Shangazi yangu amfananisha mke wangu na bundi

Kwanza shangzi yako hakuheshimu ndo mana akatapika hayo maneno! Pili, kwani kuna ulazima wa yeye kuwepo hapo kwenu?Mahitaji yenu ya muhimu anawatimizia yeye?If not, then take her back to where she came from and warn herr to never set her dirt feets in ya house!
thanks indeed,nitampa kitaa fasta ili atambae.Nalog off
 
Usihangaike na shangazi; yeye sio mwenye kupitisha vigezo vya nani uoe nani usioe; bali wewe tu; so kama umeridhika hata kama ana sura kama yangu hapo kwenye avata.weye kula ile roho yako inachopenda
umegongelea msumari wa mwisho katika sanduku la huyu shangazi yangu.Nalog off
 
Unajua standard ya ubaya ni sura ya Wassira, my waifu wako anaweza kuwa anampiku Wassira? Kama hamfikii basi huyo ni mzuri tu.
mkuu hebu naomba uniwekee picha ya Wassira ili niifananishe,ila kwa unavyonitisha inawezekana my wife wangu akawa bomba kuliko huyo jamaa.Nalog off
 
images




Kwenye hilo la ubaya naona kimsingi unakubaliana na shangazi yako (na pengine huoni tatizo!). Vipi huyo mkeo naye anajijua kama ni 'mbaya'? Labda kidogo unaweza kushare na sisi hapa...ni kwanini uliamua kumwoa huyo mwanamke 'mbaya'?
nimeamua kumuoa yeye ili kuepuka ugomvi na wanaopenda vizuri.Nalog off
 
Uzuri wa nyumba sio rangi, fungua mlango uingie ndani. Huyo shangazi yako inaelekea sio mstaarabu hata kidogo, katika hali ya kawaida huwezi kumtamkia mtu maneno ya kashfa kama hayo, angekuita wewe pembeni halafu akuambie hayo maneno. Yeye anajua ni nini kimekuvutia kwa huyo bundi mpaka ukaamua kumuoa? Kwa kweli inabidi amuombe msamaha tu.
nimemuambia amuombe msamaha my wife wangu ili kusiwe na matatizo ktika nyumba yangu.Nalog off
 
Kwani shangazi yako ndo kaoa. Mwambie mkeo yeye ndo mke na si shangazi, ikiwezekana mrudishe nayeye akamtunze mumewe huko alikomwacha. Hakumtendea haki kabisa mkeo, km kulikuwa na linalomkera boora hatan angengoja mkiwa wawili
 
Habari zenu. Nimemwita shangazi yangu kipenzi ili aje kumuona my wife wangu mpya,basi baada ya kumuona na kumtambulisha kwa mke wangu huyo,shangazi wala hakunichelewesha akaniambia mbele ya my wife wangu,kwanini nimeoa mke mbaya kama bundi? Basi mke wangu yuko kwenye mgomo,hamtaki shangazi yangu awepo hapa nyumbani kwetu na kuniambia nimrudishe nyumbani(Tz) nifanyeje jamani shangazi yangu aendelee kuwepo hapa kama mwezi? Nalog off

alafu huyu mke wako mpya ni yule mpangaji mwenzio uliyemfulia Chu-Pi .... hadi ukaachana na mkeo
 


alafu huyu mke wako mpya ni yule mpangaji mwenzio uliyemfulia Chu-Pi .... hadi ukaachana na mkeo
hapana,huyu ndiye yule aliyeondoka baada ya lile songombingo ila amerudi kwa sasa niko naye.Nalog off
 
hapana huyu ndiye yule aliyeondoka baada ya lile songombingo ila amerudi kwa sasa niko naye.Nalog off

sasa mbona unasema ni mke wako Mpya kumbe ni yuleyule....

anyways mwambie shangazi umempenda hivohivo ..
 
hiyo nchi unayooishi ambayo mke huyo huyo aligombana na mpangaji mwenzako kisa chupi................cjui ikoje mana yani hata kama unakaa uswaz gani wa huku hauko ivo loh!.....................
ok umesema huyu mpya labda yule aliyegombana ulimuacha nn???????
back ktk thread yako nimempenda sana shangazi yako kinoma kwani sa ka bundi ndio asiambiwe loh!
mwache shangazi ajinafasi kwa mijiraha yake loh!
 
Back
Top Bottom