Sheikh Fareed wa Uamsho apatikana akiwa yu hai na mwenye afya tele

Iweje huyu mtu apatikane akiwa HAI ..!!!!!!!!! Ama kweli serikali hii imeamua kulala na kufumbia macho wachochezi.
 
Amani ya nchi inachezwa hivi hivi! Polisi waseme vyanzo vyao vya intelijensia vinasemaje. Huyu jamaa asijekuwa alitoroka na boti kufuata shehena ya silaha zilizokamatwa Somali Puntland zikitokea kwa wafadhili wao sasa baada ya dili kushindikana akajirudisha home mzima wa afya! tusema gaidi karudi home mikono mitupu bila majambia na silaha nyingine alizofuata!
 
Kwa mtu mwenye akili timamu utagundua ni mchezo tu uliochezwa hapo na hao uamsho,hapa unaweza kuona upeo mdogo wa viongozi,wafuasi na mashaka juu ya hii dini ya kiislam.Kwakweli hii dini haiaminiki hata kidogo wanaweza kufanya chochote wakati wowote na wao kuzihusisha akili zao kwenye maamuzi huwa ni kazi sana.Angalia nchi inapoelekea sasa,wanajifanya wanamcha Mungu,hivi ni mungu gani huyo anayebariki fujo na mauaji? Hii siyo dini.
 
Acha kuongea unafiki wewe msikilize mwenyewe hapa , mahojiano ya kwanza hayo...Sauti | Mzalendo.net
 
Amani ya nchi inachezwa hivi hivi! Polisi waseme vyanzo vyao vya intelijensia vinasemaje. Huyu jamaa asijekuwa alitoroka na boti kufuata shehena ya silaha zilizokamatwa Somali Puntland zikitokea kwa wafadhili wao sasa baada ya dili kushindikana akajirudisha home mzima wa afya! tusema gaidi karudi home mikono mitupu bila majambia na silaha nyingine alizofuata!

Sauti | Mzalendo.net
 
huyu mtu ameshaonekana akamtwe ahojiwe naninavyomuons huyu kweli mtanzania au ni muoman? maana unaweza ukakuta jk ndie anakula pande zote
 
Midume washam-do hapo siku mbili mfululizo na mkanzu wake.

Halafu anakenua tu baada ya kurudi nyumbani kwa mke na utitiri aliozaa utadhani hana akili nzuri.
 
waongo 2,hakutekwa wala nn walimficha,ss walichokifanya ajitokeze ili watu waone serikali imewaogopa waislam,hamna lolote tushawajua,na uzuri mnauwana wanyewe,hata askari aliyekufa mwislam...endeleeni kumficha

Watu kama nyie mnaofurahia haya mambo mkijibiwa tu utaona mnavyotoka mapovu....
Mwangosi alivyouliwa na askari wa kikristo !!! Kwa hiyo waislamu waseme ni jambo zuri mmeuana wenyewe kwa wenyewe ?!!!
 
weka ndani huyu ghaidi kwa kusababisha mauaji,yaani ningekua kamanda wa polis mda huu wapuuz wote walioleta vurugu za kidini washaitwa marehemu mda huu.:A S-rap:

Huyu katuni hapo anaonyesha unawakilisha chama gani na maneno yako yanaonesha unawakilisha dini gani....

Kwa hiyo ulitaka wageuzwe marehemu kama wenzenu kule kaskazini walivyo fanywa.....
Si kila siku mnapiga kelele hapa OOh nguvu ya umma....leo waislamu bara na visiwani wamewaonyesha nguvu ya uma inafananaje..wote mmeungana na serikali...kama si unafiki ni nini ?
 
salmar
Dunia ya Leo ni ya maajabu hivi huyu bwana anajisikiaje pale ambapo kuna mtu amepoteza maisha kwa kufanyiwa ukatili wa hali ya juu, kuna watu wamejeruhiwa na kuna mali zimepotea.Hivi ni wapi ndani ya Qur-uan kumeeleza mtu akiabudu dini nyingine basi nyumba zake za ibada na hao wanaoabudu waharibiwe mali zao na wafanyiwe matendo ya kikatili,Sasa haya wanayowafanyia binaadamu wenzao wameyatoa wapi?Halafu kipi kinachomfurahisha wakati kuna mabaya yamefanyika chini ya Jina lake kwamba ametekwa na kama kweli alitekwa aeleze ukweli badala ya kucheka cheka huku ni kukosa busara na kutojali maisha ya watu,mali za watu na kikubwa zaidi maandiko anayoyaamini kwani hayafuati.Kwa kifupi Ushekhe umeingiliwa na hadhi yake imepotea.
 
Last edited by a moderator:
huyu jamaa ni mjanja kweli kweli amejificha na sasa anavunga kapatikana...hawa uamsho watawadanganya vilaza lakini sio mie..hahahaha shit
 
Gaidi apokelewa kishujaa.
ikitokea raisi akatoweka that way nani atampigania apatikane?
jamaa kazoa misifa na sasa anajulikana na kila m2.
 
Hao UAMSHO walimficha ili wapate kisingizio cha kufanya ghasia, na baadae wakaipa serikali masaa 26 sheikh apatikane, wakati ukweli walipanga (UAMSHO) kumuachia sheikh ndani ya hayo masaa 26 waliyoipa serikali na hivyo kuonesha kama serikali imesalimu amri!

Usanii mtupu!
Una akili sana. Hiyo picha inakuja kwenye ukweli.
 
Back
Top Bottom