Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Sasa ni muda mwafaka kwa waislam kutambua kuwa quran ni kitabu cha kawaida, tumesikia sehemu mbalimbali duniani qurani ikichomwa moto lakini hakuna madhara yanayowapata wahalifu zaidi ya hasira za wanadamu.

Quran haiwezi kuwa na uzito sawa kwa watu wote... Ina uzito kwa Waislamu, MUISLAMU ambae anaamini katika hio dini ya Uislamu... Na kwetu sisi Qurani ni kitabu tukufu na sio kitabu cha kawaida, hakitakiwi kidharauliwe, kejeliwa, chezewa kwa namna yoyote ile kwa mtu yeyote yule ambae anaamini. Hili tukio halifanyi iwe sababu ya kuona ni kitabu cha kawaida... na kutobadilika kwa yule mtoto haina mana kuwa kitabu ni batili... Ni wazi kuwa hivyo huwa vitisho vya kujenga woga kwa waumini na wasio waumini...

Huo utukufu wa kitabu unatunzwa kwa kuhakikisha aisye kuwa na imani pia asikichezee na kufanya lolote kama vile ambavyo wa Kisto nao walitakiwa kusimamia kitabu chao tukufu kisifanyiwe hivyo. Yule mtoto alifanya makosa... ni makosa ambayo yanaeleweka kabisa na hata mtu mzima angeweza kufanya maana kwa lolote ili liwe proven ni lazima experiment ifanywe...

Katika hili nalaumu ambaye alimshawishi yule mtoto, nalaumu Waislamu ambao wanachukulia kuwa sababu Quran ni tukufu kwetu basi ni takatifu kwa woote, Nalaumu wakristo wote ambao hujuchukua hoja za Waislamu kwa wepesi, Nalaumu Waislamu wanao jisahau na kudhani kuwa hii inchi ni yetu (waislamu peke yake na kuwa basi iendeshwe kwa misingi ya Uislamu na sio kwa ukumla wake) na nakulaumu wewe pia idawa kwa kuwa moja ya wale ambao hukurupuka na ku rule out kuwa Qurani na Waislamu sio kitu lolote for what ever reasons....

Inabidi tufike wakati wa kuheshimu dini za wenzetu, Waislamu waheshimu Wakristo na vice versa...
 
Last edited by a moderator:
Ponda anzungumza anachoamini.

Nani anjibu hoja zake?
Tatizo lipo hapo. Toeni majibu ya hoja .
 
LIKE
Umejitofautisha na waislam wengine wengi sana
 
Last edited by a moderator:
Chezea Magamba weyeee!! Mpaka hili vuguvugu la udini linatulia wote tutakuwa tumeshasahau Mahela yaliyofichwa Uswissi na mafisadi!! Kuongoza nchi kama ya Tanzania raha sana,ukiona wanataka kukushtukia unaibua ishu kuipotezea!! Sasa naamini MAGAMBA watatawala milele wadanganyika! Sijui niombe uraia Zanzibar?
 
Nini kiliizuia serikali kuchukua hatua kubwa kwa radio Imani siku za nyuma? Bado naamni serikali adilifu ingekwisha shughulikia tatizo na chuki za kidini muda mrefu nyuma.

Hii ni Tanzania Mkuu,..."ilikuwa rahisi kwa serikali kuifuingia Mwanahalisi baada ya kuona inaifuatilia na kutoboa maovu yao,kuliko kuifungia Radio Imani inayohatarisha amani ya watanzania" serikali nayo ni janga la kitaifa.
 
kwa hakika anapaswa kukamatwa ili atambue kuwa serikali ipo na inafanya kazi atawazaje kumpa siku saba Raisi kwa kesi iliyopo mahakamani, kwani Raisi ndio anayetoa dhamana mahakamani ? ikiwa kama hajaridhishwa na wale vijana kukosa dhamana kwanini asiawasidie kukata rufaa ?
 
Sasa Barubaru wewe nae ujitahidi kuonyesha utofauti na hawa watu aina ya uamsho.

Waingereza wana msemo wao maarufu "two wrongs does not make it right" lakini wewe unaonekana kuwa na mawazo sawa na sheikh ponda katika suala hili.

