Shangazi yangu amfananisha mke wangu na bundi

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Habari zenu. Nimemwita shangazi yangu kipenzi ili aje kumuona my wife wangu mpya,basi baada ya kumuona na kumtambulisha kwa mke wangu huyo,shangazi wala hakunichelewesha akaniambia mbele ya my wife wangu,kwanini nimeoa mke mbaya kama bundi? Basi mke wangu yuko kwenye mgomo,hamtaki shangazi yangu awepo hapa nyumbani kwetu na kuniambia nimrudishe nyumbani(Tz) nifanyeje jamani shangazi yangu aendelee kuwepo hapa kama mwezi?
YANAYOJIRI
Mpaka sasa shangazi kagoma kuomba msamaha na pia kagoma kwenda kukaa hoteleni na mie nimemuomba mke wangu aende nyumbani kwao akapumzike kidogo mpaka shangazi atakapoondoka

Nalog off
 
Dah! Shangazi yako ana mashauzi! Kiukweli hajafanya kitendo kizuri hata kama huyo mkeo anafanana na bundi asingeongea hayo maneno.
 
My wife kweli ni mbaya,ila shangazi yangu nafikiri kafanya hivi baada ya kujua ya kuwa mie nampenda sana yeye. Nalog off
 
Bundi ndio nini?
Mwambie shangazi, mbele ya wife, sababu zako za kumuoa mke wako maana hata kama nio mzuri sana wa sura lazima anatabia zilizo kupelekea kumuoa.
Bundi ni ndege mwenye sura mbaya,nasubiri kukuche ili nimwambie huu ushauri wako. Nalog off
 
Mambo mengine ni kufuga ubovu... yaonesha dhahiri shangazi yako sio mstaarab na wala hana simile.... Yaani kweli kabisa kaanza tu kutamka with confidence maneno hayo? Hajamtendea haki mkeo na anastahili amuombe msamaha Mkeo for yeye ndo naamini anashinda hapo home kuliko wewe na kutoa huduma za msingi kama chakula, usafi wa mahala pa kulala, usafi wa nguo za Shangzi mwenyewe na the like... Hapo naamini walau aweza legeza roho na kumvumilia huo mwezi ulobaki.... Washawasha nalog off!!
 
Nashukuru wajina wa dada yangu,kesho nitaongea na shangazi yangu ili amuombe msamaha my wife wangu asije akamwagiwa maji ya moto bure. Nalog off
 
Mambo mengine ni kufuga ubovu... yaonesha dhahiri shangazi yako sio mstaarab na wala hana simile.... Yaani kweli kabisa kaanza tu kutamka with confidence maneno hayo? Hajamtendea haki mkeo na anastahili amuombe msamaha Mkeo for yeye ndo naamini anashinda hapo home kuliko wewe na kutoa huduma za msingi kama chakula, usafi wa mahala pa kulala, usafi wa nguo za Shangzi mwenyewe na the like... Hapo naamini walau aweza legeza roho na kumvumilia huo mwezi ulobaki.... Washawasha nalog off!!
Kweli kabisa. wanaume wengi wanatabia ya 'kufuga ubovu'. wakiona matatizo ya familia wanaamua kufanya kama hawajaona wanadhani wanaepuka lawama kumbe wangeweza kabisa kuleta suluhisho mapema. Fikiria matatizo ya mama wa kambo na watoto wa mume wake, wanafunga macho. tatizo za mtu na mkwe wake, wanafunga macho, mtu na wifi yake, wanafunga macho. mtoto wa kiume na housegirl wanafunga macho. Sasa washawasha umekutana na tatizo la shangazi na mke, fanyia kazi na uhakikishe kila mmoja anamheshimu mwenzie.
 
Mwali IMO (kwanza niseme what a lovely choice of Avatar... mwali indeed!!) B2T ni kwmba narudia IMO, Sometimes it is better wanaume wanavojifanya hawajaona hasa kuhusu ugomvi kati ya mkewe na ndugu zake wa jinsia ya kike (awe mama ama dada) for hawa watu wana history ya loggerheading woote wakitaka kujiona ni bora kwa huyo mwanaume i.e Mke, mama na dada.... Wakisahau na kukosa ustaarabu kabisa kua what they are doing inamuumiza zaidi yule wanaedai wanahaki nae zaidi.... Nae mwanaume anabaki dilema, achague upande wa Mke?? Mama?? Dada??

Hata hivo inapokua imevuka mpaka kama hapa kwa Washawasha ni lazima aoneshe Msimamo na uanaume wake kwa kukemea palovuka.
 
Dah!! Kama na wewe unakubali tena ni mbaya!! Mi sisemi tena....
Kisura kwa kweli ni mbaya lengo langu ni kuogopa kuchukuliwa mke na mapedejee,lakini huyú kwasababu ni mbaya basi nagonga peke yangu. Nalog off
 
Mwali IMO (kwanza niseme what a lovely choice of Avatar... mwali indeed!!) B2T ni kwmba narudia IMO, Sometimes it is better wanaume wanavojifanya hawajaona hasa kuhusu ugomvi kati ya mkewe na ndugu zake wa jinsia ya kike (awe mama ama dada) for hawa watu wana history ya loggerheading woote wakitaka kujiona ni bora kwa huyo mwanaume i.e Mke, mama na dada.... Wakisahau na kukosa ustaarabu kabisa kua what they are doing inamuumiza zaidi yule wanaedai wanahaki nae zaidi.... Nae mwanaume anabaki dilema, achague upande wa Mke?? Mama?? Dada??

Hata hivo inapokua imevuka mpaka kama hapa kwa Washawasha ni lazima aoneshe Msimamo na uanaume wake kwa kukemea palovuka.
Asante AshaDii kwa kunipongeza kwa avatar... nimeipenda sana maana imekaa realistic sana. mwanamke mcheshi, kajitandia kana maskini, na makeup yake imetulia... kweli nimeipenda, asante kwa kuipenda pia. Ila na mimi npenda sana hiyo yako kwa kweli... ngoja nitajaribu kuifunga hii kanga ikae hivo...
 
No dear usifiche hizo lips.... Zinafanya the package iwe kamilifu... Mie naona hapa tu "Logoff" na tuende pale Lounge room.... lol..
 
Kweli kabisa. wanaume wengi wanatabia ya 'kufuga ubovu'. wakiona matatizo ya familia wanaamua kufanya kama hawajaona wanadhani wanaepuka lawama kumbe wangeweza kabisa kuleta suluhisho mapema. Fikiria matatizo ya mama wa kambo na watoto wa mume wake, wanafunga macho. tatizo za mtu na mkwe wake, wanafunga macho, mtu na wifi yake, wanafunga macho. mtoto wa kiume na housegirl wanafunga macho. Sasa washawasha umekutana na tatizo la shangazi na mke, fanyia kazi na uhakikishe kila mmoja anamheshimu mwenzie.
Nashukuru mwali kwa ushauri wako chanya,lazima shangazi yangu amuombe msamaha my wife wangu. Nalog off
 
inaelekea haumkubali wife wako kama kitu chako haujivunii nacho ni ngumu kwa wengine kukiheshimu na kukikubali.
Hapana bibie, mie nampenda sana mke wangu,ìla ifikapo kesho ndio nitajua kwanini alisema vile bila staha. I love sana my wife wangu. Nalog off
 
Mwambie huo u-bundi wake ndio ulokupendeza hadi kufika kumuoa :]
 
Back
Top Bottom