Serikari yapiga marufuku mikutano ya kisiasa Dodoma

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Source Tbccm


imagejpeg





Eti wanaogopa hari ya umma wanaweza kukawa Bungeni kukawa si eneo salama kwa vigigo Bungeni
 
Ha ha ha kichekesho kwingine bendera zinakazwa hao mikutano hakuna they must be joking
 
wa kulinda mazishi wapo ila wa kulinda watu wanaojadili maslahi ya nchi hakuna poor leader
 
Naona mkuu wa mkoa wa Dodoma na wajumbe wake wa kamati ya ulinzi na usalama wameamua kwa dhati kui-promote CHADEMA. Maamuzi ya kizamani kama haya yamekuwa na effect moja tu - kupanda chati kwa CHADEMA.
 
Wanaogopa ngome isije ikatekwa maana kupata mbunge wa upinzani Dodoma ni hatari kwa CCM. Wanaanza kujihami na hilo maana nahisi mwamko utakuwa ni mkubwa.
 
Kwani Bunge linahitaji askari wangapi kulinda? Sijawahi kuona platoon nzima ya polisi wakiwa hapo Bungeni.
 
Back
Top Bottom