Serikali yashusha bei ya mafuta

The Priest

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,029
256
katika majumuisho ya bajeti ya wizara ya fedha mhe,Mkullo amekubali kushusha bei ya Diesel na mafuta ya taa,kwa kushusha kodi na tozo.
 
lakini pia kasema bei hiyo mpya bado haijaanza kutumika hai taratibu zote zifuatwe..bungeni jioni hii,
 
siasa aweke wazi kwa asilimia ngapi?kenya waliweka wazi! mkulo atoe tamko la kueleweka si bla blaa
 
Naona bado ni siasa tu kwani hajaweka clear,kwasasa bei ya Diesel inarange tsh.2030 hadi tsh.2100,
 
Zitashushwaje na vigogo ndio wafanya biashara wakubwa wa mafuta!!
Acha ziwe juu tu waendelee kutukandamiza hadi tutakapo pata akili.
 
352 bilioni ndiyo posho zote kwa mwaka 2011/2012,na siyo 980 Billions,na wabunge wote seating allowance ni 2.4 Biliions, na jumla posho za seating allowance ni 25 Billions kwa idara zote.
 
Anasema kuwa kuna posho ambazo haziwezi futwa kama posho ya Majaji wastaafu pamoja na Magenerali wa jeshi anasema zikifutwa hapa hapatakalika
 
Posho yote ya vikao vya bunge endapo watakubaliana kuzifuta serikali itaokoa kiasi cha 4.5billioni kwahiyo wabunge wapime ni kwa kiwango gani itachangia katika maendeleo na si billioni 900 kama ilivyopotoshwa.
 
Anasema kuwa kuna posho ambazo haziwezi futwa kama posho ya Majaji wastaafu pamoja na Magenerali wa jeshi anasema zikifutwa hapa hapatakalika
hivi kumbe hizi posho nazo ziliongelewa?au mimi ndio sikuelewa vizuri.
 
Tunataka kujua imeshuka kwa kiwango gani, ukweli nikwamba mimi binafsi matumizi ya gari sasa naona kama ni anasa natumia public transport japo kuna kero zake
 
Solution ni serikali kuweka price-seal baada ya punguzo hilo, ili wasanii wasidanganye watu.
 
Waseme pia safari za nje kwa Bajeti iliyopita walitenga sh ngapi? Pia kwa bajeti ya mwaka huu wamepunguza kwa asilimia ngapi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom