Shangazi yangu amfananisha mke wangu na bundi

Habari zenu. Nimemwita shangazi yangu kipenzi ili aje kumuona my wife wangu mpya,basi baada ya kumuona na kumtambulisha kwa mke wangu huyo,shangazi wala hakunichelewesha akaniambia mbele ya my wife wangu,kwanini nimeoa mke mbaya kama bundi? Basi mke wangu yuko kwenye mgomo,hamtaki shangazi yangu awepo hapa nyumbani kwetu na kuniambia nimrudishe nyumbani(Tz) nifanyeje jamani shangazi yangu aendelee kuwepo hapa kama mwezi? Nalog off

Shangazi yako nae mpana, jaribu kumfamisha shangazi yako kua hiyo ni mkeo na ndio ulie mchagua na unampenda kwa moyo wako wote,
na yeye akiwa kama shangazi ajiheshimu sababu huyu mkeo ni mwanamke kama yeye akamjibu maneno yasio faa atasema ametukanwa? mwambia awe mstarabu na ukizingatia yeye ni mtu mzima....
 
My wife kweli ni mbaya,ila shangazi yangu nafikiri kafanya hivi baada ya kujua ya kuwa mie nampenda sana yeye. Nalog off

Unakubali kua wife wako mbaya? au ndio sababu hukutaka kumweleza shangazi yako alichofanya ni kosa? unampenda kweli huyo wife wako au unamchukulia kama mfanya kazi wako wa ndani?
 
Lookin good....
european_owl_1_467x313.jpg
 
sidhani kama itakuwa rahisi kwa shangazi yako kumuomba msamaha wa moja kwa moja ila cha msingi kaa na shangazi yako umweleze wewe kama wewe hujapendezwa na kitendo alichofanya na yeye itakuwa ni rahisi kukuomba msamaha na utafikisha ujumbe kwa mwenza wako na baada ya hapo waweke pamoja na maongezi yawe ya kawaida. ...

muhimu inatakiwa kwanza shangaz yako ajitambue na atambue nini na kwa nini umefanya maamuzi
 
huyo shangazi yako inaonyesha anakutamani wewe,
kama vipi mpe mahitaji yake arudi home,
kwanini kupeleka watu washamba kwenye nchi za watu.
 
inaelekea haumkubali wife wako kama kitu chako haujivunii nacho ni ngumu kwa wengine kukiheshimu na kukikubali.

umekomelea hasa!!!
Imagine yeye mwenyewe hajivunii mkewe sasa jeuri hata ya kumwambia huyo shangazi kuwa kitende alichofanya si cha kiungwana ataitoa wapi!!!
Pole yake mkeo janaume ka wewe wala hukumstahili...
 
Kwanza shangzi yako hakuheshimu ndo mana akatapika hayo maneno! Pili, kwani kuna ulazima wa yeye kuwepo hapo kwenu?Mahitaji yenu ya muhimu anawatimizia yeye?If not, then take her back to where she came from and warn herr to never set her dirt feets in ya house!
 
khaaA!! mbona bundi mzuri tu!!! achana nae shangazi hajui asemalo,akizidisha ushangazi wake mtimue fasta!!!
 
kuna wazazi wengine sijui wanafikiriaa nini, na watu kama hao ukiwaangalia wao ndio makwisuuu, yaan wabaya kwa sura na maumbile
 
Shangazi gani amekosa busara kiasi hicho,Kazi kwako maamuzi ni yako utachagua kati ya furaha ya mkeo au shangazi yako!
 
....,kwanini nimeoa mke mbaya kama bundi? Basi mke wangu yuko kwenye mgomo,hamtaki shangazi yangu awepo hapa nyumbani kwetu na kuniambia nimrudishe nyumbani(Tz) nifanyeje jamani shangazi yangu aendelee kuwepo hapa kama mwezi? Nalog off

images


My wife kweli ni mbaya,ila shangazi yangu nafikiri kafanya hivi baada ya kujua ya kuwa mie nampenda sana yeye. Nalog off

Kwenye hilo la ubaya naona kimsingi unakubaliana na shangazi yako (na pengine huoni tatizo!). Vipi huyo mkeo naye anajijua kama ni 'mbaya'? Labda kidogo unaweza kushare na sisi hapa...ni kwanini uliamua kumwoa huyo mwanamke 'mbaya'?
 
Uzuri wa nyumba sio rangi, fungua mlango uingie ndani. Huyo shangazi yako inaelekea sio mstaarabu hata kidogo, katika hali ya kawaida huwezi kumtamkia mtu maneno ya kashfa kama hayo, angekuita wewe pembeni halafu akuambie hayo maneno. Yeye anajua ni nini kimekuvutia kwa huyo bundi mpaka ukaamua kumuoa? Kwa kweli inabidi amuombe msamaha tu.
 
Vyote vimechangia mie kumuoa huyu my wife wangu. Nalog off

We kweli una vituko... Ile kesi yako na wife ya kumfulia dada wa jiran chupi imeisha? Ehehehe leo shangaz kamfananisha mkeo na bundi!...... Mhh story tu hizi bana..
 
Back
Top Bottom