Sheikh Ponda amezitoa wapi hizi takwimu?

wakitaka wajue wako wangapi wahesabu watakaojitokeza kwenye maandamao yao ya amani halafu plus watakaoshiriki sensa..its very easy kwani majina ya kiislamu si yanajulikana na sensa huwa tunarekodi majina yote bwana

kazi itabaki kujua wanaishi wapi
 
hizo takwimu kazitoa madrasa au msikitini. huyo jamaa ni kilaza hana shule yeyote kula yake na kuishi kwakwe kunategemea msikiti.Poor ponda. ninawaonea huruma waislamu ifike wakati wajitafiti na wajikomboe kifikra na kimtizamo. wasome shule na wafanye kazi kwa bidii lakini kukbwa wawe wastaarabu kwa kuwa katika uislamu hakuna ustaarabu, hakuna elimu, hakuna maendelo zaidi kumejaa ushirikina wa majini albadir majungu na uvivu
 
Vatican ni nchi . Je oic ni nchi?

yes Vatican is a sovereign state. Ni nchi lakini OIC in NGO non governmental organization. Vatican inaitwa the Holy Sea na inatumia sarafu yake ina serikali kamili na mamlaka yote ye kidunia na hakuna mtu au mamlaka yeyote ye kidunia inayoweza batilisha ulali wa Vatikan and its holliness the pope
 
Mfano wako wa Israel na Palestina sio sahihi, Israeli wangeachwa peke yao wangeshatandikwa siku nyingi na Wapiganaji wa Kipalestina, ila kwa vile Israel inasimamishwa na mataifa ya Magharibi, USA, UK nk

acha uongo mkuu Israel haiwezi kusaidiwa na taifa lolote katika kupigana wanauwezo wa ajabu na wa hali ya juu katika vita na wana uwezo wa kuimaliza hata dunia nzima wakiamua. Palestina, tafsiri yake ni filistians (wafilisti) ambao ni maadui wa mwenyezi mungu ambao walikuwa wakipigwa kila siku na mungu kupitia samson.
 
mkuu israel ni taifa teule la Mungu na hakuna awaye yeyote wa kulishinda taifa hili kwani Mungu alisema taifa lelote litakarolibariki taifa la israel basi nalo litabarikiwa na taifa lolote litakaloilaani israel basi nalo litalaaniwa ndio maana wenzetu wa mataifa ya magharibi walishalitambua hilo mapema ndio maana wamebarikiwa, ila sasa mmebakia nyie wenzangu na mie mnaoiponda israel na kuishabikia oman, iraq, afghanstan, somalia ndio maana laana na matatizo yamewajaa na sasa mnabakia kulumbana ninyi kwa ninyi.

Israel ni Taifa teule la Mungu ! Na haya '' Mataifa mengine" Mungu amemkabidhi nani !? Au umepewa Wewe uyasimamie na kugawa riziki ! Akili zenu wagalatia ni za Mbayuwayu tupu ! Ndo maana ukaletewa picha mkaambiwa: Huyu ni Mungu, nanyi mkajibu: Aameen !
Pathetic people !
 
Wakuu, mbona huyu Shehe teyari kesha jiweka kitanzi mwenyewe.

Kasema" Asilimia 80 ya Waislam", sasa Asilimia 80 ya Waislam ni asilimia ngapi ya watanzania? Ha ha ha ha ha, kkazi kweli kweli.

Waislam wengi sana Tanzania wame Batizwa, ndio maana Shehe anaogopa data.
 
acha uongo mkuu Israel haiwezi kusaidiwa na taifa lolote katika kupigana wanauwezo wa ajabu na wa hali ya juu katika vita na wana uwezo wa kuimaliza hata dunia nzima wakiamua. Palestina, tafsiri yake ni filistians (wafilisti) ambao ni maadui wa mwenyezi mungu ambao walikuwa wakipigwa kila siku na mungu kupitia samson.

Akili kama hizi ukiambiwa "Mungu kaonekana Kariakoo" anagawa mikate, utaitikia: Aameeen !
 
hizo takwimu kazitoa madrasa au msikitini. huyo jamaa ni kilaza hana shule yeyote kula yake na kuishi kwakwe kunategemea msikiti.Poor ponda. ninawaonea huruma waislamu ifike wakati wajitafiti na wajikomboe kifikra na kimtizamo. wasome shule na wafanye kazi kwa bidii lakini kukbwa wawe wastaarabu kwa kuwa katika uislamu hakuna ustaarabu, hakuna elimu, hakuna maendelo zaidi kumejaa ushirikina wa majini albadir majungu na uvivu
Ustaarabu ni kujua kushukuru ! Sasa wewe unaye shukuru "picha" baada ya kushiba ndo una elimu ya juu !!???
 