Kwanza unaelewa kwamba tayari yule mtoto amekwishafikishwa mahakamani kujibu mashitaka yanayomkabili, na vivyo hivyo waislamu wote walioshiriki kuchoma na kupora makanisa nao wamekamatwa na kufikishwa mahakamani, kwahiyo hapo ni sheria ya nchi tu ndiyo inafanya kazi. Na katika hilo kwakuwa sheikh ponda mekuwa akitoa maneno mengi ya chuki dhidi ya wakristo na hata hili la mbagala amelitumia kuwapongeza waislamu na kuwataka waendelee kufanya hivyo hivyo nchini kote, basi atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili kama wengine.

Na kwa suala la Askofu mkuu wa kanisa la Anglikan kuomba radhi kwa muumini wake kwa kitendo alichofanya huo ndio uongozi wa kiroho unatakiwa kuwa. Sasa ninyi ndugu zetu mbona hatujasikia mkiomba radhi kwa matendo maovu ya wenzenu wa mbagala? Kwanini ndugu zako walifikia hatua ya kupora fedha(zaka na sadaka) pamoja mali nyengine za kanisa? manake baadhi ya vitu vimekamatiwa majumbani mwao.

Kwahiyo ndugu yangu sidhani kama na wewe unaswihi kutetea huu ujinga unaofanywa na sheikh ponda.

Ahali yangu Mwita Maranya.

Kwanza nachukua fursa hii kukukaribisha Oman kama alivyokaribishwa r4ais wenu na ujumbe wake na kuona nchi inayoshika nafasi ya PILI kwa usafi duniani ikipitwa na Singapore pekee.

Nikirejea nilipo underline.

tanzania hilo ni jambo la kawaida sana. Juzi juzi tu tumesoma katika vyombo vya habari vyenu hususan magazeti yakiripoti kuwa madereva wa Pikipiki (bodaboda) huko Chanika dar es salaam walivamia kituo cha polisi na kumtoa dereva wa roli lililomgonga mwendesha pikipiki mwenzao na kumshushia kipigo kikali sana na kumuacha mah'tuti.

na hawakuishia vile vile walivunja lori hilo na kuiba baadhi ya vitu na kuiba na kupora mali za watu walioishi karibu na kituo kile cha polisi ikiwemo maduka.

Mimi nafikiri kuna kila sababu ya kuchunguza waliovunja na kuiba huko makanisani mimi nafikiri ni vibaka na sio waumini wa kiislam. Kwani haiyumkiniki kuona Qur'an inadharirishwa badala kusikitika unakwenda kuvunja na kuiba kanisani.

nafikiri muwe na subra na kufuata sharia zenu mlizojitungia.

Hajatoa dakika mbili polisi wawe wamemuachia? Maana matamko ya hivyo ndo zake
 
By Barubaru Kwani kwa wachambuzi wa mambo na matukio tunaona wazi NJE YA MUUNGANO WENU mtaingia kwa kasi sana katika VITA VYA KIDINI. Kwani waislam wa huko tanganyika ambao mliaminishwa kuwa hawajasoma, mbumbumbu, wajinga sasa wamesoma, wajanja na wanataka haki zao sawa sawa katika nchi yenu.

Siamini mtu aliyesoma anaweza kuharibu na kuiba mali za kanisa. Huo ni ukosefu mkubwa wa elimu si ya dunia tu, bali hata ya ahera!!

Huo ndio unafiki na umbumbumbu wa hao 'waislamu', kwenye red hapo wanasema wamesoma sana lakini lalamiko lao kubwa ni kuwa wamenyimwa elimu nchi hii, sasa tuelewe kipi?
Ndugu wa TZ wenzangu: tujitambue sasa na tuungane kama TAIFA moja kuwakataa kwa NGUVU wachochezi wote wa aina ya Ponda pamoja na instruments zao zote wanazotumia kueneza sumu ya chuki na utengano kati yetu kwa kigezo cha dini. Jamani mbona tumeishi miaka yote hii 50 kwa amani na upendo mkubwa baina yetu waislam na wakristu. Hadi sasa siku ya X-mas hua naalika waislam majirani tunakula pilau na kusheherekea wote, hivyo hivyo siku za Idi lazima waislam majirani zangu uleta hotpot ya pilau yao nyumbani. Sasa kwa nini tumvumilie mtu, kikundi au chombo chochote kinachotaka kutenganisha social cohesion hii? Kwa nini tuwalee akina ponda?
Kama sheria tulizonazo sasa ziko weak ku-deal nao, napendekeza tutunge haraka sheria kali zaidi kwa wachochezi wote wa kidini kama hawa ili tunusuru TAIFA letu. Kwa nini tufikishwe maali tushindwe tena kuaminiana na kupendana na jirani zetu kwa dini tofauti kisa wamelishwa maneno ya chuki na mtu au kikundi cha watu????
 
