Elections 2010 SFO yakanusha Taarifa ya PCCB! Suala la Chenge bado halijaisha!

Hosea kampongeza Kikwete kwa kutangazwa mshindi wa uchaguzi uliofanyika katika mazingira yaliyogubikwa na wizi na vitendo vya rushwa. Unadhanai kweli anajua maana ya rushwa huyu bosi
 
Ee Mungu Muumba ardhi na mbingu.
Kwanini ulimchukua Nyerere kipindi ambacho Tanzania inamuhitaji?
Najua hukosei na natumai yupo Nyerere mwingine ulituandalia, yeye atakuja muda si mrefu.
Ataondoa upuuzi wote huu unaofanyika ktk nchi hii.
Lakini nina mashaka Watanzania hawatomwamini kwani Watanzania ni sikio la kufa.
 
Huu ni ushahidi tosha juu ya uchafu na uoza wa TAKUKURU hii ni taasisi ambayo viongozi wake wote ni lazima wafukuzwe kazi kwa kuliabisha taifa na kuwa mstari wa mbele kuwalinda mafisadi kama Chenge na wote waliohusika na Richmond.
 
David Hosea PhD namfahamu personally nadhani hiyo PhD alinunua kwa sababu hata mambo ya wazi kama kama haya ya mzee wa vijisenti anatufanya sisi watanzania wapumabafu hatuyajui. This is the type of people that JK prefers to work with.
I love TZ nawachukia mafisadi
 
Huu ni ushahidi tosha juu ya uchafu na uoza wa TAKUKURU hii ni taasisi ambayo viongozi wake wote ni lazima wafukuzwe kazi kwa kuliabisha taifa na kuwa mstari wa mbele kuwalinda mafisadi kama Chenge na wote waliohusika na Richmond.

Swali:Nani aliianzisha takukuru?
Jibu: Mkapa.
Swali: Mkapa hakuwa fisadi?
Jibu: alikuwa.
Swali: so, takukuru ilianzishwa kwa madhumuni gani?
Jibu: kulinda mafisadi.
Swali: jk anaweza akaivunja takukuru?
Jibu: hathubutu hata kidogo.

No more questions.
 
Chenge hata kama atakuwa cleared bado anatakiwa awaambie Watanzania:

1. $ 1.5 M alizitoa wapi?
2. Consultancy Fees na Personal saving anf Family Heritage anazodai ndo zimempatia hizo pesa ni zipi?
3. Kwa nini alitumia madaraka yake vibaya kuwaweka watanzania katika risk kwa manufaa yake tofauti na matarajio
4. Ameongea nini na PCCB wamemsafisha wakati Mdumange ndo kwanza unaaanza?

Superman,
Jamaa (Chenge) anadai hizo pesa sio zake bali ni za NGO. Sasa unajiuliza hiyo NGO iko dormant kiasi gani kiasi cha pesa zake zikae Uingereza? Maana kama iko active transaction ya pesa kutoka uingereza ndo zije TZ kwa shughuli inachukua muda gani? Mbaya zaidi kama ni za NGO kwanini zisiwekwe kwenye mabenki yetu hapa zikasaidia kusukuma mbele uchumi wa nchi yetu?
 
Habari nzuri sana ambayo inatakiwa ipelekwe Dodoma kabla mafisadi hawajampendekeza Chenge ili aishie hapo hapo kamati kuu. Kwanza utakuwaje spika wa bunge na wiki ijayo unatakiwa kwenda mahakamani kujibu kesi ya mauaji na kutembea na gari lenye bima feki? These guys hawana hata mshipa mmoja wa aibu wala uwajibikaji. Huyu ni mtu ambaye alitakiwa asahaulike kabisa kwenye uongozi wa nchi na CCm pia.

Lakini hawa jamaa kwa mshangao mkubwa walimteua kuongoza sijui kamati nyingine ipi ya uchaguzi na sasa wanataka awe spika!

Shame on CCM!
 
Invisible please naomba hii thread ifutwe mara moja kwani kila post ninayoisoma inanitoa machozi.
Naumia sana hasa nikifikiria kiongozi mkuu hatofanya lolote, yupo yupo tu.
Narudia tena, hii thred inanitoa machozi.
 
Helllow wana Jamii,

Nadhani naanza kutambua ni kwa nini walichakachua matokeo,kama mtakumbuka Dr. kwenye ilani yake ya
uchaguzi aligusia suala la vyeo nyeti serikalini si vya kugawiana gawiana kuna haja ya kuainishwa kwa sifa za anayatakiwa kwenye cheo mfano Mkurugenzi wa PCCB, Usalama wa Taifa etc ili kuwa na mwongozo sahihi na si kupeana peana kama inovyofanyika sasa, kwa hili nadhani liliwashitua wazee wasio na sifa na wana vyeo visivyo vyao wakachakachua.

Sasa wenzetu wantuona wote ni waapuuzi, kenya que kidogo wameandamana kwetu tunaelezwa ni mafanikio, nadhani kuna haja ya kujipima upya na kuchukua hatua zaidi ya kilichotokea kwenye uchaguzi huu. PCCB ivunjiliwe mbali tuanze upya.

Shame upon Them
 
Give us the source of your story and respective date....

story yako inaweza ikawa ni ya 2006 UMAKINI kabla ya kupayauka please unatutia mzuka

Hivi umesoma heading ya hiyo press release? Soma na hiyo press release yote mpaka mwisho, mpka pale walipoandika for more information ...
 
Kwa mantiki hii Dr. Hosea awajibishwe kwa kutoa taarifa za uwongo na kujaribu kuudanganya umma wa watanzania; mh. Raisi aanze kazi kwa kuundoa mizoga kama hii ambayo imekuwa mzigo kwa taifa letu, inakuwaje mzuia rushwa ndiye anakuwa mtetea rushwa?

Taarifa ya uwongo aliyotoa Dr. Hosea ni kwa maslahi ya Taifa au kwa wala rushwa wachache? Raisi anapaswa kumuajibisha Dr. Hosea haraka iwezekanavyo ili tuanze kuwa na imani naye vinginevyo itakuwa ni muendelezo wa siasa za kisanii.
 
What pains me the most, is the fact that Hosea is a PhD holder! anaaibisha title huyu *****!
 
Ni hivi;

Chenge ndio Mwenyekiti wa kamati ya maadili ya CCM (CCM Ethics committee). Kwa hiyo chenge ana access to all CCM prevelaged information kuhusiana na mambo ya ethics. Chenge anaijua CCM ndani na nje na anajiona yeye ni nafuu. Sasa hawa kina Hosea kuteuliwa kwao si ni lazima wawe vetted na kamati ya maadili ya CCM ambayo mkubwa wake ni chenge? Lazima wampulizie vuvuzela ili aendelee kufanikiwa!

Kifupi, Chenge ndo mshauri mkuu wa Kikwete kuhusiana na mambo ya maadili kwa sababu anaongoza kamati ya chama ya maadili. Kwa hiyo unaweza ukajua unaishi katika nchi ya namna gani!!
 
PPCB kwenye stattement yao wamesema wameshindwa Kumuhusiha chenge na Rushwa. Sasa kama wameshindwa Hosea aachie ofisi awapishe wanaoweza. Given the finding walizofanya SFO jinsi mtiririko wa mambo ulivyokuwa kama wameshindwa mambo rahisi hivi sioni wapi wataweza kumtia hatiani Liyumba wa BOT.

Kwa Mtazamo wangu kumtia hatiani liyumba wa BOT ni ngumu sana kuliko kumtia hatiani chenge. lakini kwa TAKUKURU najua inaweza kuwa vice versa sababu ya Comedy.
 
Hii inadhihirisha ubora na umakini wa taasisi zetu mhimu kama nchi. Wakati huu wa "economic intelligency" sie bado tunafanya mazingaombwe. Aibu ya nani hii?
 
Tanzania: Pay Radar Money to Us, Government Tells SFO
Adam Ihucha, Abduel Elinaza and Mike Mande
6 September 2010
--------------------------------------------------------------------------------
Nairobi - The Tanzania government is demanding that the £30 million ($46 million) that Britain's biggest arms company, BAE Systems, has promised to pay to settle the Watchman radar scandal, be channelled through it.

BAE promised to pay the money in a plea agreement with the UK's Serious Fraud Office, in a deal to end a six-year investigation into suspected bribery.

However, British papers say the plea is unlikely to come before the courts for approval before November.
Under the deal, the money in questions is be returned "to the Tanzanian people" through various charity organisations rather than through the government, which paid BAE Systems for the purchase of the radar system in the first place.

BAE - which was being investigated in the 1999 multimillion-dollar scandal involving senior government officials, prominent businessmen and ministers, who conspired with the arms dealer to "push a costly and pointless air traffic control system on Tanzania," in the words of the Financial Times newspaper - admitted only to a single minor bookkeeping offence relating to the sale but nevertheless agreed with the SFO to pay the 30 milion pounds penalty. A third of the Tanzanian contract was allegedly paid in bribes.

The SFO then dropped its charges against those involved in the scandal, who included Tanzanian officials Andrew Chenge (the then Attorney General), tycoon Tanil K.C Somaiya of Shivacom and a middleman named Shailesh P. Vithlani.

As part of the same deal, BAE agreed to pay $400 million in an agreement with the American authorities, to settle bribery accusations over jet fighter sales to Saudi Arabia and the Czech Republic.

Now activists are reading sinister motives into the Tanzania government's demand that the payment be made to it, warning that the funds will be misused taking into account that the country is going into a general election.

International lawyers and bribery watchdogs are campaigning against the government receiving the cash, saying it would be like returning money to the very people that took payoffs in the first place.The World Bank, through its Stolen Assets Recovery Initiative (StAR), is ready to assist Tanzania to repatriate the proceeds of the fraud.

StAR is a partnership between the World Bank Group and the United Nations Office on Drugs and Crime that assists developing nations to recover stolen assets.

Salar Zeynelabidin, a lawyer with the World Bank, told The EastAfrican last week in Arusha that StAR is ready to assist Tanzania to recover the money, but first the country must apply for support through the Cabinet.

Mr Zeynelabidin added, "The theft of public assets from developing countries has assumed alarming proportions; between $1 trillion and $1.6 trillion is being looted every year."
He estimated that kickbacks received by public officials from developing and transition countries amount to between $20 and $40 billion per year - a figure equivalent to 20 to 40 per cent of flows of official development assistance.Back in 2005, the World Bank successfully managed to assist the Nigerian government to recover $458 million stolen by the late military dictator Gen Sani Abacha from Swiss banks.
The Watchman radar deal was negotiated despite intense opposition from then UK Cabinet ministers Claire Short and Robin Cook as well as the World Bank.

Thereafter, the SFO discovered that a third of the contract's price had been diverted into secret offshore bank accounts. The SFO further exposed that the money had gone into a Swiss bank account controlled by Sailesh Vithlani, a middleman of Indian extraction with a British passport.

The SFO believes that this money was used to pay bribes to Tanzanian politicians and officials to approve the deal.Mr Vithlani left Tanzania after the country's Prevention and Combating of Corruption Bureau accused him of lying to investigators.

He is listed as wanted by Interpol.Dick Oliver, BAE Systems chairman, admitted only that his firm "made commission payments to a marketing adviser and failed to accurately record such payments in its accounting records... The company failed to scrutinise these records adequately to ensure that they were reasonably accurate and permitted them to remain uncorrected."

Now, UK prosecutors plan to send the money from the bribery-probe settlement to Tanzania. British High Commissioner to Tanzania Diane Corner told The EastAfrican in Dar es Salaam last week that under the proposed settlement, the SFO will ask that most of the £30 million BAE is paying, go to Tanzania as the agency's director, Richard Alderman, pushes to return money to corruption victims.

Mark Mandelssohn, former chief of the Fraud Division at the US Department of Justice, told The EastAfrican that, "There is a grave danger that you're returning money to the very people who took the bribes in the first place."

However, Bernard Membe, Minister for Foreign Affairs and International Co-operation told The EastAfrican that Tanzania cannot let the money be donated to charitable organisations, "because it belongs to the government of Tanzania and it is the state that should decide how to use its recovered funds."
Mr Membe said Britain should not dictate the use of the money by Tanzania when the US government in a similar arrangement was being refunded directly and not through individual organisations.

In February, the British Serious Fraud Office and the US Department of Justice reached settlements with BAE Systems in a ground breaking global agreement that involved BAE's business dealings in a number of countries including Tanzania.

Copyright © 2010 The East African. All rights reserved. Distributed by AllAfrica Global Media (allAfrica.com).
 
Naona watu wanaumiza vichwa na kusema kuwa "Rais amwajibishe/amfukuze kazi Hosea...".

Kweli Rais Dr Slaa (PhD) angeweza si tu kumfukuza bali pia angehakikisha huyu pamoja na akina Chenge, Lowassa, Rostam na wengineo wanafunguliwa mashtaka ya uporaji wa mali za watanzania kupitia EPA, Kagoda, IPTL, Richmond, Meremeta, Mwananchi Gold, Deep Green.

Na hayo matrilioni yote yangerudi.

Ila huyu Ze Komedy hawezi kumwajibisha "mshkaji".

WaTz ndio tunapaswa kumwajibisha Ze Komedy, Chama chao CCM na Serikali yake inayoonyesha kuwa haijali maslahi ya watanzania walio wengi..

Ndiyo kwanza wanataka awe Spika wa Bunge...
 
Hosea hawezi kufanya chochote dhidi ya mwenyekiti wa kamati ya maadili ya Chama. Katika enzi za kushika hatamu kwa chama, Chenge ndo kiongozi ambaye usingependa kutofautiana naye kwa chochote. Kwa sababu mambo yote ya ethics lazima yapitie kwake. CCM na serikali yake bado wanaendesha nchi katika enzi zile za Chama kushika hatamu. CCM bado kinajiendesha kama chama cha kikoministi, yaani kinaiangalia selikali kama kamati tendaji ya chama. Chama kiko juu ya serikali. Ndo maana mtu akishakuwa rais wa nchi na uenyekiti wa chama anapewa mara moja, kwani mwenyekiti wa chama ni very powerful kuliko mere president!

Katika mfumo huo huo wa kikoministi ujue jumuia za chama zina nguvu sana. Wewe ukitaka ukose madaraka mahala popote kosana na kiongozi wa chama eneo hilo! CCM hakijatoka kwenye mfumo huo na kamwe hakiwezi kutoka.

Kwa mfumo huo wa uongozi Chenge kama Mwenyekiti wa kamati ya maadili ya chama yuko closer to the party chairman kwenye mambo ya maadili kuliko mtu mwingine yeyote. Na tunajua party chairman ni nani! Sasa ulitegemea Hosea ambaye ni mfanyakazi wa serikali asiye na roots katika chama asimsafishe mwenyekiti wa kamati ya maadili ya chama? Siku hosea akikosana na Chenge ujue ndo siku kibarua chake kitaota majani. Lazima ajaribu kumsafisha bosi wake, huo ndo wajibu wake!!
 
katika taarifa ya habari ya ITV jioni (2: PM) hii ubalozi wa Uingreza umeshangazwa na kitendo cha TAKUKURU kumsafisha chenge na kashfa ya Radar ili hali kesi hiyo haijafikishwa mahakamani

My take

Edward Hosea naomba uache kuwachezea Watanzania na ustep down immediately.
 
Back
Top Bottom