Nafikir sio jambo baya kujua idadi na sio kujua idadi tu bali ni kuweka takwimu za nchi sawa ,ili kujua majority ya idadi ya wenye dini na hata wale wasio na dini. Tunaelewa kuwa serikali yetu ni ya kipagani lakini utaona imeikataa OIC na kuikubali Vatican ,ni kosa la kikatiba nchi nyingi tu hata kwenye passport zao unaweza kuona sehemu inayokutaka kubainisha dini yako.NA KWA NINI JAMBO HILI LIKATALIWE KUNAOGOPWA NINI ? au ni sawa kama vile CCM wanacyokataa kuweka tume huru ya Uchaguzi inayoshirikisha wadau wote ??
inaonekana unakremishwa bila kujua mambo juu ya vatican,ile ni nchi inayojitegemea na ina rais wake ambaye ni papa so kama ilivyo sudan,ethiopia,italy n.k ina balozi wake na kule kuna balozi wa tz so tatizo lako ni nn?msilazimishie mambo bana
 
Israel ni Taifa teule la Mungu ! Na haya '' Mataifa mengine" Mungu amemkabidhi nani !? Au umepewa Wewe uyasimamie na kugawa riziki ! Akili zenu wagalatia ni za Mbayuwayu tupu ! Ndo maana ukaletewa picha mkaambiwa: Huyu ni Mungu, nanyi mkajibu: Aameen !
Pathetic people !

Mkuu habari za muda huu. Naomba unisaidie hapa kidogo. Hivi huwa huwezi kujadili hoja bila kutukana au kukashifu? Usipende kuwatafutia wenzio BAN.
 
Ukikosa elimu kwa maana ya uelewa, mwombe Mungu ufe mapema. Hawa jamaa wamekosa kazi ndo maana wanabwabwaja tu!!!!
 
Ukikosa elimu kwa maana ya uelewa, mwombe Mungu ufe mapema. Hawa jamaa wamekosa kazi ndo maana wanabwabwaja tu!!!!

Yaani umwombe Mungu Ufe kwa kukosa elimu,Waafrika bwana wakishapata elimu ya kuhamisha kutoka kwa wazungu tabu tupu..we babu yako alikuwa na degree ngapi...?
 
Kama ni dini ya kweli convert "Wayahudi" ambao Yesu kazaliwa na dada yao !

Hivi Ukristo ni dini? Tokea lini Mungu anaitaji dini? Sisi tunamibatizeni kama nilivyo weka ushidi tokea TV yenu nyie wenyewe, ndio maana Shehe wako anaogopa, maana hivi sasa mmemabia Zenji tu. Bara kila kukicha ni kubatiza tu.
 
Mimi nadhani naunga mkono kugomea sensa, si kwasababu mie ni muislamu au kumsikia sheikh....Bali nadhani njia za kuhesabu watu zinazotumika ni finyu.Hivi kweli tumeshindwa kubuni njia sahihi za kuhifadhi takwamu za taifa hadi tuanze kupita kila corner na kumuhesabu mtu mmoja mmoja ???

Tatizo sugu ni hili la njia za kutumika kuwa mbovu, ni wazi na accuracy ya data yenyewe itakuwa ni utata mtupu.Tuache kufikiria kama watu wa miaka ya stone age, na tuanze kutumia njia sahihi.Kwanini data hii isikusanywe kwa njia kama ya kutumia vitambulisho au data zinazokusanywa na serekali za mitaa ?

Wenzetu walioendelea wengi wao huwa na data kamili za wananchi wote katika eneo la serekali hio, ambalo kwa kiengereza labda itaiwa City Hall.Hapo kila mwananchi anaehamia kwenye eneo data zake zote zinakuwa updated na nchi nzima ina data kamili mwananchi huyu anaishi wapi, ana watoto wangapi, anafanya kazi wapi na ana kipato gani kupitia social security namba.....Hakuna haja kabisa ya kuzurura na kupoteza pesa za kuranda randa na mabwana sensa!
 
watoe faida ya kujua idadi ya waislam au wakristo.
kama wanataka kujua idadi yao waandae sensa yao wenyewe kwa gharama yao wataweza jua idadi yao.
 
Mfano wako wa Israel na Palestina sio sahihi, Israeli wangeachwa peke yao wangeshatandikwa siku nyingi na Wapiganaji wa Kipalestina, ila kwa vile Israel inasimamishwa na mataifa ya Magharibi, USA, UK nk

Israel inasimamishwa na mataifa ya Magharibi, USA, UK nk .Hayo mataifa ya magharibi hujui kwamba Law Makers wake ni wayahudi hao hao.Kwanini wasisaidie nchi yao ya Israel?
 
Hujajibu Swali
Ngoja nirudie: Hizo takwimu Sheikh Ponda amezipata wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom