Sheikh Fareed wa Uamsho apatikana akiwa yu hai na mwenye afya tele

Kujificha na kujitokeza ni mchezo mwepesi na wa kijinga, lengo polisi wa Bara waanze kuwindwa. Kama sheikh unasema uongo hadharani, unatoa picha gani kuhusu dini yako?

Hili si la dini tena. Nadhani jamaa na uamsho kwa ujumla wapo kwa maslahi ya kisiasa zaidi kuliko dini.
 
Bora wamemwachia hakika Waislamu wakiamua wanaweza.Bado Ponda sasa lazima wamwachie lasivyo waombe nguvu za kijeshi toka rwanda
 
Huyo shekhe farid hajakutwa na hata jeraha moja ni kiashirio tosha alikuwa amejificha nyumba ndogo akasikia harufu ya pilau ikamtoa alikokuwa amejibanza

mkuu Precise Pangolin
wasituzingue jamaa alikwenda kula bata kwa bi mdogo uso hauna hata chunusi katekwa na nani huyo? kama angetiwa mikononi na wajomba kwanza angekula kichapo cha nguvu badala ya kwenda nyumbani angepelekwa V.I. Lenin au Mnazi mmoja; hawataki tu kusema ukweli shekhe alikwenda kuzini nyumba ndogo kapitiwa na usingizi na hakuwa ana maneno ya kumwambia mkewe kilichbakia ni kuwaambia wapambe walete uzushi; kama katekwa na wale mashoga wa kimambasa nitakubali lakini si kama katekwa na watu kama afande Chacha au Mwita aulize wenzake wakitiwa mikononi wanatoka na hali gani

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Bora wamemwachia hakika Waislamu wakiamua wanaweza.Bado Ponda sasa lazima wamwachie lasivyo waombe nguvu za kijeshi toka rwanda
mnaweza nini wakati mlipigwa ya machozi mpaka mkasahau yebo yebo na zile suruali zenu kama masikio ya punda
 
:hail::msela:hivi hawa boko haram wa zanzibar wanatufanya watz wapumbavu? akipotea tena tutkutana naye mbingun
 
shekhe natekwa kweli? yu pendeza namna hii ? Nami nataka tekwa eeh; kutekwa kuzuri jamani!
 
Tatizo kichwa chako sio wewe endeleeni na upuuzi wenu kama hamjahama dar wote hapa.Chezea kitu kingine sio uislamu na waislamu.
mnaweza nini wakati mlipigwa ya machozi mpaka mkasahau yebo yebo na zile suruali zenu kama masikio ya punda
 
shekhe natekwa kweli? yu pendeza namna hii ? Nami nataka tekwa eeh; kutekwa kuzuri jamani!

mkuu kama wewe nataka tekwa omba UAMUSHO wateke wewe,wallwah nasema tarudi mevimbiana mashavu na pendeza kwelikweli,wao hapana ng'oa wewe jino hata moja,wao naficha wewe kwa nyumba ndogo afu napatia wewe kitimoto roast kisha natoa saa 26 kwa serikali afu wewe narudi nyumbani
 
Utanipokea lakini wewe ukiwa tayari umetangulia na maandamo yenu ya chadema.Kama yule mwenzako aliyetolewa utumbo wewe mpaka maini yatatolewa.
nakutabiria hutamaliza mwaka huu lazima ufe kwa risasi ya FFU
 
watu walio na akili duniani ndo wanaockilizwa,mf.nenda kamuulize mamako na babako kwanini alimjali firauni nyerere?atakwambia alikuwa na sera nzur lakini reality,hata nguo yakuvaa hakua nazo ingalikuwa sio mzee waruhusu ungaliish kama kima.fareed big up
ALLAH AND ZANZIBAR Are with u even though,CHRISTIANS AND DISBELIEVERS HATE.NATAMANI KUWA GAIDI KULIKO KUOLEWA NA MWANAMME MWENZANGU.WHERE DO THESE FOOLISH WORDS COME FROM?FROM THE HOLY BIBBLE? OR FROM AMERICAN CHRISTIAN SEX NETWORK.

kwa matusi unajiweza
 
Awataje askari wa bara waliomkamata, naona anatuletea mauza uza tu.

Hii serikali dhalimu isijekuwa inawatumia akina sheikh Farid kutuondoa kwenye mijadala moto ya kufunguka kwa Ulimboka, Mauaji ya Barlow na Mwangosi. Haya yote ni utata mtupu.
 
mkuu Precise Pangolin
wasituzingue jamaa alikwenda kula bata kwa bi mdogo uso hauna hata chunusi katekwa na nani huyo? kama angetiwa mikononi na wajomba kwanza angekula kichapo cha nguvu badala ya kwenda nyumbani angepelekwa V.I. Lenin au Mnazi mmoja; hawataki tu kusema ukweli shekhe alikwenda kuzini nyumba ndogo kapitiwa na usingizi na hakuwa ana maneno ya kumwambia mkewe kilichbakia ni kuwaambia wapambe walete uzushi; kama katekwa na wale mashoga wa kimambasa nitakubali lakini si kama katekwa na watu kama afande Chacha au Mwita aulize wenzake wakitiwa mikononi wanatoka na hali gani

Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu chama sijakuona hapa jamvin Kama week hivi ulipigwa ban nini? Inasikitisha sana kwa Yule Askari aliyechinjwa juzi kwasababu ya mtu aliyekuwa amejificha hawa ndio wanachafua Uislamu
 
Last edited by a moderator:
kajiwekea mtego mwenyewe halafu anajidai alikamatwa,uzinguzi tu....teh teh we na unene wako mi nakukamata mwenyewe walahi

Imagine, watu wanaoongozwa na Imam, sheikh katika dunia ya leo ni watu wa aina gani??? wana mawazo gani? Wana mtazamo gani?
 
Imagine, watu wanaoongozwa na Imam, sheikh katika dunia ya leo ni watu wa aina gani??? wana mawazo gani? Wana mtazamo gani?
hawana lolote ndo maana vijana wa mtaani wanajitoa mhanga bila kujua sababu za msingi
 
Utanipokea lakini wewe ukiwa tayari umetangulia na maandamo yenu ya chadema.Kama yule mwenzako aliyetolewa utumbo wewe mpaka maini yatatolewa.

Nilikuwa najaribu kujudge akili yako sasa nimegundua wewe ni mbulula! sasa chadema inatoka wapi kwenye suala hili!!? mbulula wee
 
Mkuu chama sijakuona hapa jamvin Kama week hivi ulipigwa ban nini? Inasikitisha sana kwa Yule Askari aliyechinjwa juzi kwasababu ya mtu aliyekuwa amejificha hawa ndio wanachafua Uislamu

Mkuu Precise Pangolin
kuvaa kanzu na kufuga ndevu sio vigezo vya Uislamu; wapo wanafiki wengi tu wanavaa kanzu nyeupe za darzi na kufuga ndevu lakini matendo yao tofauti na Uislamu Fardi ni mnafiki mtupu hata uso wake unajionyesha! mkuu umeshaona game refa katoa penalti halafu anapiga yeye ndio hapa JF mods wanazi watupu walipiga ban ya nguvu !

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom