Serikari yapiga marufuku mikutano ya kisiasa Dodoma

Kwa staili hii hakuna haja ya Mkoa wa Dodoma kuwa makao makuu ya nchi. Acha yabaki Dar tu. Serikali imejidhalilisha kusema kuwa haina ulinzi wa kutosha......upumbavu wa hali ya juu. sasa makao makuu ya nchi ulinzi hafifu na ndo usitishe haki ya kikatiba ya mwananchi ya freedom of assembly as if umezuia matatizo yoyote yasitokee mkoa wa Dodoma. Ujinga huu kusema eti watu wengi wanakuja kutoka sehemu mbalimbali....kwani katiba ya nchi inamlimit mtanzania kuishi au kwenda wapi ndani ya nchi?
 
CCM IMEFILISIKA, Ona wanavyo tapatapa kweli nimekubali iko siku Kikwete atastukia watu wanaingia Ikuli. Wao waendelee kuwanyima watu kuonyesha hisia zao alafu mwisho wa siku watavuna walichokipanda.
 
Yaliyomo

Traore aapishwa Rais wa Mpito Mali


12 Aprili 2012 12:38
120412081134_jp_mali144x81.jpg

Dioncounda Traore ameapishwa kuwa Rais wa mpito wa Mali kuashiria kurejea kwa utawala wa kiraia baada ya mapinduzi kutokea mwezi uliopita nchini humo.
Serikali ya spika huyo wa zamani sasa ina siku 40 za kuandaa uchaguzi.
Waandishi wanasema muda huo huenda usitoshe kuandaa uchaguzi hasa kwa kuzingatia eneo la kaskazini kuwa mikononi mwa waasi.
Majukumu ya kiongozi wa mapinduzi Kepteni Amadou Sanogo hayajajulikana.
Bw Traore aliapishwa na Rais wa mahakama Kuu Nouhoum Tapily katika hafla fupi mjini Bamako.
Mataifa ya Afrika Magharibi yaliondoa vikwazo vyake kwa Mali baada ya Kepten Sanogo kukubali kuachia madaraka.
Kabla ya makubaliano yaliyofikiwa Ijumaa aliomba Jumuiya ya Ecowas kusadia kuwaondoa waasi wa Tuareg na wenzao wapiganaji wa Kiislam ambao wameliteka miji muhimu ya kaskazini.
Hata hivyo hata awali alishasema kuwa anachohitaji ni msaada wa vifaa na uratibu akipinga vikosi vya wanajeshi 3000 wa Ecowas kuingilia kati.
Pamoja na hayo Ecowas bado inatafakari uwezekano wa kupeleka vikosi na mawaziri wa mambo ya nje wanakutana Alhamis katika mji mkuu wa Ivory Coast Abidjan kwa majadiliano.
'Hakuna msukumo'

Waandishi wanasema Bw Traore, mwenye miaka 70, amekuwa na nia ya kuwa Rais lakini amekuwa na matumaini ya kupata nafasi hiyo kupitia kura akigombea uchaguzi ambao ulipangwa kufanyika mwezi huu.
Mtaalam huyo wa Hisabati anaongoza chama kikubwa cha siasa Alliance for Democracy nchini Mali na alikuwa mshirika mkubwa wa Rais aliyepinduliwa Amadou Toumani Toure, ambaye alijiuzulu rasmi Jumapili.
Akifahamika kama ATT, Rais huyo wa zamani alitakiwa kuondoka madarakani baada ya miezi miwili akikamilisha muda wake na watu wamekatishwa tamaa na serikali yake kwa kutochukua hatua za kutosha kupambana na ufisadi na ukosefu wa ulinzi na hatimaye uasi katika eneo la kaskazini.
Matokeo yake watu wengi wana wasiwasi na Bw Traore, Mwandishi wa habari wa Bamako Martin Vogl alikiambia kipindi cha BBC Network Africa programme.
Bw Traore hachukuliwi kama kiangozi mwenye ushawishi wala wtu wengi hawamuonikamakiongozi kiasili, anasema.
Waandishi wanasema wakati kuapishwa kwa Bw Traore kunaweza kuleta matumaini, amani ya kudumu katika eneo la kaskazini haiwezi kupatikana mpaka hatima ya kisiasa ipatikane.
Kufuatia makubaliani ya Ecowas, Kepteni Sanogo aliiambia BBC kuhusu suala la kubadilishana madaraka kuwa: "Makubaliano yako wazi.[Traore] atakaa hapa kwa siku 40 na baada ya siku 40 kamati yangu na Ecowas tutakaa pamoja kutengeneza vyombo vya mpito."
Alipoulizwa iwapo kwa maneno hayo atarejea tena madarakani baada ya muda huo alijibu: "Sikusema hivyo.Sijui."
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeonya kuwepo janga la kibinadamu baada ya mapigano ya kaskazini.
Waasi wa Tuareg, wanaoishi katika Jangwa la Sahara nchiniMalina nchi nyingine jirani kwa miaka mingi wanadai wamekuwa wakipuuzwa na uongoziBamako.
 
eti polisi hawatoshi kulinda bunge na mikutano.source tbccm.

