The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 256
katika majumuisho ya bajeti ya wizara ya fedha mhe,Mkullo amekubali kushusha bei ya Diesel na mafuta ya taa,kwa kushusha kodi na tozo.

Yameshafika 2100, au zaidi ya hapo?
katika majumuisho ya bajeti ya wizara ya fedha mhe,Mkullo amekubali kushusha bei ya Diesel na mafuta ya taa,kwa kushusha kodi na tozo.
hivi kumbe hizi posho nazo ziliongelewa?au mimi ndio sikuelewa vizuri.Anasema kuwa kuna posho ambazo haziwezi futwa kama posho ya Majaji wastaafu pamoja na Magenerali wa jeshi anasema zikifutwa hapa hapatakalika
huko ndiko bunge lilibidi lijengwe maana yake wenyewe wananunua 2500 per litreuku bukoba ni tsh 2500