Serikari yapiga marufuku mikutano ya kisiasa Dodoma

Hawa wakuu wa mikoa ni makada wa CCM aka magamba; maamuzi yao ni ya kiCCM. Ni lazima juhudi zifanyike ili vyeo vya wakuu wa mikoa na DC visiwepo ktk katiba mpya ijayo. Vinginevyo ipo siku watawapiga marufuku wabunge wa CDM kuingia ktk mikoa yao; Hii ni sawa na kusema Nchimbi, Rehema anaweza akawapiga marufuku wabunge wa CDM kuingia Dodoma na hatimaye bungeni.
 
Watahangaika sana ,siku peoples power wataishiwa na uvumilivu hakuna cha dc wala polisi watakaoweza kituzuia kuichukua Tanzania yetu
 
Naona mkuu wa mkoa wa Dodoma na wajumbe wake wa kamati ya ulinzi na usalama wameamua kwa dhati kui-promote CHADEMA. Maamuzi ya kizamani kama haya yamekuwa na effect moja tu - kupanda chati kwa CHADEMA.
Wanapaka rangi upepo hao masikini!!
 
Usisahau kuwa yeye ndiye M/Kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa.

Nafahamu kuwa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama. Swali ni je, anaongozwa na sheria ipi kuzuia mikutano ya kisiasa?
 
Mikutano ya siasa ilipigwa marufuku hivi hi Algeria ikaendelea hivohivo Yemeni, Misri, Libya, Bahrain na Syria kwa sasa lakini hapa Tz People's Power tunaikomboa nchi kwa staili ya kipekee. Haya ni mandalizi ya mazishi ya Magamba.
Piiipoooooooooooooz!
 
Imbeciles of all Times!
Hili ni katika mambo ya ajabu kabisa ambayo yanaingia moja kwa moja kwenye maamuzi ya vituko na vichekesho ya viongozi wa kitanzania!
Kwa mtu yeyote aliyemuona yule mama wakati akitangaza amri hiyo angemwona tu kuwa ametumwa na hana defence yoyote ya anachokiongea!
Hakika kila mwenye diary na aandike taarifa na comedy hii yA HUYU mkuu wa Mkoa wa Dodoma, maana itafika wakati mambo haya ukiwasilisha kumbukumbu ya aina hii, unapata fedha na kutajirika!...huh!
 
Kulinda mazishi ya wapi nyie kwhy mlitaka watu wauane CDM hamna lolote mnajadili fujo tu hamna la maana kelele za nzi hasimsumbui mtu kunya!

Nikiangalia hiyo avatar yako na post kama hizi huwa napata different images kabisa kuhusu Khloe Kardishian. She derserves better au weka avatar kama ya ritz.

Dr Rehema Nchimbi amepewa amri na wakubwa zake wazuie vuguvugu la mageuzi nchini, ila wajue kuwa liwike lisiwike kutakucha. Hii amri ya kupiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa ni haramu, kwani vyama vya siasa vitambulika kisheria na vina haki ya kufanya siasa ambayo ndiyo malengo ya uwepo wao.
 
..Hata Bob Kaimba, think you livin' in heaven but you livin' in earth! oooh TIME will TELL. CCM time will tell hamuwezi zuia CHAFYA wazee mtaishia KUFUSA TUU hahahahah
 
Back
Top Bottom