Subiri kutokee maandamano leo ya Chama cha Upinzani kuipinga Serikali pale Dodoma mjini ndipo Tutaamini kama kweli POLISI hawatoshi mjini DODOMA.


Walongo Wakubwa wameshahisi nchi kuchafuka tayari wanaanza kujitetea ili kumwaga mabomu ya machozi.




MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
kwa kauli ya mbowe ya uasi, serikali ina haki ya kufanya hivyo kwa mujibu wa sheria!

Hivyo DODOMA kunaweza kuwa na maandamano kwani hakuna POLISI hivyo mabomu ya mchozi hakuna pia..


huleeeeeeeeeeeeee CHAMA CHA MAJAMBAZI (CCM) na JESHI LA POLISI LA MAJAMBAZI huleeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!




MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Kitu ambacho kinafanya CDM kuwa the best strategically ni uwezo wao wa kuamsha reaction ya serikali kwa wao kutumia kauli tu. Ni dhahiri kuwa CDM yenyewe isingependa kila siku kuwa na mikutano ya hadhara kwani wananchi watawachoka mapema sana. Ila kitendo chao cha kuifanya serikali iwazuie kufanya mikutano kinaipaisha CDM masikioni na mionyoni mwa watanzania kwa kwa zero price from CDM.

Mfano CDM kinatangaza maandamano, kupitia jukwaani na hata wakiwa ofisini, serikali ya CCM ina react na kutumia TVCCM na kila aina ya tool in their toolbox kutangaza kuzuia, kwa kutangaza huko wanakuwa wamefikisha ujumbe wa CDM kwa wananchi kuwa CDM is for them na uonevu wote huu ni kwa sababu CDM hawana dola. Hii inaamsha hasira za wananchi ambao hawakuwa CDM ila walitaka wakawsikilize na huenda kuwapuuza kujikuta slowly wakijenga bond na CDM.

Kwenye hili CCM na vyombo vyake wanabugi step kwelikweli. Hivi wakiwaacha CDM wakafanya mikutano yao hata kila siku CCM itakosa nini?. Mimi ningekuwa strategist wa CCM ningesema jamani waacheni waandamane sisi tulete maendeleo kwa wananchi at the end of the day wananchi watagundua kuwa mikutano ya CDM inawapatia fatique.

MARUFUKU ZA MIKUTANO ZINAINUFAISHA CDMA ZAIDI YA CCM NA SERIKALI. NI KWELI IN THE ABSENCE OF MIKUTANO WATAWALA WATAKUWA WANAJIFARIJI ILI WAKATI HUOHUO WAJUE KUWA WANABUNGULIWA NDANI KWA NDANI NA AMRI ZAO HUKU WAJIAMINISHA KUWA SHAPE YAKO IPO SAWASAWA. WATAKUJA HAMAKI PALE MTU AKIWA-PRESS WANAKUWA DEFORMED. UMMA HAUPO UPANDE WAO TENA.
 
msishangae sana. hata wakoloni walipiga marufuku mikutano na shughuli za kisiasa za wapigania uhuru...kwa visababu kama hivi!!
 
hakuna ukomo wa uhuru wa watu kufanya assembling,hii mpya cjawahi sikia,basi watumie askari wa sungusungu na migambo,au hata hao hawatoshi!au pia na wao wanalinda wabungw!

  • :disapointed:

 
Siongei mengi wakuu, haya yote yamesababishwa na moto uliowashwa jana na viongozi wa CDM eneo la viwanja vya barafu mkabala na Jamhuri Sec, Fire ilikuwa sio ya mchezo, people wengi ajabu. Huu ni mwanzo tuu, mtiti unaandaliwa kuvamia eneo la makulu, Mkutano utakuwa sio wa mchezo, tunajivunia diwani makini wa eneo hilo, Ktk mkoa wa Dodoma, Mbowe jana ametangaza kwamba CDM inamaadui watatu ktk mkoa huu, kwanza CCM,pili.....
 
Unajua ata Yesu wale aliokuwa akiwaponya akiwaambia wasiwaambie watu the news kept on spreading!
Sasa CCM kwa kupiga stop mikutano hawaoni kuwa wanaipromote CDM?
 
Kwa mtazamo wangu hilo tamko limetolewa na huyo mama bila kuwashirikisha wajumbe wengine! Sidhani kama wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama ngazi ya mkoa wanaweza toa tamko la kipuuzi na kujipendekeza kiasi hiki!
 
Polisi wa kulinda mikutano hawatoshi basi CHADEMA tangazeni maandamano ili tuone kama hawataleta aksir 1000 hapo Dodoma.




Unaweza kufilisika kwa haraka sana mpaka ukatembea uchi wa mnyama.

Wengi wetu tukikuona Ukiwa uchi wa mnyama tutasuka hata ukoka tukusetiri na aibu.

Sasa ukifilisika kisiasa na kimaadili kiasi cha kuonyesha uchi wa akili yako kama viongozi walio wengi katika serikali ya CCM

Tutasuka ukoka kutoka mbuga gani na tutakuvika wapi na vipi ili kusetiri aibu ya uchi wa akili yako??

Viongozi wengi wa CCM wanatembea huku wakipofua akili za Watanzania kwa kuonyesha nyuchi za akili zao.
 
Back
Top Bottom