunze kujenga hoja na si kukurupuka na hoja dhaifu kama yako".
 
acha maneno, unafikir ingekua ccm ungesema ni mtu binafs na si chama..2sikubal kuunga mkono hata utumbo kisa tu CHAD
E MAA
 
Kuna mtu anajiita maiko aweda aliweka ***** hapa jana ,kachukua picha za mkutano kaziguza eti sherehe,kubwa jinga.leo nyie mnafanya sherehe ya kufa mtu mnaona ni sawa na mnaporomosha matusi juu.ivi nyie mna macho peke yenu?kazi ya kichwa sio kufuga nywele pekee.
 
ina maana wewe umeona tu harusi ya dr slaa ,hapakuwa na harusi zingine?tofautisha mambo ya kitaifa na mambo ya kifamilia .wewe unayesema hivyo hata sijui umetoa mchango gani ktk msiba huo wa kitaifa

kazi ya kichwa sio kutesha nywele peke yake.huyu mzee ni mnafiki,mchana analia na sisi kiini macho usiku anasherehekea.ufisadi mtupuu.
 
September 10, 2011

sfsf.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho kikwete,akifuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,walifika katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar kuona maiti mbali mbali zilizofariki katika tukio la ajali Meli ya Mv Spice Islander,iliyozama katika bahari ya Nungwi Mkoa wa kaskazini ikielekea Pemba.Picha na Ramadhan Othman IKulu.

Pamoja na tukio hilo...July 19, 2012

z3.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea Uwanja wa Maisara, Zanzibar, ambako ndiko miili ya marehemu huletwa kwa utambuzi baada ya kuokolewa kwenye eneo la ajali.
Ni kama vile kuna viongozi wanatenda na misiba...kafara?

Wakati hayo yakiendelea, burudani kama kawaida!

04.JPG

IMG_5673.jpg

IMG_5838.jpg

Hakujatangazwa siku ya/za maombolezo kitaifa, hivyo shughuli zinaendelea kama kawaida pamoja na harusi.

darajani+violence2.jpg

Mpesapesa
, pole sana!
 
nIPO KTK MAOMBELEZI. chadema pigeni bia halafu mnadanganya Umma mnauchungu na wananchi

Hapo kwenye red, Unapingana na spika wako Anne Makinda. Yeye alisema hivi:-
"...Hatumwezi kuahirisha Bunge, ... Labda kama ajali hiyo ya kuzama kwa meli ingekuwa imetokea maeneo ya Chamwino Dodoma..."

Hapo jiulize sana, Hivi ajali ya kuzama kwa meli inaweza kutokea Chamwino ???
 
Wewe ndio unatakiwa kufunguka na kuweza kupambanua. unaunganisha vitu visivyoendana kabisa ili mradi umekandia chadema.
Ficha ujinga wako mkuu!
 
Back
Top Bottom