Ponda anzungumza anachoamini.

Nani anjibu hoja zake?
Tatizo lipo hapo. Toeni majibu ya hoja .

Majibu yangu juu ya hoja za ponda-

Ponda: Nawapongeza waislam kwa matukio yote mliyoyafanya mbagalaM

Mimi: Yaliyofanyika mbagala ni kinyume na sheria ya nchi, kukojolea kitabu kitukufu ni kosa kubwa na kuchoma, kuvamia, kuharibu mali ya makanisa ni kosa kubwa.
Kupongeza uvunjwaji wa sheria ya nchi ni kuhamasisha uvunjwaji wa sheria hizo na atakayepata madhara mbele ya vyombo vya dola ni yeyote atakayevunja sheria ya nchi.

Ponda: Tutaendelea kudai haki zetu kwa namna hii bila kujali wala kufata sheria.

Mimi: Samahani kiongozi, nchi hii inaongozwa kwa misingi ya sheria, yeyote anayevunja sheria ama kuhamasisha uvunjwaji wa sheria atashuhulikiwa kwa mujibu wa sheria ya nchi hii.
Sheria ya nchi haitamvumilia yeyote atakayevunja sheria (mkojelea kitabu kitukufu au mchomaji/muharibifu/mvamiaji wa makanisa).

Nimemaliza kujibu hoja mkuu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Its about Time...
This has been long overdue, wamechelewa sana wangefanya hii issue ages ago...

Vichaa kama hawa sio wa kuwalea
 
Ahali yangu Mwita Maranya.

Kwanza nachukua fursa hii kukukaribisha Oman kama alivyokaribishwa r4ais wenu na ujumbe wake na kuona nchi inayoshika nafasi ya PILI kwa usafi duniani ikipitwa na Singapore pekee.

Nikirejea nilipo underline.

tanzania hilo ni jambo la kawaida sana. Juzi juzi tu tumesoma katika vyombo vya habari vyenu hususan magazeti yakiripoti kuwa madereva wa Pikipiki (bodaboda) huko Chanika dar es salaam walivamia kituo cha polisi na kumtoa dereva wa roli lililomgonga mwendesha pikipiki mwenzao na kumshushia kipigo kikali sana na kumuacha mah'tuti.

na hawakuishia vile vile walivunja lori hilo na kuiba baadhi ya vitu na kuiba na kupora mali za watu walioishi karibu na kituo kile cha polisi ikiwemo maduka.

Mimi nafikiri kuna kila sababu ya kuchunguza waliovunja na kuiba huko makanisani mimi nafikiri ni vibaka na sio waumini wa kiislam. Kwani haiyumkiniki kuona Qur'an inadharirishwa badala kusikitika unakwenda kuvunja na kuiba kanisani.

nafikiri muwe na subra na kufuata sharia zenu mlizojitungia.

Mkuu hata mimi sitaki kuamini kuwa ni waislam walifanya uvamizi huu, ila natatizwa na pongezi zilizotolewa na Ponda kwa wavamizi hawa na mbaya kabisa akasisitiza kuwa watakua wanatumia mbinu hii hii kudai haki.
Bado sijapata jibu kuwa Ponda anatetea maslahi ya nani hasa??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Quran haiwezi kuwa na uzito sawa kwa watu wote... Ina uzito kwa Waislamu, MUISLAMU ambae anaamini katika hio dini ya Uislamu... Na kwetu sisi Qurani ni kitabu tukufu na sio kitabu cha kawaida, hakitakiwi kidharauliwe, kejeliwa, chezewa kwa namna yoyote ile kwa mtu yeyote yule ambae anaamini. Hili tukio halifanyi iwe sababu ya kuona ni kitabu cha kawaida... na kutobadilika kwa yule mtoto haina mana kuwa kitabu ni batili... Ni wazi kuwa hivyo huwa vitisho vya kujenga woga kwa waumini na wasio waumini...

Huo utukufu wa kitabu unatunzwa kwa kuhakikisha aisye kuwa na imani pia asikichezee na kufanya lolote kama vile ambavyo wa Kisto nao walitakiwa kusimamia kitabu chao tukufu kisifanyiwe hivyo. Yule mtoto alifanya makosa... ni makosa ambayo yanaeleweka kabisa na hata mtu mzima angeweza kufanya maana kwa lolote ili liwe proven ni lazima experiment ifanywe...

