Sheikh Ponda akamatwa Dar!

wataandamana mpaka ofisi ya wizara ya mamabo yandani na washinikiza atolewe kama walivyofanya kwa wale waliogomea sensa
 
Kwa uongozi unaojali maslahi mapana ya taifa letu, unabidi uchukue hatua zaidi ya hapo, inabidi radio imani ama ifungwe ama ipewe masharti mfumo wa matangazo uwe limited. Kama watanzania wote tunalipenda taifa letu ili lidumu miaka 50 ijayo ni muhimu tuepuke migawanyiko ya kidini!
 
Ponda anafahamu kwamba Jk hana maamuzi, anaelewa akikamatwa atachiliwa kama wale wasensa, waliochoma makanisa kigoma nao lini? haya ndio matunda ya Jk,NAPE,LIPUMBA
 
Haya ni matokeo ya viongozi wetu kuhuburi udini majukwaani. Je watamshughilikia kweli?. Hebu tuone kama kweli serikali yetu italishughulikia jambo hili ipasavyo au ni kutupaka mafuta kwa mgongo Wa chupa.
 
nasubiri habari zilizothibitishwa, siamini huyo kidume kakamatwa......... Na aliye behind ponda nae kakamatwa au wapo busy kukata matawi mashina wanayazunguka?
 
Ni vizuri mashtaka yake kisheria yawekwe wazi kabisa ili hata mwenye ndoto za kuandamana ajue kuwa anabeba msalaba wa Ponda.
 
Haya ni matokeo ya viongozi wetu kuhuburi udini majukwaani. Je watamshughilikia kweli?. Hebu tuone kama kweli serikali yetu italishughulikia jambo hili ipasavyo au ni kutupaka mafuta kwa mgongo Wa chupa.
 
Hizo ni technics za JK kuona kasema vibaya Mbagala sasa kuneutralize his bad speech iliyoelekea kukubali kitendo cha kuchoma makanisa DAWA NI KUMKAMATA PONDA KUONYESHA JK HAKUBALIANI NA KITENDO CHA KUCHOMA MOTO MAKANISA...
 
Jana nimeona Star TV saa 2.00 usiku anakemea JK kwenda makanisa yaliyochomwa badala ya misikiti ambayo polisi wamewaharibu wakati wanakamata watuhumiwa.

Inaweza kuwa tatizo
 
Ukweli husemwa:

Watanzania bana.

Ndiyo, serikali imeacha mlango wa zizi wazi na fisi wameingia, Je, unataka kusema waache kondoo waendelee kuliwa kwa vile hawakusikia au walisikia na wakapuuzia na kuacha mlango wa zizi wazi.

Kuna watu, anything government does, for them, it's wrong.

Si ndiyo ninyi mlikuwa mnapiga kelele kwamba, the governent has to do something about it.

Leo Sheik Ponda anaonewa kwa vile tu kilio cha wananchi kimesikiwa na serikali imefanya kazi yake.

Mmmh, labda uongozi Tanzania ya leo unahitaji Maraika kutoka kwa Mola.


Sasa isiwe akamatwe kwa sababu wameamua kumtoa kafara; Ponda hajaanza leo kusema anayoyasema. Kama muda wote (miaka yote) wameweza kumvumilia imekuwaje leo waamke na kusema wanamkamata? Kama kosa ni yale ya Mbagala au anayoyasema ukweli ni kuwa itakuwa ni kumuonea! Kosa ni la serikali inayotawala. Ukiacha mlango wazi kwenye zizi kila sikuw watu wanakuambia chui ataingia na kula mbuzi nawe ukapuuzia siku chui akiingia na kula utalaumu zizi kwanini halikufungwa?
 
Kuwashawishi watu kwenda kuchanachana biblia, kuiba sadaka na kuharibu makanisa. Inawezekana hata zile sadaka walizoziiba zilipelekwa kwake( rumours)

Kwa nini hakuwahamasisha wakasome albadil (sijui ndo inavyoandikwa) kimya kimya kuliko vurugu?
 
Back
Top Bottom