Huu ni ushahidi tosha juu ya uchafu na uoza wa TAKUKURU hii ni taasisi ambayo viongozi wake wote ni lazima wafukuzwe kazi kwa kuliabisha taifa na kuwa mstari wa mbele kuwalinda mafisadi kama Chenge na wote waliohusika na Richmond.
Chenge hata kama atakuwa cleared bado anatakiwa awaambie Watanzania:
1. $ 1.5 M alizitoa wapi?
2. Consultancy Fees na Personal saving anf Family Heritage anazodai ndo zimempatia hizo pesa ni zipi?
3. Kwa nini alitumia madaraka yake vibaya kuwaweka watanzania katika risk kwa manufaa yake tofauti na matarajio
4. Ameongea nini na PCCB wamemsafisha wakati Mdumange ndo kwanza unaaanza?
Give us the source of your story and respective date....
story yako inaweza ikawa ni ya 2006 UMAKINI kabla ya kupayauka please unatutia mzuka