Katika hili nalaumu ambaye alimshawishi yule mtoto, nalaumu Waislamu ambao wanachukulia kuwa sababu Quran ni tukufu kwetu basi ni takatifu kwa woote, Nalaumu wakristo wote ambao hujuchukua hoja za Waislamu kwa wepesi, Nalaumu Waislamu wanao jisahau na kudhani kuwa hii inchi ni yetu (waislamu peke yake na kuwa basi iendeshwe kwa misingi ya Uislamu na sio kwa ukumla wake) na nakulaumu wewe pia idawa kwa kuwa moja ya wale ambao hukurupuka na ku rule out kuwa Qurani na Waislamu sio kitu lolote for what ever reasons....

Inabidi tufike wakati wa kuheshimu dini za wenzetu, Waislamu waheshimu Wakristo na vice versa...
uko sawa mkuu mimi ni mkristo lakini namlaumu sana idawa kwa rule out kiivyo watanzania lazima mjitambue kuwa hii nchi haina dini heshimuni dini za wenzenu kimsingi mimi nalaumu mtoto alikosea kucheza na kitabu kitakatifu kimsingi alistaili bakora yeye na mwenzake aliyemletea kile kitabu wote wamekosa ni bakora za kawaida tu za kuadhibu watoto sikupenda ile staili ya kutaka kumtoa roho jamani hii nchi yakwetu sote waislam kwa wakristo tueshimiane mtoto wa kikristo akikosea adhibiwe kitanzania sio kiimamani na adhabu si lazima itoke kwa muislam yoyote mwenye nafasi tusigawanywe kwa mambo kama hayo tuungani katika swala la nchi tuachane na hamsini zetu kwenye imani zetu
 
Mkuu Lukolo, tAtizo si kumpa uongozi Muislamu. Kuna waislamu waelewa na waislamu wenye IQ za Kuku. Tatizo linakuja mnapompa uongozi Muislam mwenye IQ ndogo, yaan asiye na upeo mpana wa mambo. Muislam ambaye elimu kubwa sana aliyopata ni haki ya kuona wake wengi na kufuga majini hatajua religious tolerance inakuwaje. Muislam mwenye akili tosha anajua Uislamu na Ukristo ni dini ndugu. Kwa hiyo hapa swali gumu ni hili: tumeweka Waislam wa aina gani katika uongozi. Tumeweka Waelewa? au wenye IQ za kuku? Na ni chama gani kimetufikisha hapo?
Unajua Highlander, ninashawishika kuamini waislamu ni hatari kwa amani ya nchi yetu kwa sababu matukio ya kukamiana kati ya wakristu na waislamu yaliibuka wakati wa utawala wa Mwinyi na yamekuja kujirudia tena wakati huu. Sitaki kuamini kwamba wote Kikwete na Mwinyi wana IQ ya kuku, naaamini kwamba dini yao ndo tatizo. Na kama wataendelea kupewa nafasi ya kuongoza hawa watatuletea vita na umaskini wa kupindukia nchini. Maana katikati zote walizoshika nchi hawa jamaa hali ya umaskini iliongezeka na stability ya nchi iliyumba. Next time moja ya kigezo cha kuchagua rais iwe dini. Say no to Islam. Ni hatari kwa mstakabari wa taifa letu.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ni maono, kama hawa wenzetu wangekuwa wanashughulikia mambo yenye tija wangepiga hatua lakini wa huyu Sheikh anawapotosha waumini wake kwa mambo yanayoleta chuki kwa dini zingine angalia mihadhara ya kila siku ,ni kashfa kwa dini zingine lakini selikali dhaifu imewapumbaza kwa kuwaachia waendelee na ujinga. Hebu kuweni na uvumilivu na subira mambo yatatengemaa. Tolerance brings people to understand.
 
Sheikh Ponda amefanya kosa gani?..tujue kwanza kisha tutajadili kitu kinachoeleweka haya ya kudandia treni tu kusema kweli wengine hatuwezi.. Tuambieni kafanya nini kufikia kukamatwa..

Unachotaka wewe kusikia ili ujue amefanya kosa gani ni nini? Mpaka wamwage damu yako au ya nduguyo ndio utajua kosa lake?
 
Mungu wetu nilisema atajibu kwa njia yake hatuwezi kuwa na dumzi la kuharibu amani dani ya nchi yetu
 
Back
Top Bottom