Serikari yapiga marufuku mikutano ya kisiasa Dodoma

Naona mkuu wa mkoa wa Dodoma na wajumbe wake wa kamati ya ulinzi na usalama wameamua kwa dhati kui-promote CHADEMA. Maamuzi ya kizamani kama haya yamekuwa na effect moja tu - kupanda chati kwa CHADEMA.

Viongozi wa serikali hii kweli wamefilisika kiakili kwani they cannot even learn from life's simple examples that when you restrict a child to do something then they become curious as to why they are restricted and finally they do what they are restricted to do out of curiousity!! Sasa hawa magamba wanafikiri wanawafurahisha wakubwa zao kwa kuwapiga marufuku chadema wasifanye mikutano hapo Dododma kumbe ndio wanawafanya raia wapate hamasa ya kuipenda chadema kwani wanafunguka na kutaka kujua kwanini serikali inakithibiti chadema!!!
 
Naona mkuu wa mkoa wa Dodoma na wajumbe wake wa kamati ya ulinzi na usalama wameamua kwa dhati kui-promote CHADEMA. Maamuzi ya kizamani kama haya yamekuwa na effect moja tu - kupanda chati kwa CHADEMA.

Wameamua kutufahamisha ubaya wa hizi kamati. tushajua natujipange kwa katiba.
 
Usisahau kuwa yeye ndiye M/Kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa.

mkt wa kamati ya ulnz na usalama ktu gan bwana. hawa ndo aina ya viongoz wanaofikir kwamba wanaweza kuizuia Tsunami kwa mikono. a purely conservative approach to Leadership. hawa si viongoz wa kizaz hiki. Historia iko wazi kabisa; kadri unavyomwekea vikwazi mpinzani wako ndivyo unavyompaisha tena at your own cost. uamuzi wa namna hii hauna value addition yoyote kwa serikali bali kinyume chake na unaisadia kuitangaza CDM at zero cost. Labda nimsaidie Ndg yangu RC Nchimbi kitu kimoja tu, kwamba kadri unavyoiwekea vikwazo CDM unatufanya ss wananchi tuionee huruma kwa hisia kwamba inaonewa na ktk busara ya kawaida ni kuwa mtu yeyote unayemuonea huruma uko tayari kumsaidia pale atakapohitaji msaada. kwa hiyo endeleen kuwawekea vikwazo CDM ili muwasaidie ku-win simphathy ya wananchi kwa gharama zenu. nafahamu aidha kwa kujua au kwa kutokujua ama kwa kushauriwa vibaya au kwa kiburi tu mnajidaganya na kushangilia kwamba mmewaweza na kuwakomoa , lakini nikuhakikishie kwamba ni kwa hasara yenu zaidi na kwa faida ya CDM zaidi. Mtu mjanja akisha fahamu kwamba fulani ni mkurupukaji huwa annamprovoke akasirike ili atumie hasira yake ku-win argument. Kumbukeni kwamba RADICAL CHARACTERS huwa ni zao linalotokana na RADICAL SYSTEM/LEADERSHIP. tungependa kujenga Tanzania ya wariberali na si ya mahafidhina/conservatives/radicals wasiyo na tija. kizazi cha sasa hakiihitaji viongoz wa namna hii. kinahitaji viongozi wanaotoa majawabu kwa matatizo yao na si wale wanaofikiria kila kukicha namna ya kuwazuia wale wenye maoni tofauti wasitoe maoni yao. Viongozi tunaowataka ni wale wanaoona maoni hayo tofauti kama fursa na si kama vikwazo. tunahitaji viongozi wenye courage ya kuwaona wapinzani wao kama washirika na si kama maadui zao. Dr. Rehema NCHIMBI umetuangusha wale tuliokuamini kama kiongozi wa kisasa, tuliokuamini kama kiongozi unayethamini mawazo na misimamo ya wengine na unayetambua umuhimu wa maoni tofauti ktk maendeleo ya nchi yetu. Naamini bado unayofursa ya kujifunza please don't abandon the ideals for which we all subscribe to. Aluta Kontinua
 
Mpenzi wangu Rehema pole! Hii inaonesha kiti kimekupwaya size yako ilikuwa wilaya siyo mkoa! Mbona ulisahau kufunga mpaka kuwazuia machangudoa waliowafuata wabunge? Hii nimeisikia kwako tu kwa mkutano wa hadhara kuingiza wageni wengi. Ulishasikia wapi watu wanatoka mikoa ya jirani kwenda kusikiliza mkutano wa siasa? Basi kama CDM imefanikiwa kiasi hicho hongera yao! Ili usimwage unga mama gawa mbu..ny tu utakuwa salama na kazi itaendelea! Kazi ni kwako!
 
Mie nilipomsikia huyo Dr. Rehema Nchimbi akitoa agizo hilo nilicheka sana baadaye nikajaribu kutafakali kidogo. Eti alisema "...serikali imepiga marufuku maandamano na mikutano ya kisiasa kwa sababu inavuta wageni wengi kuja Dodoma na kwa sasa kuna upungufu wa askari kutokana na bunge..." Vipi kama kuna asasi furani ya kiraia (sio chama cha siasa) ikiamua kufanya maandamano makubwa na baadae kuwa na mkutano wa hadhara hapo dodoma bila shaka kwa hawa polisi watakuwepo wa kutosha na wao wataruhusiwa!!! ila watakuwa wachache kwa mikutano ya kisiasa tu! Kweli ata ukiwa msomi lakini ukawa mtumwa wa magamba basi uwezo wako wa kufikili unakuwa mdogo manake unatoa tamko kama ulivyoelekezwa bila kutafakali!
 
