AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,040
CCM ni chama Dola
ccm ni chama dola kwa vilaza kama ww!
Peoples.......................!
CCM ni chama Dola
vilelvile baba yako si lolote kwa mama yako.
Peoples.........................!
Wanatengeneza Arusha nyingineNaona mkuu wa mkoa wa Dodoma na wajumbe wake wa kamati ya ulinzi na usalama wameamua kwa dhati kui-promote CHADEMA. Maamuzi ya kizamani kama haya yamekuwa na effect moja tu - kupanda chati kwa CHADEMA.
Kulinda mazishi ya wapi nyie kwhy mlitaka watu wauane CDM hamna lolote mnajadili fujo tu hamna la maana kelele za nzi hasimsumbui mtu kunya!
UPUMBAVU WA KARNE!
Nchi ya Nyerere inashuhudia tamko lingine la ubeberu wa karne!
Hii ni komedi, bora hata akina Masanja wanaigiza mantiki kidogo!
Eti sababu mikutano inaleta watu wengi sana Dodoma, wakati kuna vikao vya Bunge.....shiit!
Hivi Wafanyabiashara wa Dodoma wanakubaliana na uharo huo, kwahiyo unalimit watu wasiingie tena Dodoma..aisee!!
Sijawahi kusikia mkoa wowote katika Tanzania ambao unadai kuwa watu wameshajaa, na kwahiyo wasiingie tena!..hii ni kauli ya aina yake ya kwanza toka Uhuru!
Hivi ni polisi wangapi wanahitajika Bunge na Mkutano wa cdm? wanafika Mia?
Naomba mdau mmoja aweke hapa picha yoyote ya Mkutano wa cdm wa Dodoma ili tufanye tathmin!
Tena ni ile DOLA YA ZIMBABWE...CCM ni chama Dola
Hizi habari ni za kweli? Utafikiri utani! This is a retarded mind!
Hivi ww unaishi nchi gani? Tbc imerudia tamko la RC wa Dom zaidi ya mara tatu.....! Sikiliza taarifa za Tbc.
nimecheka sana na uamuzi huu wa RC.
hivi dodoma ina wakazi wangapi?
RC anategemea mikutano ya chadema itaongeza watu wangapi?
je tunahitaji polisi wangapi kulilinda dodoma wakati huu wa bunge+mikutano ?
je chadema wakiamua kufanya mikutano yao dodoma vijijini RC atabakia na msimamo huo huo?
je amri hii ya RC in athari gani kwa mikutano ya baadae kama ya kimataifa mjini dodoma itakayopangwa kufanyika sambamba na shughuli za bunge?
je RC amewasiliana na IGP kuomba msaada wa polisi kutoka maeneo mengina ikashindikana?mbona arumeru tulijaza mapolisi kutoka sehemu mbalimbali Tanzania!!