Sheikh Fareed wa Uamsho apatikana akiwa yu hai na mwenye afya tele

maigizo ya marehemu kanumba yameibuka upya. Haya ngoja tusikilize story za alikokuwa lazima watu walimtia kati na hawezi kuzungumzia hilo na taratibu atajiondoa huko uamsho
 
560577_456861214364390_1116322220_n.jpg


Ni kweli huyu hapa akiingia nyumbani kwake usiku huu.

Ana kesi ya kujibu ajieleze alikuwa wapi hadi kasababisha machafuko zenj na mauaji
 
jwtz washuke huko zenj maana dar walipiga round tu,jamaa wa uhamsho wanajifanya kupitia mafunzo ya karete misikitini
 
Hizi sanaa za maigizo ya kutekwa kazi kweli kweli...sasa subiri aje atekwe kiukweli akanyofolewe kucha na ulimi kudadadekiii!!!!
 
Hapa ndipo nakumbuka maneno ya Yesu, ukiongozwa na kipofu mtatumbukia wote shimoni.Kazi kwetu ambapo wapo wanaong'ang'ania kuongozwa na kipofu.
Asalaam aleykum.
 
Amir ameonekanwa ndani ya shimo wakimpa maji
ya chooni.
ameonekanwa maeneo ya bubwini.
Hakula kwa muda wa siku 3
Maswali aliyokuwa akiulizwa yafika 300.
Source. Uamsho face book. Mwenye kutumia laptop aingie kule kuna picha wanaziweka mm kwa sasa natumia i pad nashindwa kuzikopi
 
59469_298346413598788_456905460_n.jpg


208144_298347866931976_467880593_n.jpg

Hapa ameingia ndani akifurahia na wanae baada ya kuonekana usiku huu.

Nina Hasira naye hapa haina mfano maana kasababisha nchi ya zanzibar isitawalike kwa siku kadhaa sasa


530581_298345356932227_2034881366_n.jpg


Hapa anapiga Dua na wenzake nyumbani kwake
 
Hao UAMSHO walimficha ili wapate kisingizio cha kufanya ghasia, na baadae wakaipa serikali masaa 26 sheikh apatikane, wakati ukweli walipanga (UAMSHO) kumuachia sheikh ndani ya hayo masaa 26 waliyoipa serikali na hivyo kuonesha kama serikali imesalimu amri!

Usanii mtupu!

Kweli mkuu walichotaka ku create hapa ni kuwa serikali inawaogopa,acha waendelee kuchezewa akili
 
Amir ameonekanwa ndani ya shimo wakimpa maji
ya chooni.
ameonekanwa maeneo ya bubwini.
Hakula kwa muda wa siku 3
Maswali aliyokuwa akiulizwa yafika 300.
Source. Uamsho face book. Mwenye kutumia laptop aingie kule kuna picha wanaziweka mm kwa sasa natumia i pad nashindwa kuzikopi

Hahahahahahaaaa.....katokaje huo kwenye shimo?
Wakinaai walimshika?
Hawakumla ndogo?
Hawakuminya kengele?
Je kucha hawakuzinyofoa?
Hata jio tu hawajang'oa?........huyo atakuwa alikuwa kwa bi mdogo mpya.
 
no comment
 

Attachments

  • Screenshot-2.png
    Screenshot-2.png
    85 KB · Views: 90
Eti ndo alitekwa huyu? kweli uamsho hamnazo,mtu alietekwa ana fyraha hivi,anajua mabwepande huyu,subiria ss
 
Back
Top Bottom