UPUMBAVU WA KARNE!
Nchi ya Nyerere inashuhudia tamko lingine la ubeberu wa karne!

Hii ni komedi, bora hata akina Masanja wanaigiza mantiki kidogo!
Eti sababu mikutano inaleta watu wengi sana Dodoma, wakati kuna vikao vya Bunge.....shiit!
Hivi Wafanyabiashara wa Dodoma wanakubaliana na uharo huo, kwahiyo unalimit watu wasiingie tena Dodoma..aisee!!
Sijawahi kusikia mkoa wowote katika Tanzania ambao unadai kuwa watu wameshajaa, na kwahiyo wasiingie tena!..hii ni kauli ya aina yake ya kwanza toka Uhuru!
Hivi ni polisi wangapi wanahitajika Bunge na Mkutano wa cdm? wanafika Mia?
Naomba mdau mmoja aweke hapa picha yoyote ya Mkutano wa cdm wa Dodoma ili tufanye tathmin!

This is unbelievable!

Hivi ni nani aliyetoa AMRI HII YA KIHUNI??Je,ni POLICE,CCM AU BUNGE??

Hizi ndiyo zinaitwa CHEAP POLITICS. Kuona kila kitu kinachofanywa na UPINZANI kinahatarisha ati amani na mshikamano. CCM wakifanya mikutano yao haina tatizo lakini Upinzani ati una hatarishi amani ya nchi???!!!!Huu ni uhuni ambao Watanzania wanatakiwa kuukataa kwa nguvu zote ikiwezekana hata kupigana. Tumechoka kunyanyaswa na CCM wanaojifanya kuwa wana HATI MILIKI YA NCHI HII KWAMBA CHAMA KINGINE HAKIWEZI KUONGOZA NCHI HII. Huu ni upuuzi na ujinga.
 
poor strategic move by CCM na serikali yake. na kama kawaida, ukiwa na mikakati hasi, unamjenga mwenzako bila kumvujisha jasho. kwa mara nyingine CCM inaijenga Chadema bila wao Chadema kutoa jasho. siku zote mnyonge ataelemea kwa muonewa mwenzie. Big up CCM kwa kujibomoa wenyewe! ingekuwa vizuri, kwa mawazo yangu na wao wangeijibu mikutano ya Chadema kwa hoja au mikutano mikubwa zaidi, badala ya kuipiga marufuku. huu ni wakati wa kuelimisha wapiga kura, tayari kwa masuala ya lukuki ya kitaifa yaliyo mbeleni i.e. katiba, uchaguzi wa 2015 etc. poleni CCM. of late you have been very myopic! Big up Chadema. Kazeti buti na jamaa wanawajengea umaarufu mpaka vijijini...kiulainiii!
 
Tunaifanya mikutano kila sehemu, bar, kwenye foleni ya daktari, kwenye mabasi, daladala, tutembeapo kwa miguu kwa kukosa nauli, vijiweni, kwenye kahawa, HUKO KOOOTE ccm HAINA MTETEZI!!!!!!!!
 
hizi taarifa za kweli? kwani wanaogopa nini au wanataka kuongoza watu waoga kila siku?
 
Ukishaona watu wanaweweseka ivo ujue weshashikwa pabaya. Kwani mkutano huo umefanyika kwenye viwanja vya bunge hadi kuhatarisha usalama wa jengo? Au jana mkutano ulipoisha amani pia ilitoweka pale Dom? Nani aliporwa mali au kuuawa na hao washiriki wa mkutano? Kwani CHADEMA sio chama cha msimu kama tulivyoambiwa na watawala wetu kwenye kampeni za uchafuzi mkuu wa mwaka 2010?
 
Nasikia RC huyo anaitwa Dr Rehema Nchimbi! Ni Dokta wa filosofia wa ukweli au wa hishma? Napata mashaka kutokana na hoja zake.
 
wameyataka wenyewe, na Lema kapewa Chopa la kuzunguka nchi nzima kwa hiyo watakiona cha moto
 
Nasikia RC huyo anaitwa Dr Rehema Nchimbi! Ni Dokta wa filosofia wa ukweli au wa hishma? Napata mashaka kutokana na hoja zake.
Hizi titles za u-DR (hata ukiwa wa mitishamba na ninafikiri huyu ni wa mitishamba) zinawaongezea kiburi sana. Katika katiba mpya tujadili athari za professional titles kutumiwa vibaya (abused) katika siasa. Nchi kama Marekani ni nadra kusikia Dr (wa kweli - awe wa utabibu au falsafa)) au Profesa (wa ukweli) aking'ang'ania kubandikwa title hizo anapoamua kuingia katika siasa. Hii inapunguza syndrome ya udaktari feki kwa ajili ya kurubuni wananchi!!!
 
I hope mkuu wa mkoa wa dodoma, mama nchimbi hana political tolerance nakumbuka hii ni mara ya pili kupiga marufuku maandamano na mikutano ya kisiasa dom,na hana hata sababu ya msingi.

Hana jipya zaidi ya kujipendekeza kwa watawala.
 
Back
Top Bottom