Sheikh Ponda amezitoa wapi hizi takwimu?

Kuna Wakinga matajiri hapo Kariakoo, hata majina hawajui kuandika !
Then keep on investing on ignorance and don't become a Wailer!!!, By the way dude, stop being paranoid and myopic. Yaani kwa kuwa kuna wakinga "matajiri" wasojua kusoma, kwahiyo wote tuwe hivyo? Kwamba elimu ya darasani haina maana?
 
Kama unadhani ile ya juu zuu itakusaidia kutatua matatizo basi hata wanao wapeleke wakasome ila mkifeli msiilaumu NECTA! Babu yangu kwa wakati wake alikuwa na BSc. ya Kiafrica ambayo kwasasa haiwezi kutatua matatizo tunayokuwa nayo! Hafu huku ndo kuchanganya habari!!!! Asante kwa kusoma post yangu!!!!


Juzuu ndio nini,huku ndani hamna mtu anayemfahamu mtu kwa hiyo mnaenda kwa ku assume tu,mimi sisomi juzuu wala siijui.

Sikukubaliana na ulivyosema mtu kama hajapata elimu ni bora afe,hata mimi naamini katika elimu ila napata shida napoona muafrika anamdharau muafrika mwenzake kwa elimu ya mzungu,tuelimike lakini elimu isitugawe wala dini kwa sababu mwenye Phd,
darasa la saba,mwenye hiyo elimu ya juzuu uliyosema wote wakienda dukani wananunua Sukari 2000+ kwa kilo.
 
MOD, kwa maneno haya huyu naye anastahili BAN, la sivyo kuna upendeleo humu ndani.

Ikisemwa dini yako unakuja juu. Ikisemwa ya mwenzio unakaa kimya au unashangilia. Ally Kombo aliposema Bible ni gazeti la udaku mbona sikukuona mkuu? Au kwa vile anahudhuria msikitini?
 
Ikisemwa dini yako unakuja juu. Ikisemwa ya mwenzio unakaa kimya au unashangilia. Ally Kombo aliposema Bible ni gazeti la udaku mbona sikukuona mkuu? Au kwa vile anahudhuria msikitini?

Kosa linabaki kuwa pale pale, mkikutwa mnapigana ni kosa la jinai wote mnapigana hadharani bila kujali nani alianza kumpiga mwenzie, halikadhalika kutukanana vivo hivyo. Huyu katukana naye anatukana ni sawa na chizi kachukuwa nguo zako anakimbia nawe unatoka majini unamkimbiza uko uchi, nani ataonekana chizi zaidi hapo? Kumbuka sikumtetea huyo aliyetukana awali, elewa point inyozungumzwa na mtu kwanza , lichukuwe hili litakusaidia ktk mambo mengine na namna ya kuishi na watu pia, ushauri wa bure tu huu nakupa mdogo wangu ktk kutengeneza PR.
 
Ponda siku zote anasumbuliwa na njaa na ujinga tu. Hakuna kazi inayoitwa ushehe. Muulize yeye na wana mihadhara wanafanya kazi gani zaidi ya kutumia majukwaa kuchangisha pesa ya kula. Wanafanya kila wawezalo kuwaridhisha wafadhili wao wanaotaka tuanzishe mitafaruko ya kidini ili wafaidi mali zetu hasa wanyama amabao wamekuwa wakitoroshewa Uarabuni. Angekuwa mzalendo kweli hili la kutorosha wanyama lingemhangaisha kuliko hizo Alinacha. Isitoshe tulipopigania uhuru wa taifa letu tulifanya hivyo kama watanzania na si waislam wala wakristo.
 
huyo uliyemtaja
mwanzoni na kuuliza kuwa ana akili nyingi kuliko Mungu ndiye
anayewaongoza hao jamaa katika kila kitu kwenye maisha yao ndo maana
hata muda mwingine mtu unaweza kushangaa hivi vitu wanavyokomalia vina
msingi gani?
na napendekeza hilo swali liulize wewe ni muislam au mgalatia? itatosha kujua idadi yetu ili 2015 tuwachagulie tunaemtaka sisi.
 
Shaikh Ponda na msimamo mkali wenzake wanaogopa kuumbuka maana wamepotosha watanzania kwa muda mrefu kuwa waislamu ni wengi kuliko wakristo jambo ambalo sio sahihi ndio maana wanajaribu kususia kwa kuwaandaa waislamu kisaikolojia kuwa wengine walisusia sensa ndio maana wakristo wamehesabika wengi.

Ukweli ni kuwa wakristo ni wengi kuliko waislamu na sensa itadhihirisha mwaka huu sasa tuone tena kauli za waisilamu tuko wengi zinatoka wapi? Data nyingi zinaonyesha wakristo ni wengi kuliko waislamu hata kama Zanzibar inajumlishwa ndani.
 
Ban ya nini wakati kaongea ukweli

Ametukana hakuongea ukweli, huo ni mtazamo wake ambao umepelekea kwenye matusi, ila kwa kuwa naifahamu JF iko mrengo gani, halinisumbui hili, usione ajabu kwa kusema haya nikapigwa ban, FACT.
 
katika watu chini ya mil 2 hawawezi change balance ktk mil 40+ km tayari gap ni kubwa.Zenji hawan influence yoyote ktk idadi zaidi ya kuplay victims na hivyo kublack mail watanganyika
 
Kosa linabaki kuwa pale pale, mkikutwa mnapigana ni kosa la jinai wote mnapigana hadharani bila kujali nani alianza kumpiga mwenzie, halikadhalika kutukanana vivo hivyo. Huyu katukana naye anatukana ni sawa na chizi kachukuwa nguo zako anakimbia nawe unatoka majini unamkimbiza uko uchi, nani ataonekana chizi zaidi hapo? Kumbuka sikumtetea huyo aliyetukana awali, elewa point inyozungumzwa na mtu kwanza , lichukuwe hili litakusaidia ktk mambo mengine na namna ya kuishi na watu pia, ushauri wa bure tu huu nakupa mdogo wangu ktk kutengeneza PR.

Kuwa mpole tueleweshane mkuu. Naamini umeifatilia thread hii toka mwanzo ndo maana nikasema kama ni kulambwa BAN basi tupigwe wengi waliotoa matusi au kashfa in accordance to the rules. Sikumtetea yeyote humu ndani ndo maana nikasema swala la kureport abuse lianzie juu sio hapo ulipoanzia wewe! Tatizo naloliona ni kuwa watu wakikosa kujibu hoja wanakuja na kashfa ili ku divert topic. Mfano point ya msingi hapa ilikuwa sensa, ghafla nikashangaa tushaenda kwenye vitabu vya dini!
 
You dead wrong, unachojisifia kasome Biblia vizuri uone:Suleimani alimuudhi Mungu kwa wake zake waliotoka mashariki, ambao walileta matambiko na ibada zao mbaya ktk nyumba za Israel.Ndipo utaona kuwa mila za waarabu kipindi kile zilikuwa zimejaa mahusiano na majinn.So kumtumia suleiman hakumaanishi uhalali kwa Mungu.
Kweli? soma hii muone jinsi majinn nayo yatawakataa "O you assembly of jinns and mankind! "Did not there come to you
Messengers
from amongst you, reciting unto you My Verses and warning you of
the meeting of this Day of yours?" They will say: "We bear witness against ourselves."
It was the life of this world that deceived them. And they will bear witness against
themselves that they were disbelievers. S. 6:130 Al-Hilali & Khan""

Na majinn ni mashetani.
Ibn Taymiyah said that Iblis is the father of all jinn, citing Surat-Al Kahf as proof of this.
... Will you, then, take him and his progeny as your guardians rather than Me
although they are your open enemies? What an evil substitute are these wrong-doers taking!-
(Surat Al-Kahf) 18:50
Ibn Taymiyah believed that the term "progeny" implied that the jinn are Shaytan's children.
(Iblis, source, accessed 31 March 2009)

Sijui wapi binadamu akaweza fanya waliolaaniwa na Mungu watakatifu?Sijui kwa nini waislam mnapoteza muda na vitu impossible na visivyowasaidia.We unaonyesha uhalalishaji wa majinn ila logic na maandiko ya kiislam ya clue zote kuhusu ubaya wa majinn.Hata life experience tuu kwa walikumbwa na majinn si impressive kihivyo.Wainjilist wengi wamepata wafuasi kutoka ktk uislam kwa sababu ya majinn.​
Nilikuwa nikiangalia sababu za moja ya magonjwa ya kiakili unaoitwa Schizophrenia, ugonjwa ambao mgonjwa husikia sauti na kumuamrisha kufanya vitu, sijawahi kuona huu ugonjwa ukiandikwa ni kitu gani kinachousababisha, je unaweza kutupa sababu za ugonjwa huu?
 
kaa chini usome na usikurupuke kuchangia usicho elewa:A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby:
 
Nilikuwa nikiangalia sababu za moja ya magonjwa ya kiakili unaoitwa Schizophrenia, ugonjwa ambao mgonjwa husikia sauti na kumuamrisha kufanya vitu, sijawahi kuona huu ugonjwa ukiandikwa ni kitu gani kinachousababisha, je unaweza kutupa sababu za ugonjwa huu?

Mkuu, nilifikiri ni busara ungepinga kwa quotation kama alivofanya mwenzio. Kinyume na hapo itakuwa ngumu kutuconvince kuwa huo ugonjwa haujakukuta wewe.
 
Mfano wako wa Israel na Palestina sio sahihi, Israeli wangeachwa peke yao wangeshatandikwa siku nyingi na Wapiganaji wa Kipalestina, ila kwa vile Israel inasimamishwa na mataifa ya Magharibi, USA, UK nk

Ni vizuri kuwa balanced. Wapiganaji wa Kipalestina nao wanasaidiwa na mataifa ya kiarabu na Iran. And to some extent USA wanajitahidi kuwazuia Waisraeli wasinyang’anye more Arab lands, refer Arab-Israeli Conflict ----> http://en.wikipedia.org/wiki/Arab–Israeli_conflict
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom