Sheikh Fareed wa Uamsho apatikana akiwa yu hai na mwenye afya tele

waongo 2,hakutekwa wala nn walimficha,ss walichokifanya ajitokeze ili watu waone serikali imewaogopa waislam,hamna lolote tushawajua,na uzuri mnauwana wanyewe,hata askari aliyekufa mwislam...endeleeni kumficha
 
Sheikh Farid amepatika muda huu

Chanzo jumuiya ya uhamisho
Kuna mtu ameshaachia uzi kuhusu habari hii, ni vyema kupitia nyuzi mpya kabla ya kukibilia ku-post uzi mwingine ukidhani ni wewe peke yako ndio wa kwanza kupata taarifa! Mods, unganisheni nyuzi hizi.
 
Napata mashaka kuwa kuna mchezo umechezwa hapa!

Nilisema tangu jana kuwa hii ni janja ya UAMSHO kutaka sababu stahiki za kuchoma makanisa. Kwa kuwa katiba ya Tanzania inaruhusu Waislam wakichukizwa na jambo wachome makanisa, basi ilikuwa tu inatafutwa sababu ya kuchoma makanisa na si zaidi
 
sijakuelewa hapa, kilichozungumziwa ni tabia za wazanzibari, au zanzibar imekua ni dini?
 
sheke alijificha, akawaacha wasiotumia akili wareact, na kweli wakareact na kutembezewa mkong'oto na ffu......

Uzuri sheke anajua kucheza na mind za wafuasi wake....kawachezea, anawachezea na ataendelea kucheza na mind zao hadi apate analolitaka..... Ni jambo la aibu sana kutumika kwa maslahi ya wengine .... Too bad wenzetu waliyumika, wanatumika na wataendelea kutumika..... na kinachowaponza ni chuki zao....
 
Kesharudi mkuu! Alikuwa nyumba ndogo,huyo sheikh mwenyewe hana hata hadhi ya kuwa mjumbe wa nyumba kumi kwa wenye akili,lakini ni mungu wa wajinga,huyu ni wakukamata na kumcharaza bakora mpaka anye,jinga kabisa hili.

Yani hii serikali dhaifu sana sana sanaaaaaaaaaaaaaaaaa kenya yule shekhe wa mombasa walishamalizana nae muda mrefu kule sahizi amani telee yani huyu mpuuzi anaicheze anaipiga vidole serikali kama anavyotaka yeye...kweli hadi wamemchinja polisi,wamechoma malii ... kweli hizi vurugu zote walaaliniwe viongozi wa nchii hii inaumizi sana...na hii dini ya kiislam sijui kama ni dini ya haki napata shaka sana
 
JK alishawaeleza waislamu wafanye wanachokitaka kabla hajaondoka 2015, ndio maana radio iman ikiongolea uchochezi haifungiwi,
 
kweli wenzetu hamnazo,hiv unafikir ingekuwa serikal ingemwachia,thubutu?ss subirini smz imkamate km ponda,ponda hata dhamana amekosa,kes tar 1 nov,cjui mtaendelea kupigwa mabom.....
 
Sikuwai kufikiri kama Tz itakuja kuwa sehemu hatari ya kuishi kama Nigeria na Somalia lkn kuna kila viashiria kuwa muda umefika, tazama michango ya wana JF UTAONA WAZI UVUMILIVU NA KUAMINIANA KUMEKWISHA, kizazi chetu tunakirithisha uhasama mkubwa.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom